Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Chanzo kipo,siwezi kupika taarifa kama hiyo,ila because of your uncooth behaviour sikupi.Najua hata nikileta utasema chanzo hakiaminiki.Najua watetezi wa psycopaths wa the West walivyo.Dialogue closed.
Andika Kiswahili, usijaribu lugha ya kigeni. (Ulitaka kuandika "uncouth", hakuna "uncooth"). Nahisi umekopi kwa psychopaths from the west, sawa na kile ulichowahi kuleta kuhusu "Khazarian Mafia", ulitegemea vichaa wa Marekani pekee.
 
Mkuu hapa kuna watu ukiwakuta kule kwenye Jukwaa la Siasa wanavyotokwa mapovu dhidi ya 'uonevu' wa CCM na ukija hapa kwa huu uzi unakuta mtu yule yule huku anashabikia uonevu wa Putin unabaki unajiuliza,ndiyo huyu huyu mtu mmoja anaeshabikia huu uonevu au ni pacha wake.Ukrain wamesimama na wamehesabiwa na vizazi vyao vitawakumbuka na kuendeleza kutetea Taifa lao siku zote.
 
Una angalia na mazingira, hivi Japan angeamua kupambana mpaka mwisho hata baada ya kudondoshewa bomu la nyukilia kungekuwepo taifa linalo itwa Japan?
 
Ukraini anapambana Ama anapigwa tu
 
Siyo tuliahidiwa na majibu bila kuchelewa???
 
Hivi mkuu meli ya urusi iliyozama ilikuwa au ina uwezo wa kutumia nuke??
 
Bangi haijawai kumuacha mtu salama
 
Itaisha kama ya Finland ... Na itaandikwa Urusi kashindwa kama Finland... Na Ukraine wataachia maeneo kama Finland.. ila itaandikwa Urusi kashindwa Mark my words.
 
Hivi kwenda Russia visa ngumu kama huko US/UK? Nataka niende Moscow au Gronzy kuwasalimia Mwamba Putin na Kadrov vita ikiisha wamejua kunikomeshea watu haha!
Tukutane Urals Mountains....
 
Bora akutane na SPETSNAZ kuliko WAGNER GROUP..
 
Sikushughulika na maswala ya Bucha kwa sababu nlijua propaganda kazini. Ukweli wa kwamba Urusi anazingatia casualties za civilian ameusema Putin mwenyewe pale aliposema watu wengi wanauliza operesheni haiwezi kumalizwa haraka akasema inaweza tatizo isipokuwa kinachokwamisha ni casualties.

  • Urusi mwanzoni walitoa mpk deadline kwa watu kuondoka maeneo ambayo wangekuja kuyataget badae. Wakapunguza mapigano.
  • wakatengeneza nafasi za korido za kibinaadamu kuruhusu watu waondoke meneo hatarishi
  • wanatoa msaada wa vyakula na dawa kwa raia mpk wanajeshi waliojisalimisha wa ukr

Inatosha kwangu kusema russia wanazingatia kupunguza human/civilian casualties

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 

Namwona RUSSIA no6 hapo afu kuna mtu anakwambia masikini[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…