Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Waonevu huwa hawadumu rafiki yangu hiyo iko hivyo.

Hivo hivyo kwenye uonevu, so tegemea mwisho wa huu uonevu.

Ngoja tuanze na Chelsea kesho kutwa kwanza[emoji16]
Chelsea ipi wewe mtetea fc[emoji23][emoji23][emoji23]
Hao hawaonewi wanapewa wanachokistahili
Yaani acha wale kipigo chakutosha waingie akili
 
Mara wameuawa wanajeshi 1,000, mara haijabainika wameuawa wangapi.
Source:BBC🚮
 
Vijimanati vimemfurusha russia kyiev na Luhansk russia yamewakuta makubwa leo
 
NATO-Chasing Finland Shows Off Bomb Shelters

Finland has unveiled new shelters to withstand nuclear strikes - complete with gyms, cafes and football pitches, as it races to join NATO.

Or perhaps a nice winter retreat?

Subscribe to RT t.me/rtnews Wamejipanga hahaha hivi Putin akitaka kuNuke Finland watakua na muda wakuingia humo mana nasikia hilo bomu dakika 2 tu lishafika hapo, fikiria unachoweza kufanya ndani ya dakika 2. wakati unatoka kwenye mlango wako wa mbele unakuwa vaporized Wacha tuone!
 
Aisee video, na picha za hilo tukio zinasikitisha sana Luhansk hapo russia anakula kisago cha mbwa koko pro russia watakwambia za zamani hizo watakwambia mbona za kwenye movie
Acha kubishana na Hawa Warusi wa Buza Bwana Utamu na @Struggleman
 
Katika marais dhaifu kutokea America basi bila shaka biden ataongoza list. Biden ameingia kwenye 18 za putin alishindwa jua anakutana na Mtu smart genius.

Americans wengi ukifuatilia quora, twitter wanahoji kwanini kipindi cha trump US ilikua ina mahusiano mazuri na Russia?? na walishirikiana kwenye sekta nyingi tofauti?? haija ishia hapo wanalalamika mfumuko wa bei, nishati, chakula nk. Japo US kutoa pipa million1 kila siku lakn bado haijasaidia.

Biden afya yake inadhoufu sana mikiki ya Putin sio ya kitoto wanaomshauri wanamtia chaka ajifunze kwa trump.

 
Ila hii ambush waliyofanya Ukraine ni hatari,siku mbili zilizopita drone za Ukraine ziligundua uwepo wa hilo pantoon bridge la Urusi wakijiandaa kupitisha vifaa vya kivita Kama vifaru,magari ya mizinga,na vifaa vingine vya kijeshi jamaa wakaacha warusi wajae waanze kuvuka wakashambulia Kwa artillery karibu vifaa vyote vimeharibiwa

Magari takribani 73 pamoja na vifaru vimeharibiwa vibaya na artillery za Ukraine.

Kweli Marekani hakukosea alovyosema sasa NI mwendo wa kupigana mizinga tu, hizi Howitzer alizotuma US kule Ukraine zitawatesa Sana warusi
 
Zelensky aliomba silaha akapewa,na anaendelea kupewa, mpaka na wanajeshi, mbona nchi yake inazidi kuwa magofu,na kumegwa kila kukicha?hivyo vita anavyosema atashinda wapi?
 
Aisee video, na picha za hilo tukio zinasikitisha sana Luhansk hapo russia anakula kisago cha mbwa koko pro russia watakwambia za zamani hizo watakwambia mbona za kwenye movie
kaka ni kichapo cha mbwa mwizi - Vifaa ya kivita vya nchi za magharibi ni balaaa
 
Kwamba strategist analysts wa western hawakuyawaza haya na hata sasa hawajayawaza ..........
 
Why westerners are ganging up against Russia?
 
Tuambie vigezo vya kujitosheleza vikoje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…