SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Mkuu acha kubishana na jamaa yeye analeta updates tu zisizo na upande. Bishana na sisi mkuu ila jamaa usimguse.
 
Mkuu Kama ndege imeshindkana kuzizuia wangewezaje kuzuia watu kadhaa waliokua wanafanya operation kwenye ground kwa muda kadhaa? Hao watu si walikua protected na ndege za juu
 
Is it true?
Let us wait for their response.
Nyoka keshapigwa kichwani mkuu. Kwisha habari yake hata akirespond sasa ni mkia tu unachezacheza.

Hana maajabu tena muiran. Yale mashambulizi ya siku ya kwanza ya vita na kuua wakuu wa majeshi na viongozi wa usalama yalikuwa hatari sana kwake.

Sasa anatapatapa na kuwayawaya tu ndio maana anarusha mabomu na drones bila malengo.
 
Huko Tehran hapakaliki, Mzayuni kakasirika haswaa
Jamaa wenu tu analeta Habari kama anatangaza Simba na Yanga !!

sasa anakwenda Kushambulia

sasa anakwenda tena sasa anakwenda

sisi atujui anatangaza Vita ivi tuvionavyo kwenye TV au Kambumbu uwanjani !!!

ila Walokole na mapambio ata kushtuka awashtuki kuwa jamaa yao muongo anawapiga..
 
Huyo ni debe tu mwacheni abwabwaje akichoka atalala!!!
Umefurahii sasa baada ya mungu rasmi wa Israel kuingilia Vita !!

kumuokoa kitoto chake Sasa Watuambie na ile Vita ya Siku 6 ilikuwa kweli baina ya Israel na Waarabu !!???

au ilikuwa ni Waarabu vs Marekani na Washilika wao ???? Kwann wanaipamba nchi aina nguvu zaid ya UGAID TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…