Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii hapa mkuu.
 
Hivi mkuu labda nikuulize kitu. Hivi hiyo nishati ya πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί huko ardhini haitotokea kuja kuisha ?. Na je umewahi kujiuliza miaka ya mbeleni huko nchi zinazotegemea nishati ya πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί wataishije?
Nchi nyingi kwa sasa zinajitahidi kugundua vyanzo vingine vya nishati unafikiri hawana akili?.
Teknolojia nyingi wanazivumbua zisizo husisha matumizi ya mafuta na gesi unafikiri ni vichaa?.
Moja kati ya sababu zinazowasukuma ni hiyo kuwa mafuta na gesi ni kama madini tu iko siku tutachimba yataisha tu .
Mwanafizikia Albert Einstein anatueleza kila kitu kilichopo hapa ulimwenguni kina nishati , kikubwa tu kitu hicho kiwe na mass . the issue comes how to change a mass to energy. Na hapo ndipo wanasayansi wanahangaika kubadili mass to energy. Na kwa kiasi kikubwa hatua imepigwa .
Amini iko siku hawa wenzetu dunia ya kwanza watakuja kuachana na matumizi ya nishati ya mafuta na gesi . ni lini ? Muda utaongea .
 

Russia alicheza vzr karata zake kule ana venezuela asia support kama yote hapo lazma wapoteane
 
Russia hesabu zake hazipo tena ulaya wala America saivi anwaza soko la Asia maana dunia kiuchumi nchi nyingi za Asia pato Lao linakuwa na viwanda vingi vinaamishiwa uko kwaiyo iyoo miaka mitano waliyojiwekea naye Rusia atakuwa kapata soko lake jipya kubwa ni seals la mda mtu
 
Mzee hakuna kinachoshindikana akiamua kuleta oil africa anaweza tumia hata meli zake zikafanya supply kupunguza transport cost.

Soko la nishati ni kubwa sababu hata iliyopo haitutoshi. Tusubiri tuone hakuna kinachoshindikana OPEC+ ndo kila kitu
mkuu kwani hizo meli za πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί + opec hazipo huko baharini ?. Zipo nyingi tu tena zinalandalanda kutafuta wateja kwa bei rahisi na yakutupwa . Hukumsikia juzi Mbunge shabibi akiishauri selikari kuwa njia ya kupunguza kupanda kwa nishati ya mafuta ni Ewura waruhusu kila mfanyabiashara akanunue mafuta anakojua yeye . unafikiri hawazioni hizo meli ?. Kwa sasa hivi kwa nchi zetu hizi kununua nishati kutoka kwa πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί ni kuchezea ndevu za πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡ΊπŸ‡Έ atakuchezesha mdumange na ngomanagwa hadi uyatapike hayo mafuta.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu kila kitu huwa kiaonekana hakiwezekani mpaka kiwezekane, mawazo yako hata watu kipindi cha utawala wa Rumi waliamini hivyo, Ila tuupe muda nafasi utatupa majibu
 
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
And when the dust settles, those who imposed sanctions will be forced to negotiate with us on our terms.”

Director General of Roscosmos Dmitry Rogozin spoke about the attitude towards the sanctions policy of the West. The head of the state corporation believes that external pressure will not prevent Russia from implementing national programs. Galip Sr

β€œEverything will be implemented on time, as it should be,” he said in an interview with the ONT TV channel.
 
[emoji635] sio [emoji117][emoji1269]
 
nikusaidie tu utegemez wa nishat unahitajika nch nying zinazoendelea.ndio mana jana putin kasema west wanaweza kujitegemea kinishat miaka michsche ijayo cha msing wao waelekeze nguv masoko mapya kwa wenye uhitaji kama asia na mide east na africA.jerman watawez kuwa na solar magar ya umeme sawa.sisi africa je tutaweza? ukisema atabaka na nishat yake yn jad sisi tukatae kununua mafuta yake?au una gar la umeme
 
Kilio cha ajabu kidogo. Hakuna askari wa Kirusi aliyeshambuliwa katika Urusi.
Hakuna aliyewaandaa wanajeshi wa Ukraine kushambulia Urusi.
Wanajeshi wote 20,000 wa Urusi walikufa wangekuwa hai kama wangebaki katika nchi yao.
Wanachofanya Waukraine huitwa KUJITETEA ambayo ni haki ya kila mtu..
Au nimekosa?
 
Msamiati waghafla haupo
Naunga mkono hoja MKUU
 
ila siamin mpk wa leo huyule jamaa asad bdo yupo madarakn maana kwa ile vuguvug arab spring ilivoanza kwa hosni ilisambaa nikajua asad anatembea ila duh alikaza na ikaishia hapo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…