Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Ila US huyu huyu ndio kasaidia utawala wakidikteta wa BAHRAIN uendelee kuwepo pia anasaidia udikteita wa MBSTofauti ipo.
Marekani alivamia Afghanistan kwa sababu Al Queda walilipua Marekani 9/11 na pia walilipua balozi za US zilizo Tanzania na Kenya mwaka 1998 na mara zote walikiri na kujigamba kufanya hivyo, Taliban waliambiwa wamkabidhi Osama wakagoma.Russia iliivamia Afghanistan kutanua Himaya yake ya Ukomunisti.
US walikuwa wanawasaidia waandamanaji waliokuwa wanauwawa kwa kutaka kumuondoa dikteta Assad madarakani, Russia inamsaidia dikteta Assad kubaki madarakani ili aendelee kuwakandamiza raia wake ambao wamemchoka.
Russia huvamia majirani zake ili kuchukua maeneo ya nchi zao na kuyafanya maeneo yake, US haifanyi hivyo.
Huku juu ukiwa umezibiwa njia.Hayo mapango hayana maana .Yanakuwa ni makaburi.Ingekuwa unajificha dhidi ya wanyama wakali kama tembo na kiboko ingeleta hisia fulani ya usalama.Walikijenga wenyewe hichi kiwanda sasa kinawachelewesha.
View attachment 2194337
Kabisa RUSSO wanayohaqqi yakujilindaRussia iko kwenye self-defense. Ukraine ni kichaka Cha NATO na West katika njama za kuitaka kuiangamiza Russia. Ukraine inatumika kama front au launching pad ya USA, NATO na nchi za West dhidi ya Russia.
Kufeni tuuuuSema team Ukraine uko Mariupol Warusi wametushika pabaya sizani kama tutaboa .
Ukraine imesema ipo tayari kuliachia jiji ilo la Mariupol endapo Urusi itakubari kuwachia wanajeshi wake walio nasa uko na raia lakn urusi imekata
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mwezi mmoja kabla ya dozee haijaanza shenzi taipu[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]View attachment 2193801
FILE PHOTO: A Ukrainian soldier fires an NLAW anti-tank weapon during an exercise in the Donetsk region, February 15, 2022. [emoji2398] AP / Vadim Ghirda
Hili dude unaambiwa linaeza ku-destroy enermy strategic targets popote pale duniani with kinetic impact energy pekee pasipo kutumia nuclear warhead...View attachment 2194381
Russia has successfully launched the Sarmat ICBM.
All calculated characteristics are confirmed. Training warheads arrived in a given area in Kamchatka, according to the Ministry of Defense.
The agency recalls that the Sarmat is the most powerful missile in the world with the longest range of targets. It will greatly enhance the military power of the country.
Chechen ni Tiktok warriors wale wanajua kuedit video kuliko kupigana. Linganisha mazingira wanayokuwepo Federal troops na hao Chechens, hata casualties nyingi wanazo Federal troops. Chechens wapo kama wahamasishaji hutokaa uwaone kwenye mapigano makali na wanakwepa sana frontline
Hawa c wanashinda hii ngoma au wanashinda nanjaa!!!??Kamanda wa majeshi ya Ukraine yaliyojichimbia kwenye mahandaki ya kiwanda cha chuma amemuomba papa Francis wa Vaticana asaidie kuokoa maisha yao.
Amesikika kwenye vidio akilalamika kuwa wamebakiwa na masaa machache tu huku akitilia maanani nyongeza ya muda wa kujisalimisha uliotolewa na Urusi huku na wao wakiwa wameishiwa na chakula na silaha na vile vile kuzingirwa kwenye njia zote za kutokea.
Huyo kamanda zaidi ya kuomba msaada kwa papa ili waokolewe amewaomba viongozi wote duniani kusaidia kuondoka salama eneo hilo hata ikiwa watapelekwa nchi nyengine ya mbali.
ttps://www.bbc.com/news/live/world-europe-61157670
Missions zipo Nyingi.....Chechen ni Tiktok warriors wale wanajua kuedit video kuliko kupigana. Linganisha mazingira wanayokuwepo Federal troops na hao Chechens, hata casualties nyingi wanazo Federal troops. Chechens wapo kama wahamasishaji hutokaa uwaone kwenye mapigano makali na wanakwepa sana frontline
Waache waendelee kuletwa, watafyekwa TU[emoji4]Mercenaries from Poland, the USA, Canada, Romania, Britain and Georgia are most widely represented in the Ukrainian national battalions.
This was told by the official representative of the Russian Foreign Ministry Maria Zakharova.
In total, since the beginning of the special operation, the Kyiv regime has attracted to Ukraine about seven thousand foreign mercenaries from 63 states.
More than a thousand mercenaries have already been destroyed by Russian troops, and about a thousand more refused to participate in hostilities and left Ukraine.
Habari mbaya Sana kwa pro Ukraine na us kiujumla[emoji26]View attachment 2194381
Russia has successfully launched the Sarmat ICBM.
All calculated characteristics are confirmed. Training warheads arrived in a given area in Kamchatka, according to the Ministry of Defense.
The agency recalls that the Sarmat is the most powerful missile in the world with the longest range of targets. It will greatly enhance the military power of the country.
Hili natabiria NATO na EU zinaenda kuvunjika kisa vikwazo walivyoweka kwa Russia, tusubiri njaa ije, na msimu WA baridi ufike ndiyo tutapata majibu zile silaha za NATO na USA walizozitoa kama msaada Ukraine zimeenda wapi‘This Will Tear the EU Apart’: German Energy CEO Speaks Out Against Russian Gas Ban
"It's not just that this step would hit Germany hard, it would pose a huge problem for Europe," the CEO of EON, Leonhard Birnbaum, told the Handelsblatt business newspaper.
"If we think we can just secure the supply in Germany without caring for the other countries, this will tear the EU apart," he added, referring to many other European nations like the Czech Republic and Austria which rely heavily on Russian energy.
The executive speculated that Berlin would need at least three years to become energy independent from Moscow.
Mkuu ongezea nyama hiiiHivi wewe unawatete hao walaaniwa!!?
Umesahau kuna wakati hao wanajeshi wao walipotoka huko Iraq(sikumbuki ilikuwa wa kati wa Bushi baba au mtoto) walikuja baadhi yao kupumzika Tanzania. Matokeo yake walimbaka dada yetu mmoja mpaka akafa.
Walipokamatwa serekali yao ikatumia ubabe wakaachiwa muda mfupi baadae na kuondoka salama salmini!?
Acha Putin awakomeshe hawa mabaradhuli
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app