Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wakati Putin akiishambulia Kiev, Zelensky aliomba mazungumzo,Ila Sharti lake lilikuwa,kwamba kipengele cha kuachia eneo lolote la Ukraine halizunguziki, Putin alipoona hivyo,akaamua kuoiga pale pànapouma zaidi,yaani Donbas na Mariupol,akaachia Kiev,wajinga wakasema kashindwa,sasa hivi anawaumiza balaa,alafu baadae ataelekea Kiev tena baada ya kumalizana na Donbas🇷🇺
 
Mkatazeni huyo Mzee amewapiga balaa..zile story za kusema ohh majeneral 8 wamekufa saiv zimepotea kabisa....
 
Marekani yalalamika kuwa majeshi ya Russia yameteka jumla ya miji 42 mashariki ya Ukraine ndani ya wiki moja tu ya kuanza kwa phase hii ya pili ya operesheni maalumu ya kijeshi. Maafisa wa Ukraine wamekiri kupoteza umiliki wa miji hiyo 42...Naona Marekani na Zelensky wameamua kuanza kuongea ukweli wa kimachotokea field😆😆🤣🤣😇😇

Huu ni udhaifu mkubwa nchi kubwa kama Ukraine ambayo serikali yake imekuwa ikijitapa kushinda vita kwenye media. Pia ni fedheha kwa Marekani na washirika wake ambao wamekuwa wakiudanganya Ulimwengu kuwa Zelensky anashinda vita hivyo.

Kwa kweli kama 'kushinda vita' maana yake ni 'kupigwa mabomu, mizinga na makombora nchi nzima kila kukicha na kupoteza miji mingi namna hiyo (miji 42) ndani ya wiki moja tu'...basi bora huo ushindi aubebe Zelensky (Ukraine) na waUkraine wa Tandahimba.


 
Mie pia nataka kuanzisha operation ndogo ya kuwaaibisha Neo Nazis wa JF humu[emoji28] mpaka kufikia May Mosi hamna kenge ambaye atakuwa analeta habari za kimbeya toka twitani![emoji28]
Kama na wewe una makombora ya "Iskandar", endelea, wasiwasi wangu zile "Stingers" na Javelin zitakuzamishia "meli vita" yako.
 
Ukraine is no more, Putin anaamua afanye ninu saizi.
 
Mungu ambariki kiumbe anaitwa Putin!
 
Chinas coal imports from Russia have increased. Purchases more than doubled in March to 1.4 million tons. Meanwhile India is increasing its purchases of crude oil from Russia.

Multipolar world is forming before our very eyes. [emoji1128][emoji1666][emoji635][emoji1666][emoji630]

(Eurasia has entered the chat)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…