Ina maana wanawake wa Qatar hawavaagi hijabu kama wa kwetu?Video footage: makombora ya Iran ndani ya Qatar. Watu wanakimbia, unaona jinsi wakina mama wanavyopata tabu kukimbia. Qatar hawana detectors? Shelters?
Namdhalilisha? Wewe unamjua? Unajua ana utaifa gani?Unamdhalilisha sana huyo babu wa watu kwenye picha yako.
It was all about sending the message, and I believe HE got it.Hili shambulizi mbona kama ni funika kombe mwana haramu apite?
Ndio ao ao wameweka kambi za Marekani Iran Wakidai wanapiga na Africa basi Wakenya watakipata..Nipo live Doha, milipuko kadhaa inasikika hapa
Unafahami kuwa pale Tehran kulikuwa na mnara wa saa wa kuangamizwa Israel ifikapo mwaka 2040 ambao Israel imeubomoa leo asubuhi?Mkuu Katika vyote hapa duniani ogopa sana mtu Religious Extremist, hawa jamaa wangeachwa wakamilishe hiyo mipango yao ya nuclear, ingebidi kila mtu awasikilize matakwa yao...!
Chochote kile wangehitaji, ingebidi kifanyike...
Hiki tumegusia hapa kwa Nini asilenge.Kama Iran ina makombora kwanza ingeshambulia airbases za Israel ili ndege zisiruke kwenda Iran kushambulia. Bila ndege Israel nayo ingelazimika kutumia makombora ambayo inayo machache. Sasa Iran imeshindwa airbases imeamua kuharibu vyuo na nyumba za kuishi eti "inaharibu uchumi"
Hahahaha pro Iran mnachekesha sana aisee,hizo silaha zitapita njia gani?🇮🇱🇰🇵 Netanyahu declines to comment on reports the transfer of warheads from North Korea to Iran.
#israel #northkorea
Inamaana wameishiwa iran Nini?Hahahaha pro Iran mnachekesha sana aisee,hizo silaha zitapita njia gani?
Sijui kama kuna jengine, ila video nilioona mimi ni interceptor imetua maeneo ya Civilian.Kuna Moja limeanguka doha.
Mji mkuu nafikili lime loss target
Ngoja tuone but sidhani kama watakaa kimya sababu Trump ameshazidiwa na warmongers wakina HegsethMarekani asipo jibu basi tutajihakikishia kuwa hili shambulizi limepangwa.
Kama Uelewi Kingereza usikurupuke kujibuHahahaha pro Iran mnachekesha sana aisee,hizo silaha zitapita njia gani?
Hiyo ni debris ya missile ya Iran baada ya kupigwa na interceptor.Sijui kama kuna jengine, ila video nilioona mimi ni interceptor imetua maeneo ya Civilian.
Nitafsirie basiKama Uelewi Kingereza usikurupuke kujibu