SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hii vita haida faida yeyote kwa sisi iran aikiamua kifunga njia za bahari basi soko la mafuta dunia nzima litakuwa hatari
 
Acha ujinga..
Iran haitaki kuua raia, ikitaka inawezekana..
Iran inalenga infrastructure, sehemu za kimkakati, vituo vya kijeshi, maghala ya silaha n.k.. ukiona raia wamekufa ujue haikupangwa..
 
Tanzania twaweza kabisa kufikia hapo hata leo tukiamua.

Bajeti ya Ulinzi ni muhimu ikaangaliwa kwa weledi na utaalam na si kwa kutumia darubini.
Uangalie bajeti ya ulinzi wakati karibu nusu ya watu wako wanaishi chini ya dola moja kwa siku na shule nyingi hata hazina vyoo watoto wanajisaidia hovyo porini.

Hiyo ndoto haipo kabisa na kumbuka vyombo vyetu nyeti vya usalama vimekuwa na umaarufu wa kuteka wananchi kwenda kuwatesa na kuwaua.

Very hopeless and shameful.
 
Kuna vichekesho vingi. Wenzako wanapigwa huko muda huu
 
Usiangile sura za wapakistan, angalia uwezo wao, nchi ikiweza kumiliki silaha za nuclear sio ya kubeza, ww hufahamu chochote, hiyo nchi ishapigana vita miaka nenda miaka rudi tofauti na hao mayahudi wanaoomba msaada wa silaha siku zote toka US

Kwa mfano mayhudi mashambulizi waliyofanya Iran juzi sasa wanahitaji msaada mwengine kuendelea na vita na Iran
 

US na Israel ni damu moja, kwa taarifa yako US inaongozwa na wayahudi, kasome AIPCC ujue ni nani dunia hii huko USA, so wayahudi ndio wanaongoza dunia hii kama hujui, so Iran utaona imepigwa na kutoa utawala wa Ayatollaah wiki 2 au 3 zijazo na Utawala mwingine kuingia.

Pakistan can do nothing, amini hilo, zero kabisa hana impact yoyote mbele ya US wala Israel
 
Israel imeshindwa kuharibu underground missiles bases za Iran..

Iran ime replace makamanda wapya dhidi ya wale waliuawa, na makamanda waliowekwa sasa unaambiwa ni vichaa wote.. wanasema ni wale makamanda waliokuwepo wakati wa vita ya Sadam Hussein, wazee wamerudi kazini..
 
Pale kwenye kushuka nimekubali maana yalikua yanashuka kwa kasi mno
 
Sasa kama ni zero nadhani wameshuhudia mifumo yao ya ulinzi ilivyochakazwa, wanaendelea kulizana huko iron dom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…