Mazayuni hayaelewi lugha nyingine yoyote tofauti na kipigo mkuu😂Gurion Airport imelambishwa asali kidogo.
Ayatollah acha roho mbaya, ukifanya hivi watondokaje sasa!?
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1934313191804141741
Hakuna kitu km hicho magari mawili matatu tu yalikua yanaunguaSasa kama unaona unabisha nini?
Kwamba Israel hachapiki muda huu?
Wewe mwenyewe umeweka picha za Haifa ikiwa inawaka moto halafu unajibishia mwenyewe tena.😂
Israel ana onja dawa anayo wanywesha Gaza kila sikuUmepanic mkuu?
Kipigo bado kinaendelea pengine usiku kucha.
Mazayuni hawajalala siku ya tatu mfululizo na hawatalala kwa siku kadhaa mbele hadi akili iwarudie.
Wanachowafanyia watu wa Gaza ndicho wanachopitia wao kwasasa.
Persians sio warabu mkuu, hata lugha yao sio kiarabu.Mwarabu na vita wapi na wapi
Ngoja wachapane kwanza anaeanza kupigwa ndie anaemaliza mchezo subiri utaelewa ninachokwambia kuimba kupokezana ukiimba mchana mwenzio anaimba usiku hivyo yaan ni mwendo wa kuimbiana tuUnataka wafe watu wasio na hatia? Kila raia ana haki ya kuishi, awe mtanzania, muiran au muisraeli.
Hawa wapatanishwe na kila mmoja akubali kuwa kila nchi ina haki ya kuwepo, na isiingiliwe. Haya mambo ya kutaka watu au taifa fulani lisiwepo, ni mambo ya kijinga na ndio yamepelekea hizi vita.
Kwa sababu za Israel zinapenya zikienda Iran ila Iran kulivyochakaa hatuonyeshwi tunaonyeshwa Israel tuKwanini missiles nyingi za Iran zinadunguliwa angani kabla ya kutua Israel?
Nimeiona tigo ukianza kutumia VPN wanakata internet 😂We pimbi wengine hatutaki matatizo na serikali hatutumii VPN leta source nyingine
Nipo naangalia hapa leta na hizo za Iran tufanye balance equation tuone nani anaepigwa sana
🤣🤣🤣🤣 Kama inauma vaa uendeUsifikiri hatuoni Kenge wewe
Utapata shida ya moyo bure mnyakyusa unayejiona muisrael kwenye kiooNipo naangalia hapa leta na hizo za Iran tufanye balance equation tuone nani anaepigwa sana
🤸🤸🤸Wakati milipuko imesikika tel aviv,glider bombs!!?..maamae,leo muajemi kaanza saa kumi mpaka pakuche
Angalia Tehran kunafuka moshiUtapata shida ya moyo bure mnyakyusa unayejiona muisrael kwenye kioo
We jamaa si ulikua pro israel,au kumbukumbu zangu zina matege?Ngoja ni tune on nishudie vimondo maana katika hili Iran kani suza moyo kitu kina dodge interceptions za iron Dome kwa Kasi ya mwanga kina impact
Subiri kwanza Ayatollah akishakufa tutakujibu swali lakoHey, ebu nielekezeni kama mtu nisiyeelewa kitu kabisa.
Tunaambiwa kuwa Israel inamiliki anga la Iran, yaani Israel anaingia na ndege zake na kushambulia ndani ya anga la Iran vile anavyotaka, yaani hakuna upinzani wowote dhidi ya ndege zake.
Sasa inakuwaje Iran bado inafanikiwa kufanya mashambulizi makubwa dhidi ya Israel?
Hizi ndege za Israel huwa zinashambulia kitu gani zinavyoingia na kutoka ndani ya anga la Iran?
Wewe kwani unataka vipi?We jamaa si ulikua pro israel,au kumbukumbu zangu zina matege?
Tehran si mnapiga matanki ya mafuta,halafu magaidi wenu wamelipua chemba za mavi mji usikalikeAngalia Tehran kunafuka moshi