Una umri gani kwanza na una exposure ya kuishi nchi ngapi achilia kupita on the way kwenda nchi nyingine?Bado mna safari ndefu sana ya ukuaji watoto wazuri. Hadi mje mfikie balekhe sio leo wala kesho...
Jitahidini kula vyakula vya wanga, protein na matunda yanasaidia sana kukomaza mafuvu yenu hayo.
Huyo mtu kaniadress personal kuwa nateseka. Nimemjibu kwa mfano hai kuwa labda mafuta ndo yananitesa otherwise hakuna kuteseka komote.Duh ase!
Em baki na tu ule msimamo wako bandia w zamani... uko unakoelekea ni kujivua nguo mwamba [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu kibobosa haelewekagi c anasemaga yy n neutral mbona kama matokeo mazuri ya Russia hayataki unyutro gani huo watu kama Hawa saudia wanafungiwa jiwe la kusagia shingoni wanatoswa baharini[emoji23]
Leta hayo mapya, mbona yowe nyingi mwamba... unakwama wapi [emoji41]
Ukijua maana ya kua mwanajeshi wala usingepata tabu kuandika yote haya,Yani Nchi inapoteza askari kibao, afu mtu anakuja na kauli dhaifu ivi.
Reharsal wakati askari wanakufa na vifaa vinateketewlzwa!? aisee nimejikuta nacheka pekeangu! hasara wanayoipata Russia kwenye vita hii, wasingekuja na kauli nyepesi kiasi iki!
Propaganda in its work
shyHapo ulipo jitangaze upo mkoa Gani mahala Gani tangaza wadau watakuja mara moja.
[emoji23][emoji2][emoji23]Twende na mood yako tu. Hapa ni maoni, furaha na kupata elimu mbili tatu ambayo sio kwamba itakupeleka popote au itaongeza kipato. Kama upo kiutani we leta utani mm ntakujibu na kuuliza swali.
Dasilam sio mokoa ni eneo la TzNa ujue siku hizi Dar es Salaam nayo ni 'mikoani'🤣😁😁
sawa sawa mkuuTafuteni sehemu nzuri mtulie kumpa tano Russia
Unafikiri wamekufa bure? Soon utajua hujui, Urusi anenda kua na bahari na mengineyo mengi tu.Sasa kauli ya reharsal hapa inatokea wapi, kama unakiri watu wanakufa! tuwe siriaz mkuu!
Nachoona ni drama, ni hiyo kauli ya reharsa wakati takriban wanajeshi 1000+ wa ussr wameshapotea
Maisha ni chaguzi katika scale of preference zenye pro and cons plus opportunity cost. Bila hivyo hakuna maisha.[emoji23][emoji2][emoji23]
Hapana wala sio mkaaji hapa pia, ngoja nikuulize swali au maswali ya kuondokea...
Una amini kwenye kila kitu kina Pro and Cons?
😂😂😂 Mahaba kama kikohozi...Huyu kibobosa haelewekagi c anasemaga yy n neutral mbona kama matokeo mazuri ya Russia hayataki unyutro gani huo watu kama Hawa saudia wanafungiwa jiwe la kusagia shingoni wanatoswa baharini
We Kale Mtebwe na Magimbi utulieYani Nchi inapoteza askari kibao, afu mtu anakuja na kauli dhaifu ivi.
Reharsal wakati askari wanakufa na vifaa vinateketewlzwa!? aisee nimejikuta nacheka pekeangu! hasara wanayoipata Russia kwenye vita hii, wasingekuja na kauli nyepesi kiasi iki!
Propaganda in its work
Eiwa vizuri, so unaamini kwa mfano tutoe kwa manzi/mtoto wa kike.. We unaweza ukapenda pua mwingine akapenda jicho mwingine wowowo mwingine rangi n.kMaisha ni chaguzi katika scale of preference zenye pro and cons plus opportunity cost. Bila hivyo hakuna maisha.
HatoshiZelensky akata tamaa, asema Ukraine haiwezi kutoboa/kushinda vita mbele ya majeshi ya Russia...
Asema diplomacy ndio pekee itawaokoa waUkraine toka kwenye kichapo cha majeshi Russia....
Akiri Ukraine kupoteza marubani wengi mno (idadi yao asema hatoweza kuitaja hadharani, itakuwa ni fedheha kwa jeshi la Ukraine) na ndegevita nyingi sana huko Mariupol ktk jitihada za kupeleka chakula, maji, madawa kwa wanajeshi wa Ukraine waliokuwa wamejificha kama panya huko Azovstal ambao wote wameishia kutekwa na majeshi ya Russia
Eti akatafune mitebwe😂🤣😆We Kale Mtebwe na Magimbi utulie
Urusi Huijui
Duh!...hii ni pongezi au dhihaka ?Mkuu hongera kwa kuwa na akili kuwazidi G7, NATO, EU na UN. Kweli Tanzania imebarikiwa kuwa na vichwa