SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

😂
Gharama zote zitalipwa na Iran

Namna gani? Jibu utalipata mwisho wa vita😎
 
Mkuu ngoja tusubiri wala hakuna haja ya kubishana.
Lakini jua tu hao bado watapigana sana
Israel hawezi kuacha kushambulia akipigwa,hilo ni moja na si hoja hapa,hoja ni israel kaomba vita viishe na Iran kagoma,chanzo ni cha kuaminika, wall street journal...kwanza kiri wsj wamesema,pili kiri kwamba wsj ni chanzo cha kuaminika kwenye siasa za magharibi
 
Kwamba unamuacha muuni ampige romance mkeo ili achoke uje umshike vizuri
 
Sawa mkuu, ngoja tusubiri
 
Shida yenu ni ushabiki ila ukweli mnajua kwamnba Iran inapambana SANA Kiume Jiulizeni nyie mkipigwa surprise ya kuuwawa na CDF mnafanyaje?? ni janga kubwa ila jamaa kwa utulivu wakajipanga na wanapeleka moto mkali sana basi tu habari kule ni za kuzuiaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…