dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
Your argument ain't tautology,hazina uhusiano kauli zakoIran Wana limited number of Ballistics missiles, Ndio maana wanatarget maeneo ya makazi
Medvedev anapenda ugomviPutin anabusara kuliko Medvedev
Na anaonekana mhindi huyu!
Netanyahu a.k.a Mr Kasongo yeyee location yake inasomeka anaishi kama Panya muda mwingi yuko chini ya ardhi kwenye mahandaki kuliko kutoka njeTupe loction ya Netanyahu..
Balozi wa Marekani nchini Israel ,Huckabee ametoa taarifa kuwa jengo la ubalozi wa Marekani jijini Tel Avi limeathirika kutokana na mashambulizi ya Iran yanayoendelea.
Balozi huyo daima amekuwa na misimamo mikali dhidi ya Iran na Hamas kama kwamba yeye ni mmoja ya mawaziri wa serikali ya Netanyahu.
Katika taarifa yake hii Huckabee amesema hakuna maafa makubwa kutokana na shambulio hilo.Akaongeza kuwa kutokana na hali hiyo ya vita ubalozi wa nchi hiyo utaendelea kufungwa,
US envoy reports damage to embassy branch in Tel Aviv
Mike Huckabee says there’s been “some minor damage” to the US Embassy building in Tel Aviv after “concussions of Iranian missile hits” near the structure.
There were no injuries to US personnel, and the country’s embassies and consulates in Jerusalem and Tel Aviv will remain closed today, he added.
aljazeera live
Hiyo nchi kila mwenye Imani ya kiyahudi alienda, India palikua na wayahudi, Yemen, Iran, Azerbaijan etc,wayahudi wa Ethiopia tu ndo wanawake walikaushwa vizaziNa anaonekana mhindi huyu!
lakini waliokufa huko Iran ni wengi kuliko Israel.Sasa sijui waliokufa wengine si watu watu au vipinaona utofauti wa upigaji wa Isareal na Iran,Israel anapiga military targets Iran anapiga reidential areas..
Mkuu upo seriously 😳😳Israel wamewafuatilia nyendo za hao viongozi muda mrefu,waka improvise njia za kuwaua,lakini siamini ukiua mkurugenzi mkuu TISS,cdf jwtz,raisi,makamu wa rais,wakuu wa vikosi basi tz inakua kwishnehi,si kweli
Ya iraq yanaenda kujiri?Kuna movement za ndege pia ambazo zinaonekana ni tankers za mafuta zinaelekea EU kutoka US, ina maana hii vita inaelekea sehemu nyingine..
View: https://x.com/i/status/1934478543892996166
Ayatollah mtoa maelekezo sio msainiji.Ayatollah ni kiongozi wa kidini na ndiye kiongozi mkuu. Supreme leader.
Atakachosema watu wanatii. Huyo masudi anafufuata orders za ayatollah. Ukimuua, masudi hawezi kusaini makubaliano hadi apatikane ayatollah mwingine.
Khamenei yupo uhamishoni tayariIran itafutwa asee tuache utani
Usitake ubishi mzee.Ukiacha shambulio la alfajiri asubuhi hii Israel hajashambuliwa, labda Tehran ndo HQ ya polisi imegeuzwa kifusi dakika chache nyuma, raia wa Israel watabaki sababu serikali yao iliandaa mazingira ya nyakati kama hizi, nasikia Ayatoulah anateua kureplace waliouawa ila anakowateulia hapajulikani maana yuko mafichoni
Netanyahu.Tufanye vita imeisha leo mda huu, nani atakuwa looser?
Iran ndio ina hypersonic missile bro.Alipo andika Tu Iran inatumia hypersonic missile nikajua tayali tusha Anza danganyana apa