Jesus Mlokozi
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 2,690
- 21,122
Mpatie hiiF-35 mradi wa hovyo atakaebisha na abishe tuuuu
Mkuu humu jf kuna hatari sana!! Angalia alivyojibu kwa utulivuMkuu acha kuhalalisha maovu mungu haijawahi kuumba mtu akiwa shoga bali ni tabia za kujifunza za kishetani tu kama watu wavyo jifunza Uchawi, wizi ,uzinzi.
Ushoga ni uovu na mungu hajahi kuumba mtu akiwa muovu ,mwana damu anapo zaliwa anakuwa msafi bila doa yeyote ile huo uovu huja kujitia mwenyewe baada ya kuzaliwa .
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Kwani hao Ulaya na Marekeani bila nyuklia wanaweza kuishinda Urusi??Bila nyukilia Putin hawezi kuishinda ulaya na Marekani,sahauni
Haya ni mawazo yako na si ya 🇺🇸Marekani na NATO kwa ujumla wao wa nchi 30, wameamua kuidhoofisha Urusi kwa kuandaa mazingira ya vita vitakavyochukua miaka mingi!! Iko hivi:
Marekani na washirika wake wanajua kabisa kila wakipeleka silaha ukraine, Urusi ana nafasi ya kuziteketeza lakini anaziteketeza kwa kutumia silaha zake kali. Hizi silaha anazotumia Urusi lazima kuna siku zitaisha!! Wameamua kuendelea kupeleka silaha kwa gharama yoyote hadi urusi iishiwe silaha! Urusi inakabiliwa na maamuzi magumu aidha ya kuiangamiza kabisa ukraine ili isalimu amri kabla hajaishiwa silaha. Lakini kama wakifanikiwa lengo lao, mwisho wa siku ukraine italazimika kulipia gharama ya silaha hizo kwa muda mrefu!
Kwa nini msianze nyie kutupa kombora Urusi kumsaidia mshirika wenu Ukraine??Yaani mjinga kabisa ,akatupe kombora UK au US ndio tujue mbabe nani .Ukraine since Feb 24 yupo anafanya nini jinga kabisa
Bora kuwe na waamuzi wawili kuliko kuwa na mwamuzi mmojaPutin anatakiwa awekwe kwenye kundi la magaidi wanaotishia usalama wa dunia kisha adhibitiwe kivovote.
Haijalishi itacost maisha ya watu kiasi gani potelea mbali,ila wakimnyenyekea atakua anafanya anachojisikia kwa nchi yeyote anayohisi anaweza kupata anachotaka.
Dunia ilipofika sio ya mtu tu akijisikia sehemu fulani iwe yake anaichukua kisa tu anajiona ana nguvu ya kufanya hivo.
Hii ni kuondoa uhuru wa taifa husika na kutoheshimu tawala za wenzie.
Nchi zenye nguvu amueni tu moja kama dunia kuisha iishe tu kuliko kufuata matakwa ya huyo limbukeni wa maisha.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Kwa nini wengine hawafuati mfano wa Urusi? Kwa sababu ni hatari kuchezea thamani ya pesa ambayo ni picha ya nguvu ya uchumi.Watapinga
Kuna watu wanasema RUSSIA cjui kafanya kuzuia kiwango chautoaji pesa ili pesa yake ipande thamani
Nikajiuliza tu kwanini mataifa mengine yasifuate njia alofanya RUSSIA kuipandisha thamani sarafu yake
Ila nikapata jibu kwamba RUSSIA sio wakawaida kama tunavyoambiwa na WAMAGHARIBI
Akili ndogo NATO dhidi ya mbabe wao,walikurupuka na vikwazo wameumia wao kaneemeka adui Yao.Kijijini kwetu kuna watu huwa wanakamata nyoka mwenye sumu kali aitwaye Cobra!! Wanafanya hivi:
Wanakuwa wameandaa mabapa ya katani mengi. huwa wanamtupia hayo makatani halafu cobra anayauma! kila mara cobra anapouma katani huwa anamwaga sumu yake na rangi ya katani hubadilika. Inafikia mahali ambapo cobra anapouma katani, hiyo katani haibadiliki rangi. Hiyo ni dalili kuwa cobra ameishiwa na sumu! Hapo ndipo mtu huamua kumkamata cobra na cobra akimwuma linakuwa ni jeraha la kawaida tu maana sumu yote imeisha na kutibu jeraha hilo ni rahisi.
