Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

#Trostianets , Sumy region, seems like a fresh catch
 
#MalayaRogan, Kharkiv region, captured wounded senior lieutenant
 
US sio wakuwaamini UMBWA wale
ila HOUTHI wananifurahisha sana aseeeeee
kama walitegemea gape atajaza SAUDIA pole yao nakwengine watakapokimbilia tutapachafua tena
 
tunapeleka moto mpaka wakubali na wakikubali sisi tunaongeza masharti mengine
kiufupi mpaka komedian asepe hatufai yule kibaraka
 

Qatar says replacing Russian gas is impossible​

The country refuses to take sides in the Ukraine crisis

The official, who is also the president and CEO of state-owned QatarEnergy, noted that “from 30 to 40% of the total volume of gas supplied to the world market comes from Russia.”

The EU imposed economic sanctions on Moscow over the conflict in Ukraine, and announced it would move towards gradually slashing consumption of Russian natural gas this year. Over 40% of the EU’s gas imports come from Russia.
 
wewe jamaa bwana hujasikia wakat ndio erdogan kaishasema hvyo
wananchi toka awali hawana shida zaidi ya huyo mchekeshaji na hv wanavyopelekewa moto wanakataaje
 
Kwa hiyo hizo meli zilitengenezwa kwa ajili ya mapambo sio?
 
Kwa hiyo siku hizi vita ni kama mechi ya mpila yakwamba ina muda maalumu ukiisha kabla ya lengo kufikiwa basi umeshindwa?

Kweli ukikosa akili unakuwa unepoteza kila kitu katika maisha yako matokeo yanakuwa kama haya kuongea utoporo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mpelekaji atakua nanii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
 
Sawa mmarekani wa mwakaleli warusi wa tukuyu tumekuelewa.
 
urusi yasema sasa itaelekeza nguvu zake kwe lengo lake kuu ambalo ni kuikomboa eastern Donbas baada ya operaion yake across ukraine yote kufanikiwa tayari
Je ni kweli operation ya urusi ndani ya ukraine imeshafanikiwa kiasi cha urusi kurudi kwenda kudeal na donbas au imekwama kaona ni heri akadeal na donbas tu? wenye connections zenu kremlin na white house leteni info
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…