Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sisi hata hao Wakenya tu watatuhemyesha haswaa
 
Sawa ..tumekusikia .... Mnavyoviita vita vinaedeleaje huko....
Sio vita ni special operation, mpaka sasa jimbo la mariupol tumelichukua kwa 100% hivyo eneo la mashariki mwa Ukraine tuna control nalo kwa zaidi ya asilimia 87. Mariupol, Donetsk, luhansk, cremea zote zitajitenga na nchi ya ukraini na kuunda nchi mbili au 3.

Ukraine atakosa udhibiti wa bandari, na maeneo muhimu yenye rasilimali na ardhi nzuri kwa ajili ya kilimo cha ngano. Tupo mdogo mdogo hatuna haraka, yaani pale Ukraine ndio tumefika, hatuondoki leo wala mwaka 2030, kama yupo wa kututoa nenda ukamwite.
 
Na kule Iraq, je, USA aliivamia na kumuua Saddam Hussein kwa sababu gani?

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
Mara ya kwanza waliingia kwa haki baada ya Saddam kuvamia Kuweit. Umoja wa Mataifa uliidhinisha.
Mara ya pili walivunja sheria ya kimataifa na kugushi sababu ya silaha kali.
Ujifunze kutofautisha!
 
Inasikitisha sana tche tche..!!
 
Huwa unapenda kuuliza maswali tu kama mtu anayejua sana ili kuficha ujinga wako, ni mkakati mzuri lakini wa kitoto uki overdo.
Uingereza aliwawekea vikwazo viongozi wa wapi Jamhuri za wapi ....!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…