City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Inawezekana unachosema taarifa zinassma hilo gereza kulikua na wafungwa wa kisiasa na wakosoaji wa serikali. Ngoja tusubiriHuu ni mwanzo wa kusababisha civil war. Yani baada ya hili tukio tutarajie internal chaos and unresting. Kama kuna wafungwa wametoroka wanaenda kupewa silaha. Mwanzo wa safari ya regime change
Mkuu usishangilie hata sisi huku na umaskini tutateseka mkuu.
Hii picha ni ya leo asubuhi Mkuu wa Mossad akiwa na Netanyahau
Rubbish,Iran waliamua kuja na military doctrine ya kwao mpya. Ila imeshindwa mapema sana kupambana na superior enemy. Inawafaa kupigana na jirani sio mtu wa mbali.
Mfano wangekuwa na Navy nzuri ingesumbua Israel maana Israel wenyewe wana moderate Navy.
Au Iran angalau wangekuwa na air superiority fighter jets wangeleta tishio angani kwa Israel. Au wangepigwa ila baadae sana. Ila sasa hawana modern fighters. Walikuwa wanazungushwa na Urusi isiwape Su-35.
Na kwa ubishi wao na incompetency hawakuwa wanajifunza mbinu za kisasa kwa mataifa rafiki. Maafisa wao inaonekana wamejifungia, vyuo vya kijeshi vinafundisha wanachoamini wao.
Kuna sababu kwanini NATO kila mwaka wanaendesha mafunzo. Kuna sababu kwanini Urusi ilianzisha International Army Games nchi kama 30 zinaitwa zishiriki. Nchi zilizonunua vifaru Urusi huwa wanafanya Tank Biathlon na kilaza anajulikana pale.
Iranians wao ni kujiamini kupitiliza na ile sera ya kumpambania Allah kujitoa mhanga. Wachina wanajiamini ila hawapitilizi wala kuchokoza kimakusudi na kujitapa.
cha kwanza unasema israel inasaidiwa na US, swali nakuuliza hao inaopigana nao wanasaidiwa na nani? unajua kwba six days war waarabu wote walikua wana silaha za kisasa za urusi kuliko israel..unajua kwamba waarabu walikua na ndege za kisasa mara tatu ya ilizokua nazo israel..kinachomsaidia israel kwenye vita zake na waarabu cha kwanza sio US bali ni intelijinsia yake kali aliyoipenyeza kila sehemu mashariki ya kati... israel imepigana six days war, imepigana yom kipur war, na kila siku inapambana na proxy wa iran mashariki ya kati..hezbolah usiseme mi kikundi cha mgambo hilo ni jeshi kamili ndani ya lebanonUkitoa vita ya six days war ambapo ilikua nyakati za giza huku US ikiwa na vifaa na silaha za kisasa kwa wakati huo ambao ilimsaidia Israel labda utazungumzia operation Entebbe ambapo Uganda hata sisi Tz na unyonge wetu tuliitwanga UG.
Vita nyingi Israel imepambana na vikundi vya migambo, vita nyingi Israel inasaidiwa kila kitu na US, US sasa Trump ana sera yake ya MAGA ambapo aliahidi US kuacha vita na wapambane kuifanya US kuwa kubwa kiuchumi, kiushawishi, kijeshi, kisiasa n.k, yaani US irudi ilivyokua...
Lakini vita inayoendelea mashariki ya kati inachochea US kutotekeleza hayo, je US itamwacha Israel apambane kivyake?
Iran imekuwa kwenye vikwazo vya kiuchumi kwa karibu miaka 50, Iran imekuwa kwenye migogoro na majirani kwa muda, na bado wamefikia hapo walipo kiteknolojia, Iran imepambana na Iraq iliyopewa misaada na US, majirani wake, USSR na nchi za EU.. lakini haikushindwa...
Israel hana cha kuitisha Iran, ni suala la muda tu....
israel yeye ndie alianzisha vita na lengo lake ni kushambulia mindobinu ya kijesho na nuclear ya iran..na ndio mana unaona yeye hapigi civilian areas tofauti na iran..iran ni kama amepanik sasa anataka kuweka presha kwa istarl ndo mana anashambulia majengo..pia ujue kwamba mashambulizi anayoyafamya iran kwenye miundombinu ya kijeshi ya israel mingi wanaipangua hewani usifikiri kwamba hawatarget..ila mifumo ya ulinzi ya israel inayapa kipaumbele maeneo hayo tofauti na wao ambao maeneo yao ya kijeshi na viongozi wao wanapigwa na hawawezi kuzuia mashambulizi hayoAsiyetaka vita sasa ni Israel, sikiliza maneno ya Trump ambae nimfadhili na ambae wanashauriana na Netanyahu, halafu njoo usikilize maneno ya viongozi wa Iran... utajua nani anaomba maji..
