Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,208
- 3,938
mpaka hii vita inaisha wewe utakuwa na matatizo makubwa ya akiliQatar walivyo hawana akili wanasema watajibu, yale majitu akili zao za kipumbavu sana... yakijibu yatandikwe hadi hadi hizo familia zao za ki dictator zilizo kalia nchi zikimbie..
Israel wameanza kuishi mashimoni tangu mwaka 1948,hakuna jipya hapo ndio maana approving rate ya Netanyahau imepanda sana kipindi hiki nakufikia 88% sababu hawashangai swala la vita na tabu zake.Muulize Israel, kwanini wananchi wake wanaishi mashimoni kama panya, jana limetumwa missile moja nchi nzima wakaingia mashimoni wakidhani ni Iran kumbe ni Houthi..
Kwanini wanakimbia nchi?Israel wameanza kuishi mashimoni tangu mwaka 1948,hakuna jipya hapo ndio maana approving rate ya Netanyahau imepanda sana kipindi hiki nakufikia 88% sababu hawashangai swala la vita na tabu zake.
Yaani tangu ulijulie humu hilo neno decoy ndio imekuwa neno lako pendwa la kujiliwaza. Subiri comeback ya Tai sasa.Wanazopiga hapo ni decoys tu, majibu yataonekana..
Wamekimbia nn kwani si tuliambiwa Marekani ndio mkubwa Kijesh Duniani !!!Satellite image Kambi ya Al Udeid huko Qatar, kabla na baada ya shambulio la Marekani ndani ya Iran. Inaonyesha ndege za marekani na vitu vingine havipo tena
View attachment 3380459
Umbali kutoka Iran mpaka Us ni 11,000+ kms, sidhani kama Iran anayo makombora ya kusafiri umbali huo.Kwanini Iran naye asishambulie kwenye ardhi ya marekani Moja Kwa Moja kama alivofanyiwa yeye kuliko kupiga sehemu ambazo US ameweka military bases zake maumivu sio sawa sawa na kama akipigiwa mlangoni kwakwe watoto na mke waone na wawe mashahidi kama ilivyotokea Kwa Iran
Kwani Wairani hawakimbii nchi?Kwanini wanakimbia nchi?
Sasa Iran mbona anashambuliwa na ndege za Israel na Us kwanini Hazi intercept?Drone ni rahisi kuwa intercepted. Hivyo inamlazimu kuvurumisha ballitic ambazo zina kasi ya juu na sio rahisi kuwa intercept.
Hawawezi jibu, akili zao zote zipo kwenye visima vya mafuta.Qatar walivyo hawana akili wanasema watajibu, yale majitu akili zao za kipumbavu sana... yakijibu yatandikwe hadi hadi hizo familia zao za ki dictator zilizo kalia nchi zikimbie..
Eri jamano arushe hata moja New York City pale na yeye afeel maumivuKwanini Iran naye asishambulie kwenye ardhi ya marekani Moja Kwa Moja kama alivofanyiwa yeye kuliko kupiga sehemu ambazo US ameweka military bases zake maumivu sio sawa sawa na kama akipigiwa mlangoni kwakwe watoto na mke waone na wawe mashahidi kama ilivyotokea Kwa Iran
We umeona wap yanadunguliwa mkuuMakombora yake mengi yanadunguliwa angani, ndege zinaweza kuwa efficient zaidi
Mkuu tusubiri, mpambano ndio kwanza umeanza. Mbivu na mbichi zitajulikanaWamekimbia nn kwani si tuliambiwa Marekani ndio mkubwa Kijesh Duniani !!!
Sasa vip nayeye anakimbia Jesh lengine hiii imeakaaje !!!
sasa wanaomtegemea yeye awalinde jambo ili kwao watalichukuliaje !!!
jamani Marekani si ana Air Defence System THAAD na zengine vip kafungasha virago vyake na kusema yeye ataki mgogolo na mtu!!!!
Mlokole naww polee Iran sio WaraabuKobazi poleni sana
Trump mtu wa mipasho hana actiontrump currently in situation room with defence sec
majibu yanaandaliwa au?
dunia imepandwa na mapepo wallah
Kuna Moja limeanguka doha.Si Kweli, kambi ya Qatar ina waka moto muda huu, video zipo zinaonesha hit
View attachment 3380550
Moja ya video inaonesha hit,