Ndivyo nchi za magharibi zilivyoamua kumfanyia urusi. Wananchi wa ukraine wanatumika kama katani, na silaha zinazoingizwa ukraine zinatumika kama katani za kumtupia cobra ambaye ndiyo urusi. Jana marekani kaidhinisha silaha na msaada wa kiuchumi wa dola bilioni 33!! Ujerumani imeidhinisha silaha nzito za mabilioni ya dola! Hali kadhalika kwa UK! Mrusi akiziharibu wanapeleka zingine!! Akiziharibu na hizo wanapeleka zingine!! Wameamua kuendelea na mzunguko huo kwa muda mrefu inavyowezekana. Ni mpambano wa nchi 33 dhidi ya nchi 1. Kati ya wote hao 33 hakuna anayeweza kuthubutu kupambana binafsi na urusi ana kwa ana!
Wahenga walisema MAKUNIWEWE.Kwa nini wengine hawafuati mfano wa Urusi? Kwa sababu ni hatari kuchezea thamani ya pesa ambayo ni picha ya nguvu ya uchumi.
Urusi inajaribu kusukuma thamani ya pesa yake juu zaidi , maana wasingechukua hatua walizochukua, rubel ingeshuka kabisa na baadaye hakuna duniani anayetaka kuigusa.
Kwa mbinu wanazotumia (kulazimisha makampuni yao ya gesi/mafuta kupeleka $€ zote benki kuu na kununua rubel, kuzuia $€ zisitolewe nje, kuzuia wawekezaji kuuza hisia na kurudisha pesa nyumbani) , wamefaulu kutetea thamani ya ruble sokoni; ila hii inategemea kabisa mapato ya kuuza gesi/mafuta na mauzo hayo yanazidi kupungua. (itachukua miaka hadi kupata njia mbadala kwa wateja wengine - kama wapo)
Kwa upande mwingine nguvu halisi ya uchumi unazidi kushuka; hawawezi kupata tena vipuli vingi (uzalishaji wa magari katika viwanda vya Urusi ulishuka vikali tangu Machi, ona Russian car market has decreased by 63% in March 2022 | RusAuto.News) , makampuni mengi ya kimagharibi yaliyozalisha magari na mashine yanaondoka.
Urusi inahitaji kutafuta njia mpya za kupata vipuli . Maana kabla ya vita asilimia 40 za bidhaa zilizonunuliwa na Urusi nje zilitoka Eu na Marekani. sehemu kubwa ya bidhaa hizo hazipatikani tena kutokana na vikwazo.
Ona hii
Russia’s main imports are machinery, chemicals, and other manufacturing goods, and that Russia depends on the rest of the world for the supply of many complex products. One factor explaining Russia’s sectoral trade profile and dependency is its poor labour productivity. Russian labour productivity in the industrial sector is 21 percent of US and 36 percent of EU’s labour productivity. In other words, the Russian economy needs five workers to do the job of one US factory worker. chanzo: Russia Import Dependency Problem |
Hata katika sekta ya silaha inayotajwa hapa mara kwa mara, udhaifu wa uchumi wa Urusi unaonekana: wana mahandisi wazuri waliobuni silaha bora (au: zinazoaminiwa kuwa bora maana hazikufika vitani bado) kama kifaru T-14 na ndegevita SU-57 lakini silaha hizo hazikufika kwenye jeshi bado kwa sababu hadi sasa tasnia ilishindwa kuzitengeneza mbali na mashine chache za majaribio na uchumi kwa jumla haikuwa na nguvu kuzalisha mapato ya kutosha kulipa gharama za mitambo hii. Hapo sababu kwamba wala T-14 wala SU-57 haikuonekana bado katika vita hii, na hazitaonekana.
Zile ni Airbus za Ufaransa, zilikuja 11Now day Tz inanunua siraha kotekote
Chopa zile alizoagiza JK alafu ambazo now nape anatembea nazo ni from Italy
Bunduki za PSU ni from Israel
Cyber team ya tiss inatumia vifaa vya israel and china
Vifaru vingi ni china russia German and Romania
Never get old....
MKUU hua natamani kubishana na wewe ksa hojaKwa nini wengine hawafuati mfano wa Urusi? Kwa sababu ni hatari kuchezea thamani ya pesa ambayo ni picha ya nguvu ya uchumi.