Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Aya tufanye ni kweli. Waende Mariupol wakaokoe wapiganaji wao, wamelia mno wanataka msaada. Waende na javelin, shida ipo wapi?
 
Watu hawajui hichi kitu wanakaza fuvu..[emoji3]

Tatizo wanapenda maneno ya kwenye kahawa, mi nawapa sites wakasome, mtu kachukua nch na amebadili serikal ndan ya week chache wenyew wamekomaa na miaka 20[emoji16]

Sasa kati ya Taliban na US nani alishinda vita? Mtu aliekuja kwako na kuweka serikal mpya pia kukaa hapo kwa miaka 20 na kuhakikisha hakuna shambulio la kigaidi kwenye ardhi yake na akafanikiwa unaanzaje kusema kashindwa.
 
Yani atleast nimeona mtu ambae anaelewa Kama wewe, Kama wasipoelewa na hapo basi ase.
 
Kaka kwenye silaha za nyuklia kuanzia kiwango fulani haidhuru nani ana silaha zaidi. Silaha za Uingereza zinatosha kumaliza Urusi kwa kuangamiza miji mikubwa yote. Urusi ingeweza kuangamiza Uingereza mara 50 lakini uwezo huu unasaidia nini?
Hapa tuna sababu kwamba tangu 1945 silaha za kinyuklia hazikutumiwa. Katika mafundisho ya kijeshi hali huitwa "MAD - mutual assured destruction".
Kama Urusi iko mbele ya tekinolojia ya makombora ni swali tofauti - sidhani ni kweli. hata hivyo, si muhimu sana wakati hakuna tekinolojia inayoondoa uwezo wa upande mmoja kujibu baada ya kupigwa na upande mwingine. Na hapo wote wanao uwezo huu; maana hata kama nchi ingeangamizwa kabisa kabla ya kurusha roketi zak, hata hivyo kila nchi kati ya Uingereza, Ufaransa, Urusi na Marekani wana nyambizi zinazobeba silaha za nyuklia zikizunguka baharini kila dakika. Ambayo inatosha kutuma jibu hata baada ya nchi ya nyumbani kumalizika.
Hii ni sababu naona hesabu yako ya 1:27 haidhuru, hata kama ingekuwa 1: 100 au 1:1000.

Na hapa ni nzuri nchi za NATO zinajitahjidi kutogongana na Urusi moja kwa moja kwa sababu mgongano huo unaongeza hatari ya vita ya nyuklia . Jeshi la urusi jinsi linavyoonyesha udhaifu siku kwa siku, naona uwezekano watamaliza uwezo wao katika Ukraine wakati ukraine inaendelea kupokea silaha. Hata hizi silaha ndogo zilionyesha uwezo hadi sasa, tulivyoona huko Kyiv na sasa Kharkiv.
 
Aya tufanye ni kweli. Waende Mariupol wakaokoe wapiganaji wao, wamelia mno wanataka msaada. Waende na javelin, shida ipo wapi?
Mariupol hazitasaidia. Binafsi ninashangaa kwamba wateteaji wako bado, sikutegemea. Silaha hizo ndogo zinasiadia kujitetea hazifai sana katika mashambulio.
Tuone sasa mizinga inayofika kutoka US na Ujerumani na Ufaransa kama italeta mabadiliko zaidi.
 
I think hufaham unachokizungumza. Don't twist reality to fit your wishes.

It's amazing that you know what Voice of America know not US Military Admits Afghan War Was 'Strategic Failure'
 
Na tujikumbushe Russia walipiga mkwala kutumia nuc endapo Finland and sweden watajiunga NATO.

Haya mmoja tayali katuma maombi, na mwingine anategemewa kufanya hivyo soon.

Ngoja tuongeze popcorn [emoji897][emoji16]
 
Duh [emoji41]
 
Mavuno ya Ukraine - Warusi walianza kuiba nafaka ya Ukraine kutoka ghala katika maeneo waliyovamia. Uvamizi wa Putin unaleta vurugu kwenye soko la dunia na hivyo analeta njaa.
Mwenye kosa ni anayeshambulia, si anayejitetea wala yule anayemsaida
 
Unajua kwanini ilionekana failure, ni kwasababu wengi walipinga US kuondoa vikosi vyake ikiwemo hata washirika wengine wa NATO, wengi walitaka US iendelee kuwa kule.

Lakini usisahau jambo lililo mpeleke kule alifanikiwa kwa miaka yote hiyo Yuko huko so Biden alisema haoni haja ya US troops kuendelea kuwa kule kwani hakuna sababu ya msingi na vifo vitakuwa havina sababu.

And trust me, angekuwa hajafanikisha Jambo lake mpk sasa Taliban asingeshika nchi[emoji419]

I recommend uende ukasome zaidi..br[emoji16]

Ask Q
 
Unamweleza Coco Baby akuelewe [emoji23]...

Tafuta Game la nyoka ucheze tu Bro, apo kueleza fact za kukuelewa ni zile za kusifia tu NATO na US ila sio kutaja udhaifu wa America.
 
Majibu kutoka kwa moderator anaetumia ID hii!
Eti mkuu, mfano wa social media ya nje ambayo inaku verify automatic bila kuwasiliana na wenye system ni ipi? Mfano tafadhari na vigezo hivyo viweke hapa!
Ni ombi mkuu!!
⛔REQUEST DECLINED!!!
 
It is always good to cite your source. Otherwise it is plagiarism.
 
I know them too buddy, I don't usually engaging directly kwenye majadiliano, mimi napenda kua msomaji tu. Pale nilikuwa nikimsisitiza ajibu maswali aliyokuwa akiyakwepa kwa kuuliza maswali mengine.

Thanks for you time, have a nice day.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…