Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

TUTAONA MENGI. KUMBE HATA NUCLEAR TECHNOLOGY WANATOA URUSI.

🇪🇺The uranium embargo for the EU will be worse than the oil embargo.

According to the German television channel N-TV, Europe depends on the supply of enriched uranium more than on oil or gas. It buys about 40% of its nuclear fuel from Russia and Kazakhstan.

At the same time, the EU receives from Russia not only raw materials, but also technologies.

“Over the years, the Kremlin has invested billions in improving the technological process of uranium enrichment and has been able to achieve success: Russian installations are considered among the best in the world,” the @ino_tv channel quotes.

In addition, there are 18 countries in the EU where Russian nuclear reactors are located: two in Bulgaria, six in the Czech Republic, two in Finland, four in Hungary and four in Slovakia.

Journalists note that Rosatom has not yet been sanctioned, although it is a state concern and a very suitable target for restrictive measures.
 
Hahahaha...yaan had nakuonea huruma...unatoka kwenye pango kama wale jamaa wa mariupol...kisha unarudishaa bichwaa ndani..na lilivyoo kubwaaa..hahaha
 
Putin Ni mtu na nusu,
Ana washaur wazur Sana wa kijeshi na kiuchumi
 
🚀🚀🚀🚀🚀"One Sarmat missile can destroy the whole of Great Britain in two minutes." 🔥🚀

State Duma deputy from United Russia Yuri Shvytkin warned NATO countries against conflict with Russia.
We recommend everyone to read our article about "Sarmat" to understand why the strategic weapons of the Russian Federation surpassed NATO's weapons level by 10-15 years🇷🇺🇷🇺🇷🇺
 
Angekuwa na akili hizi tokea mwanzo angeokoa raia wengi, tatizo mwanzoni kichwa kilikuwa US kiwiliwili Ukraine naona US washamrudishia kichwa chake ila ndio kisha chelewa.
 
Mdogo mdogo tu dunia imeanza kuamuka kutoka kwenye akili za sindano ya ujinga. USA chini ya Biden inaenda kupoteza ushawishi na uoga iliyofanikiwa kuupandikiza kwa nchi nyingi duniani. Elimu ya watu kutofautisha 6 na 9 imeongezeka sana siyo kama enzi za ujima.

Kama kweli Biden anapenda kulinda heshima yake na USA basi nivyema akakalisha makalio yake white house akaacha kuhangaika na nchi za wenzie lasivyo ataishia kujiaibisha yeye na taifa lake.
Babu Joe Biden ndo mfano hai wa ile kauli ya wahenga isemayo "siyo kila mzee ana busara, hata wapumbavu na wajinga huzeeka pia"
 
Mwanangu una Lugha chachu hadi nahisi una undugu na Medevdev 😂
 
Asante, ila naona "Vita ya Putin" ni sahihi. Uvamizi ulikuwa azimio lake.
Menginevyo:
1) Hapana, NATO haikuvamia wala Serbia wala Lybia wala Iraq wala Syria. Tafadhali unyoshe kidogo elimu yako ya historia!
2) Kuhusu Lybia nchi mbalimbali (pamoja na wanchama wa NATO na pia wengine) walitekeleza azimio la Umoja wa Mataifa (waliokubali walikuwa Bosnia, Kolombia, Ufaransa, Gabon, Lebanoni, Nigeria, Ureno, Afrika Kusini, Uingereza na Marekani. Hakuna aliyepinga azimio, ilhali Brazil, China, Ujerumani, Uhindi na Urusi hawakusimama upande wowote.), wakitumia ndevita. Nikikumbuka vema, kuna askari kutoka Urusi walioshiriki katika mapigano nchini Lybia, ila hakuna askari kutoka nchi za NATO aliyekanyaga ardhi ya Lybia.
3) huko Korea Marekani na mataifa mbalimbali waliingia rasmi kama jeshi la Umoja wa Mataifa kwa sababu China ilishambulia; Japani iliwahi kushambulia Marekani, na kwenye mwisho wa vita ilishambuliwa na Urusi.
4)Vita ya kwanza ya Irak ilianzishwa na Saddam Hussein aliyeshambulia Kuweit. Vita ya pili ya Irak ilikuwa mashambulio ya nchi mbalimbali, tena siyo vita ya NATO.
Vita hii ilitajwa mara nyingi kama vita ya Bush au vita ya Blair, kwa sababu ni hao wawili hasa waliowajibika kusambaza uwongo kuhusu silaha za kikemia nchini Irak.
5) Uvamizi wa maeneo ya Maindio wenyeji asilia ilikuwa ukoloni mbaya sana. Hakuna sababu ya kutoitaja na kutoikosoa; pamoja na uvamizi wa maeneo ambayo sasa ni sehemu za Urusi.
6) Au unaona ubaya ni pekee uenezaji wa USA kutoka Bahari Atlantiki hadi Bahari Pasifiki ilhali hakuna ubaya katika vita nyingi ambako Urusi ilivamia Siberia na kuchukua ardhi ya wenyeji huko hadi Bahari Pasifiki?? Kuvamia falme, emirati na nchi za Waislamu wa Asia ya Kati na kuzifanya koloni za Urusi wakati wa karne 19 (wakati huohuo ambako Marekani ilienea??)
 
Fake news

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…