Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukijiongeza kidogo utapata majibu, jiulize kwa nini Russia amerudisha nyuma meli vita zake kwenye hilo eneo.
Vp kama hiyo meli iliyozama ndio Ilikuwa inatoa ulinzi wa mashambulizi ya anga Kwa meli vita nyingine?Huoni hiyo inaweza kuwa sababu?Huo nimetoa ni mfano tu,usijiweke ndani ya box!Acha fikra zako ziwe huru!
 
SI wameshaamua. ..au bado ....
 
Hii Meli warusi imewauma Sana inaonekana hawakutegemea Kama ingezamishwa. Na hii itakua fundisho kwao maana kuanzia sasa wataanza kuogopa pwani ya Ukraine.
Issue muhimu sio kuogopa Urusi pwani ya Mashariki mwa Ukraine mkuu,issue ni kwamba kuta-kuwa na escalation ya hii vita kati ya US,Europe na NATO,ambayo ni hatari kwa ustawi wa Dunia na Wanadamu.Naomba nikufahamishe kwamba WWIII tayari imeshaanza,ingawa bado haijatangazwa rasmi.
 
Fragments of one of the Ukrainian Tochka-U missiles fell on a settlement in the Kherson region, a kindergarten and residential buildings were damaged, a woman and a child were injured, the Russian Defense Ministry said.
Galip S-22
 
Russia's disconnection from SWIFT posed a threat to the hegemony of the US dollar, writes Japanese economist Daisuke Karakama.

In an article for Japan Business Press, he notes that if sanctions against Russia drag on, the de-dollarization trend could accelerate.

From the very beginning of the introduction of restrictions, there was talk about the possibility of connecting the Russian Federation to the Chinese international payment system CIPS. If this returns to normal, the hegemony of the dollar will crack, the article says.

In addition, over the past 20+ years, the dollar share has already fallen from 71% to 59%.
Galip S-22
 
Biden's words that the events in Ukraine are similar to genocide caused bewilderment among the American intelligence services.

Intelligence cannot confirm this, NBC reported, citing agency officials. It is noted that such statements by the President of the United States make it difficult to work on making legal assessments of what is happening.

β€œGenocide implies the existence of the goal of destroying an ethnic group or nation, and so far this is not what we see,” one of the interlocutors of the TV channel said.

Biden has previously called the actions of Russian troops in Ukraine a genocide. Macron and UN Secretary General Guterres disagreed.
Galip S-22
 
Joe Biden and his wife Jill earned $610.7 thousand for two in 2021, and US Vice President Kamala Harris and her husband Douglas Emhoff earned $1.65 million last year, RIA Novosti reports, citing tax returns that were released by White House.
Galip S-22
 
Na hii nilishaipost humu tangu March 26.... Sikiliza halafu njoo tena ...
 

Attachments

  • VID_20220328_082148_031.mp4
    11.3 MB
Hii Meli warusi imewauma Sana inaonekana hawakutegemea Kama ingezamishwa. Na hii itakua fundisho kwao maana kuanzia sasa wataanza kuogopa pwani ya Ukraine.
Sasa hivi wanafikira kutumia tactical nuclear weapons. Maana washamaliza convectional weapons zote kwenye maghala ikiwemo supersonic missile lakini ndio wanazidi kuumizwa.
 
Ila Tukubali tukakatae Warusi Wana akili flani tofauti sana nchi hii inaandamwa for Years ili isambaratishwe Infact Marekani inawaza sana kuhusu Urusi kuliko Hata China...IMEKUA shida sana kuisambaratisha Urusi...
Hivi ni vita vya Bapali na Mjamaa......
Mmarekani ameona hii ni fursa pekee ya kupigana na Mrusi nyuma ya mgongo wa Ukraine.......
 
-hii sio vita bali ni special operation
-tumejondoa kiev kwa nia njema kufanikisha mazungumzo ya amani
-meli yetu imepata ajali ya moto ila umeshadhibitiwa,uharibifu ni mdogo tu na inavutwa kuelekea bandarini
-tumepoteza askari 1350 tu
-
Acha uwongo na Kuna maiti hamtaki kuja kuzichukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…