Tramp muoga wa Vita atadai akuna tatizo lolote lkn Iran itaakikisha izo kambi Marekani arudi tena zinachakazwa zote.Muajemi kazi anayo.
U.S. President Trump is currently meeting with senior defense and intelligence officials in the White House Situation Room.
Huyo al Jazeera yangerushwa Israel asingesema yamezuiwa ila inshort makombora ya Iran mengi huwa yanazuiwa ingekuw yanapita yote Tel Aviv usingekuwepo, air defence system zipewe heshima yakeNaangalia Aljazeera hapa mfumo wa kulinda anga la Qatar unazuia makombora mengi ya Iran
We noma,Hiyo ni debris ya missile ya Iran baada ya kupigwa na interceptor.
Mpaka sasa mmeshindwa kupiga hata kambi moja ya Israel ndio mtaweza kuchakaza za MarekaniTramp muoga wa Vita atadai akuna tatizo lolote lkn Iran itaakikisha izo kambi Marekani arudi tena zinachakazwa zote.
KaMa wewe ni mwanaume nitashangaa sana , sio Kwa mipasho hioNamdhalilisha? Wewe unamjua? Unajua ana utaifa gani?
Nakuuliza unamjua ana utaifa gani?
Yani akili za kwangu, alafu wewe unipime?
Una uhakika kuna chochote chema wewe umenizidi hapa duniani? Nimesema chochote chema?
Hazijafika sio? Kweli pro Iran mpo kwenye denial modeWe noma,
1. Missile hazijafika hata Qatar ushajua Qatar ime intercept na haijapata madhara,
2. Sasa hivi hadi unajua video niliyokua naangalia ni kitu gani?
Kadanganye watoto wenzio huko.
Ila wewe jamaa yangu mda mwingine unakuwaga mjinga sanaQatar walivyo hawana akili wanasema watajibu, yale majitu akili zao za kipumbavu sana... yakijibu yatandikwe hadi hadi hizo familia zao za ki dictator zilizo kalia nchi zikimbie..
Iran ana makombora tofauti tofauti, kuna makombora ambayo hakuna Air defense pale Israel inayoweza kuzuia, hayo hutumia kupiga sehemu muhimu muhimu.Huyo al Jazeera yangerushwa Israel asingesema yamezuiwa ila inshort makombora ya Iran mengi huwa yanazuiwa ingekuw yanapita yote Tel Aviv usingekuwepo, air defence system zipewe heshima yake
JUST IN: President Trump has no intention to strike back against IranSource: US officialsTramp muoga wa Vita atadai akuna tatizo lolote lkn Iran itaakikisha izo kambi Marekani arudi tena zinachakazwa zote.
Washageukana Nini huko iranMapambano muda huu bagh Saba na suhrawardi. Milio ya risasi
Mimi nashangaa naona wanawake wa Qatar hawana vilembaUdikteta upo Tehran ambapo mwanamke analazimishwa kuvaa kilemba
Duuh acha uongo mzee kobaziIran mpaa mda huu kapiga base za USA kule Qatar, Bahrain, Kuwait na Iraq bado kidogo UAE
Dawa yake ishaiva bado kunyweshwa na mkali wa kazi za vilipuzi plus mchuzi mix wa hawmak B-2Iran ni tatizo inabidi adhibitiwe pale ME
Rais wa Iran ni Khamenei?Ila wewe jamaa yangu mda mwingine unakuwaga mjinga sana
Kwahiyo Qatar ni madikiteta ila ayatollah siyo dictator si ndio?
Nimepost Video comment kadhaa zilizopita za direct hit, vyombo vya habari vinasema kuna hit, we kajamba nani unajua hakuna hit? Tafuta vitoto kaa navyo vidaganyeHazijafika sio? Kweli pro Iran mpo kwenye denial mode
Nina uhakika nimekuzidi uimara wa sphincter muscles!Namdhalilisha? Wewe unamjua? Unajua ana utaifa gani?
Nakuuliza unamjua ana utaifa gani?
Yani akili za kwangu, alafu wewe unipime?
Una uhakika kuna chochote chema wewe umenizidi hapa duniani? Nimesema chochote chema?
Acha ubishi, video imeonyesha kabisa debris zinaanguka juu ya jengoWe noma,
1. Missile hazijafika hata Qatar ushajua Qatar ime intercept na haijapata madhara,
2. Sasa hivi hadi unajua video niliyokua naangalia ni kitu gani?
Kadanganye watoto wenzio huko.