Ur a desperate guy, wenywewe wa Iran wanaomba Israel imalize ujinga wa Ayatollah, we mmatumbi unajiesa na fake newsUmefika Iran ukathibitisha raia wa Iran wa maisha magumu?..
Akili ya kutengeneza hizo missiles na hata Nuklia unafikiri ni akili ya kawaida.
Watu wenye akili yakutengeneza missiles na kuenrich nuclear unataka kuniambia hawawezi kuwa na technolojia yakutengeneza vitu vingine wakitaka?
Huoni kama tunachokiona ni sign kama Iran angekuwa hana vikwazo kwa 40yrs angeweza kuwa mbali sana na kumiliki technolojia kubwa sana.
Unajua kama THAAD, David sling, Iron dome etc ni technolojia ya kisasa sana lakini bado mtu mwenye vikwazo vya zaidi ya 40yrs ameweza kutengeneza missiles za kuidodge, hii ni akili ya kawaida kweli.

Umefika Iran ukathibitisha raia wa Iran wa maisha magumu?..
Akili ya kutengeneza hizo missiles na hata Nuklia unafikiri ni akili ya kawaida.
Watu wenye akili yakutengeneza missiles na kuenrich nuclear unataka kuniambia hawawezi kuwa na technolojia yakutengeneza vitu vingine wakitaka?
Huoni kama tunachokiona ni sign kama Iran angekuwa hana vikwazo kwa 40yrs angeweza kuwa mbali sana na kumiliki technolojia kubwa sana.
Unajua kama THAAD, David sling, Iron dome etc ni technolojia ya kisasa sana lakini bado mtu mwenye vikwazo vya zaidi ya 40yrs ameweza kutengeneza missiles za kuidodge, hii ni akili ya kawaida kweli.
US yanini, acha aliyeanzisha ugomvi aumalize..Hii vita USA lazima aingie, gharama lazima itumike kuleta amani mashariki ya kati
Yani aibu mpaka mashabiki wamejikatia tamaaUS yanini, acha aliyeanzisha ugomvi aumalize..
Marekani inachoangalia ni maslahi hata kama atawaacha wengine wakiwa hoi.Hivi wadau hili suala la US kuiomba PAkistan iweke kambi ya jeshi kwa kuwapa makombora ya kisasa, jet fighter za kisasa F-35 na msaada wa kijeshi na pesa, hivi hili India inalichukuliaje? mbona kama US anaisaliti India?
Kwa kuipa vifaa kama hivyo Pakistan kisa tu wapate access kuishambulia Iran ina maana US imeamua kuitoa kafara India kisa tu kuimaliza Iran? maana Pakistan wakipata hivyo vyombo India ipo matatani.. India si ni rafiki wa Israel? hi imekaaje?
Hapa nimeamini Iran inaogopeka
Kwanini hawa Jews wanawaunga mkono Iran na kuwaita akina Netanyahu Zionist na kuwapinga?..
Kuna kitu mnaandaa wewe na nani?Kuna kitu Israel tunaandaa aisee
Big supplies
Sura ya upole roho ya kikatili pumbavu huyuHuyu mzee kanifurahisha sana, acha niweke avatar yake hii week nzima ku support anachokifanya...
Mm muiran wa buza dingi muisrael wa tandaleKuna kitu mnaandaa wewe na nani?
Netanyahu itakua kasikiliza ushauri wa ayatollaah kwamba aache kushambulia ndipo nae aache
Sidhani kama Pakistan watakubali hili..Marekani inachoangalia ni maslahi hata kama atawaacha wengine wakiwa hoi.
Mfano hapa anataka kuichonganisha Iran na Pakistan waingie kwenye mapambano ya miaka mingi yatakayoharibu nchi zote mbili kwa manufaa yake na wayahudi.
Na point yake kubwa ni kupiganisha majeshi ya ardhini sababu Iran inashea mpaka mrefu na Pakistan huku wote wakiwa ni wajeuri... Pakistan ikiingia huu mkenge itapewa hela, silaha za kila aina na mafunzo huku marekani akitoa msaada wa anga na intelijensia. Hili likiwezekana wayahudi watapumzika warepee miji yao waanze kunywa mvinyo na kuleta dharau tena
Ila Pakistan haitothubutu kufanya hilo.Marekani inachoangalia ni maslahi hata kama atawaacha wengine wakiwa hoi.
Mfano hapa anataka kuichonganisha Iran na Pakistan waingie kwenye mapambano ya miaka mingi yatakayoharibu nchi zote mbili kwa manufaa yake na wayahudi.
Na point yake kubwa ni kupiganisha majeshi ya ardhini sababu Iran inashea mpaka mrefu na Pakistan huku wote wakiwa ni wajeuri... Pakistan ikiingia huu mkenge itapewa hela, silaha za kila aina na mafunzo huku marekani akitoa msaada wa anga na intelijensia. Hili likiwezekana wayahudi watapumzika warepee miji yao waanze kunywa mvinyo na kuleta dharau tena
Acha tuKwa teknolojia ya makombora anayoionesha Iran, unadhani atashindwa kuwa nalo? Au kutengeneza?
Mabomu yanatengenezwa yaangamize watu na vitu,watakufa watazaliwa wengineBora vita viishe tu hakuna maisha ya mara ya pili, watu wanaumia, watu wanaangaika,watu wanakufa yaani taflani
Angekuwa katili angeua raia zaidi ya 50,000 hapo Israel..Sura ya upole roho ya kikatili pumbavu huyu
Hata mimi naona hii mbinu ya marekani imeshashindwa.. tukumbuke pia Pakistan akikubali atakua katengeneza uadui na china na UrusiSidhani kama Pakistan watakubali hili..
US akiweka hapo kambi ndio NATO, EU, Israel na nchi zingine hasimu wa Iran watapeleka askari wa miguu kuingia Iran.. ipo wazi anga pekee haitoshi kuangusha utawala wa Ayatollah..
Tukumbuke pia Trump anapita kule kule alipopita Bush kwa kusema Iraq wana WMD, hii ni cheap propaganda ambayo imepitwa na wakati ili kuhalalisha nchi mbali mbali kuivamia Iran...
Tukumbuke kwamba wakati ule late 1990s na early 2000s , US walikuwa na ushawishi mkubwa sana duniani kote, nchi zilizoivamia Iraq ni zaidi ya 40...
Leo hii watu wameutambua ukweli, support anayopewa Trump ni ndogo...
Na naelewa katika namna ya kumtongoza Asim Munir Chief of Army Staff of Pakistan huko Washington walipokuwa na kikao, itakua amemueleza Iran ni hatari kwenu pia ikiwa na nuclear... itakuwa kamuambia Iran ni hatari mashariki ya kati leo kwa Israel kesho ni kwenu...
Lakini sidhani kama Pakistan itanunua huo utopolo..