hahahaa hatari ugomvi umehamia spaceView attachment 2190081
Putin Has Ordered The Destruction Of The Starlink Satellite Constellation
Source Putin ordered to destroy Starlink satellites - Medvedev
Wakiambiwa Ni Russia vs NATO wanakaza mafuvu.Jamaa aliyekamatwa ndio huyo[emoji116][emoji116].Na Hawa Mbwa wanao wasaidia Hawa ndio Wakufinya kwelikweli
Kama hii alivyokuwa wamejificha waliokuwemo humuView attachment 2189942
Yaani Meya Wamji Kasanda Anaogopa Kurudi Kwake
Lakini Anayokea Kilaza mmoja wa Kibera Rusia Fyoto Fyoto
Mungu Ibariki Urusi
Mkuu tunaongelea mpasuko, sio kule kupendwa kisiasa, kabla ya Urusi serikali ya Ukraine ilikuwa inaendesha mauaji ya Halaiki kwa Wa Ukraine wenye Asili ya Urusi.Papa mwenyewe hapendwi na waumini wote, sembuse kiongozi wa kisiasa?!!ni kiongozi gani duniani ambaye anapendwa na watu wote?!sasa hiyo mikoa miwili iliyojitenga ulitegemea nini, yaani watu wanajitenga tu kutokana na ushawishi wa nje, na wewe kama kiongozi unaangalia tu!!nakwambia huyu ndio rais aliyoko mioyoni mwa wananchi wengi wa ukraine, na yeye anayosimmamia ni matakwa yao ya katiba waliyoyapitisha hata kabla hajawa rais wao, mfano nia ya kujiunga NATO, na EU.
Sure.Hata Marekani mnaweza kuwa marafiki lakini ukithubutu kukengeuka cha moto unakumbana nacho.
Asia nia ya 1 ......em fafanua hapa mkuu sijaelewa
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Utembezi tu peeehaaaaa ...... Nipo zangu Bara huku napata KVangarati ..... Nilipitia wanangu Bububu na Chukwani ... Mara Moja Moja natimbaga pande hizoUmeanza kutaja mwanakwerekwe, sasa umetaja kiembe samaki. Mkuu ndio mitaa yako ya kulima ngano kutoka russia. karibu tena zanzibar
ARUSHA FOOTBALL CLUB...auataomba kwel huyu? anavyorngia china utasikia wanahamia AFC
Hakika UKRAINE inashinda Vita,SLAVA UKRAINI SLAVA UKRAINI [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16]Anatokea Kilaza Mmoja Anakuambia Russia Anachapika
Tena unaleta takataka bila kuchungulia hata kidogo kama uwezekano wa usahihi upo. HUna ushuhuda wowote Moskva ilitembea ikiweka mabomu ya nyuklia kwenye roketi zake?Radiation alert issued:Leave the entire Black Sea region,Northern Turkey and Bosporus region because of extreme radiation.
It is now known that the US Harpoon missile was used to hit the Moskva, and was targeted from the AEGIS in Romania.It was targeted to purposefully hit one of the front missile tubes on the Moskva. These carry the nuclear tipped 350 kiloton missiles and several other nukes, now sitting in shallow water with one or more of them, and up to 4 plutonium pits pouring radiation into the Black Sea.Extreme radiation danger in the entire Black Sea region,Northern Turkey and Bosporus is expected.
The missiles carry 350 kilotons of radioactive material and several other nukes.These are now sitting in shallow water with one or more of them pouring radiation into the Black Sea.
Au sio Keyboard Warrior.....mlipiga hadi kombola La hypersonic. Mkasema hadi πΊπΈπΊπΈ na NATO hawajawahi kuliona hilo dude. πππ lakini hadi Leo tunaiona πΊπ¦πΊπ¦ akiendelea Ku survive. Mna lipi jipya .?
Hata mrushe Bomu la nyuklia . hamwezi ichukua πΊπ¦πΊπ¦
ππ
Safi Sana,hayo ndio mambo sasa.View attachment 2190081
Putin Has Ordered The Destruction Of The Starlink Satellite Constellation
Source Putin ordered to destroy Starlink satellites - Medvedev
Hawa sijui wamepigwa na kitu gani. Kinaonekana ni kizoto sana
Mji wa Kharkiv inateketea.ukraine mkubali tu yaishe jaman[emoji17][emoji17][emoji17]
Tatizo tumebeba demokrasia kama dodoki msemo wa Mwl.Nyerere bila kuangalia mazingira yetu. Sasa inachangamya watu na wengine wanaitumia vibaya... Kama kwenye huu Uzi isingekuwa demokrasia Kuna watu hawana sifa hata ya kuusoma tu huu Uzi achana na kuchangia kuusoma tu wasingeweza. Ndio gharama za demokrasia hizoKuna pro nato linaitwa nankumene, nimeliweka kwenye ignore list kwa kuandika upumbavu. Hivi kuna anayefahamu katiba ya china ilivyo, je kuna asiyefahamu maendeleo ya china licha ya udikteta wao