Mambo ya mpira wa simba na yanga peleka kwenye page za michezo hapa ni vita tuKwa hali hii simba june 25 anapigika kama mbwa koko.
Sasa hapa nani ndo wakumfata!Ikulu ya marekani muda huu inasema Intelijensia inaonyesha Iran ilikua na wiki kadhaa tu kuunda nyuklia
Israel inasema/ilisema Ilikua na siku mbili au tatu mbele kuunda nyuklia
Wapi nimeshangilia mzee!?Mkuu usishangilie hata sisi huku na umaskini tutateseka mkuu.
Hahahaah simba na simba mwengine wakiingia kwwenye ugomvi na wakati huo hawataki kuumizana huishia kuoneshana meno yalivyo makali kwa kukenua vinywa vyao.
unasemaje six days war ilikua nyakati za giza wakati waarabu waliungana wakaizunguka israel pande zote na wakaivamia israel wakiwa na silaha za kisasa za urusi za wakati huo? au hujasoma history mzee?Ukitoa vita ya six days war ambapo ilikua nyakati za giza huku US ikiwa na vifaa na silaha za kisasa kwa wakati huo ambao ilimsaidia Israel labda utazungumzia operation Entebbe ambapo Uganda hata sisi Tz na unyonge wetu tuliitwanga UG.
Vita nyingi Israel imepambana na vikundi vya migambo, vita nyingi Israel inasaidiwa kila kitu na US, US sasa Trump ana sera yake ya MAGA ambapo aliahidi US kuacha vita na wapambane kuifanya US kuwa kubwa kiuchumi, kiushawishi, kijeshi, kisiasa n.k, yaani US irudi ilivyokua...
Lakini vita inayoendelea mashariki ya kati inachochea US kutotekeleza hayo, je US itamwacha Israel apambane kivyake?
Iran imekuwa kwenye vikwazo vya kiuchumi kwa karibu miaka 50, Iran imekuwa kwenye migogoro na majirani kwa muda, na bado wamefikia hapo walipo kiteknolojia, Iran imepambana na Iraq iliyopewa misaada na US, majirani wake, USSR na nchi za EU.. lakini haikushindwa...
Israel hana cha kuitisha Iran, ni suala la muda tu....
Benjamin Netanyahu alianza kuishutumu Iran kuwa na mpango wa nyuklia ambao unalenga kutengeneza silaha za nyuklia mwaka 1992. Tangu wakati huo hadi leo, 2025, ameendelea kutoa kauli za mara kwa mara kuhusu tishio hili. Hapa kuna muhtasari wa kronolojia ya kauli zake za umma kuhusu suala hili, pamoja na vyanzo vilivyopatikana:Sio wa kuwaamini hao kuhusu nuclear, maana CNN wali publish Netanyahu akituhumu Iran kuunda bomu la Nuclear Tangu 1996 mpaka Leo anawatuhumu tu.
pia usiseme kwamba iran imekua kwenye vikwanzo kwa miaka 50, rekebisga kauli sema iran imekua kwenye "vikwazo vya magharibi kwa miaka 50" mana iran anashirikiana kwa kila kitu na urusi, north korea na china ambao hao ni big powers, technolojia ya nuklia ya iran kila kitu hadi sctientist wake wamesomea urusi na north korea, misile techonlgy ya iran yote ni copy paste ya urusi hakuna alichogundua iran alichofanya yeye ni kupeleka vijana miaka ile ya 70 na 80 na 90 wakaenda kusoma urusi wakarudi kwako waanza kumodify zile technolojia za urusi, drone technology ya iran yote kaitoa urusi..vijana wote wa iran high field tech zote wanaenda kusoma urusi then wanarudi kwao kuzitumiaUkitoa vita ya six days war ambapo ilikua nyakati za giza huku US ikiwa na vifaa na silaha za kisasa kwa wakati huo ambao ilimsaidia Israel labda utazungumzia operation Entebbe ambapo Uganda hata sisi Tz na unyonge wetu tuliitwanga UG.