Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Hujaelewa nini huoni kabisa kuwa Consensus will be foundWazee wa kukurupuka kama kawaida yenu... jomba upo nyuma ya wakati sana... ndio maana kuna jamaa mmoja alisema hadi mfike balekhe muwaze kiutu uzma sio leo wala kesho.
Kwa taarifa ako sasa e ndugu yetu na bongo yako kubwa size ya panzi...
Ni kua... "If Stockholm and Helsinki do not show that they are in solidarity with Turkey, then we will not support their admission to NATO."
This was stated by Erdogan after talks with the Secretary General of the alliance, as well as with the leaders of Sweden and Finland.
The Turkish president also demands that Stockholm abandon the restrictions imposed on Ankara after its invasion of Syria in 2019.
Hizo ni demand ambazo Finland na Sweden wamezigomea,
The speaker of the Finnish parliament said that the country will not change its legal norms because of Turkey - this is how he responded to Erdogan's call to stop supporting terrorist organizations
Je kila mmoja akisimamia misimamo yake unajua nini kitafata?
Tulizeni mishono hiyo muzifatilie siasa za kimataifa kwa akili sio mihemko na mahaba ya kindezi hivo. Kiasi taarifa ikiwa twisted kidogo unakosa cha kung'amua...
Nyie watu mizigo sana, hivi huwa mnavukaje bara bara kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee,Hata mim naanza kuamin Russia hamna jeshi la kizalendo, anamshindwaje Ukraine kwa muda wote huu
Mwanzo nilikuwa nashangaa inakuwaje kifaru na gari linapigwa na bomu linachakaa ila alama Z inakuwa bado mpya [emoji2][emoji2]Wanasubiri kifaru kimaoja Cha Urusi kilipuliwe watatoka kwa Kasi huko Azovstanzania
Hzi ndio habari npendazoThe Ministry of Defense publishes footage of the launch of "Caliber" from the Black Sea at military facilities of the Armed Forces of Ukraine.
Rocket strikes destroyed a large batch of weapons and equipment from the United States and Europe, delivered to the Zhytomyr region for the grouping of Ukrainian troops in the Donbass.
View attachment 2233190
Ha ha ha haa
Ameua watu wake wengi sana kwa upuuzi. Haya mashairi yake ndio yanawanasa wanaomsikiliza.Kumbe alikuwa analazimisha watu waruke juu ya eneo ambalo limezingirwa.Baada ya sarakasi nyingi za Zelensky huko Twitter akiwaaminisha wafuasi wake kuwa Ukraine inashinda mechi zake na Russia, Zelensky ameamua kueleza ukweli sasa kupitia chombo cha habari cha Australia, ABC.
Katika mahojiano, Zelensky amekiri kuwa kwa mambo yalivyo, pamoja na kupokea misaada kedekede ya silaha za gharama na zanavita toka Marekani na nchi za NATO/EU, Ukraine haiwezi kamwe kushinda vita vya Russia nchini Ukraine.
Zelensky amesikitika kuwa Ukraine imeshapoteza marubani wengi mno ambao hawezi kutaja idadi yao hadharani, lakini wengi wao wameuawa wakiwa kwenye ndege zao zilipodunguliwa na majeshi ya Russia. Wengi wao wamekufa walipokuwa wakijaribu kurusha ndege hizo kupeleka madawa, vyakula na maji kwa wapiganaji wa Ukraine waliozingirwa na majeshi ya Russia kwenye kiwanda cha chuma huko Azovstal, Mariupol
===========
View attachment 2233169View attachment 2233170View attachment 2233171View attachment 2233172
Najiuliza sana ilikuwaje idadi kubwa hivo kujibanza mashimoni. Mashimo ambayo Putin aliwahi kuingia anayajua vema.'Wapambanaji wa ukweli' wanaacha mji wa Mariupol unatekwa, wao wanakimbia na raia wa kawaida kujificha kwenye mashimo kama panya huku wakiwatumia raia hao kama ngao ya kivita ili wasipelekewe moto!
Shangazi ukiwa na maana ya [emoji23][emoji23][emoji23], umenipiga chenga kidogo ndugu yangu.Nimekusoma ......
Mimi n shangazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]natokea makao makuu ya kaskazini hivyo hakunaga lugha ya kike.
Umenichekesha kwa kusema Wana mateka mmoja TU,Tena dogo ndio wanazurula nae.Ukraine wanamateka mmoja tu dogo wa miaka 21 ndio wanazurura naye mahakamani.... Ukraine angekuwa na mateka wa Urusi vyombo vya habari vya magharibi wangekuwa wanashindia hiyo habari.
Duh Urusi akimaliza na Ukraine anaanza na NATO?Kwetu sisi Russia, mapambano nchini Ukraine tunachukulia kama ni maandalizi ya mzozo mkubwa wa kijeshi utaojiri kati ya Russia na nchi za NATO...
Kupitia opereshini yetu maalumu ya kijeshi nchini Ukraine tunapambana dhidi ya silaha toka nchi zote za NATO ikiwemo Marekani. Tutaona kwa vitendo, kupitia uwanja wa mapambano wa Ukraine, namna gani silaha zetu zilivyo bora dhidi ya silaha za NATO. Tunajifunza kwa ajili ya mpambano ujao kati ya Russia na nchi za NATO.
Ameongea hayo Prof. Alexei Fenenko katika TV ya taifa ya Russia na kuripotiwa na The New York Post.
======
View attachment 2233331View attachment 2233333
Enzi hizo [emoji23][emoji23][emoji23]Mara moja moja tujikumbushe "vituko" vilivyokua vinatamkwa na wale waliokua wanajiita wataalamu/wachambuzi wa masuala ya kivita wakati operation ya Russia kule Ukraine ikiendeleaView attachment 2233348View attachment 2233349View attachment 2233350
Sio lengo lake, ila anachukua maandalizi ya vita kati yake na NATO kama NATO wakimchokonoaDuh Urusi akimaliza na Ukraine anaanza na NATO?
Ni bora wangefia juu ya ardhi.Kujificha kama panya ni kujidhalilisha mno mno!Hao jamaa hata kama wamejisalimisha lakini hao jamaa ni wapambanaji wa ukweli. Na huenda hao jamaa watakuwa wamejisalimisha kwa sababu za msingi kwanza unakuta waliishiwa siraha pili chakula nk.