Hilo ***** lazima limshabikie sponsa wake usaUnaruka ruka kama bisi
Urusi alimwaga vifaru vingi Sana, ndo maana vifaru vyote vilivyokanyaga Kiev vililiwa kichwa, Ila Ukrein hasingepewa Javellin angekoma
Wapo jumla 10000 ila tutakamata 3000Yaliyotokea Mariupol hivi karibuni yatatokea hapo mashariki mwa Ukraine.
Russia steps up operation to encircle last Ukrainian holdout in Donbas
[emoji404] Russian forces have intensified their military operation in eastern Ukraine to encircle Ukrainian troops in twin cities in the last Ukrainian-held pocket in the Donbas region.
Ubongo(mental health)hajapoteza kumbukumbu,mkakamavu sasa uyo mwanaume mzima anakiri kabisa walikubaliana kwa jambo lao.Dikteta Putin anayo miaka mingapi ofisini?
Mbinu moja mbaya saaana!Yaliyotokea Mariupol hivi karibuni yatatokea hapo mashariki mwa Ukraine.
Russia steps up operation to encircle last Ukrainian holdout in Donbas
📝 Russian forces have intensified their military operation in eastern Ukraine to encircle Ukrainian troops in twin cities in the last Ukrainian-held pocket in the Donbas region.
Ok ok kutakuwa pia na mahakama ya wale 2400 waliokuwa kwenye kiwanda Cha chuma pale Mariupol na ndipo tutajua malipo ya Azov...haya ndio malipo ya wanajeshi wa Russia nchini ukraine ukiachana na kuuliwa
Sijui, ila ubongo wa mtu ameamua kupigana na nchi zaidi ya 30 +Finland+Sweden lazima umefyatuka mahala.Babu wenu Putin atafilisi Russia na witless war.Ubongo(mental health)hajapoteza kumbukumbu,mkakamavu sasa uyo mwanaume mzima anakiri kabisa walikubaliana kwa jambo lao.
Utekelezaji umeanza tayari kasaliti hawezi kuvumilia stress aache wanaume wapambane kwa maamuzi waliyoamuua iwe jua iwe mvua.
Ataumia vipi?! Ukraine haumii?!Whatever you call it, lakini ukweli unabakia kwamba Urusi kapapasa sehemu isiyomuhusu., ataumia tu atake asitake.
Hii siyo war ni. Conflictunajua maana ya civil war?
Tatizo huelewi maana ya Nchi zitakazo isaidia Ukraine. Vi-misaada ambavyo by definition havina madhara ukilinganisha na kwenda kuipiga Nchi iliyosaidia, hiyo Russia haihesabu.True, Putin na azishambulie nchi kama alivyozionya mwanzoni mwa vita hii.
Propaganda wala China haija thibitisha hata kwa story za kijiweniWenyewe kazi yao ni kutoa misaada na kuilinda Ukraine.. ndio maana mpaka sasa hamjafikia malengo yenu [emoji16]
Ila NATO alionywa lakini kaendelea kutoa msaada basi tunaomba maneno ya flutin yatimie, nchi ndio hizo tena Kuna msaada umetolewa na us na us katoa hela China[emoji41]
Kazi kwenu, sijui mtaanza na nchi gan kati ya hizo nilizotaja juu huko
Hii anawaandikia warussia au waingereza?
Duh...wewe ulifanya research saa ngapi?! Polls za west zinaonyesha Putin anaungwa mkono na zaidi ya asilimia 80 ya Warusi, sass wewe una yako ...duh...Warusi wengi hawataki vita hii, ila utawala wa Putin ni wa kidikteta - wengi wamefungwa na wengine vizuizini kwa kupinga vita hii.
Kweli haujui kitu bwana simplemind.Sijui, ila ubongo wa mtu ameamua kupigana na nchi zaidi ya 30 +Finland+Sweden lazima umefyatuka mahala.Babu wenu Putin atafilisi Russia na witless war.
Hahahahahah! Contradictions! Zikitengenezwa hapa Tz labda ni tawi la viwanda vya Wenzetu. Bado sana(by our own ST) hata aki- declare President bado ni propaganda. Au ni mkoa na hospital/kiwanda kip wanatengeneza hapa nchini?Hizo bidhaa zote hazitoki WEST, kama hujui kitu kausha.
Condoms karibu zote zinatoka THAILAND
ARVs zinatengenezwa hapahapa nchini
Au hujui hilo?
It is true...UKRAINE NA NATO maji shingoni na ndiyo maana mikutano haishi...na hapo Russia hajatumia hata asilimia 10 ya zana zake...Nuke War very close. NATO has smelt defeat , planning to give stronger weapons and mobilize nations for tougher sanctions against Russia.
Kuna mtu anauliza mbona Russia haizipigi nchi zinazosaidia Ukraine. Jibu ni kwamba Russia hajaona utofauti wa hiyo misaada kwakuwa ameweza kui newtralise. Russia atacheza rafu pale tu kutapokuwa na tishio la uhai wake.
Hebu waambieni USA na UK watangaze kuingia Ukraine kupambana na Russia upate mrejesho
Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
Hii anawaandikia warussia au waingereza?
Tuombe vita iishe tu mkuu, raia wanateseka na kufa ovyo. Ukraine by any means hawezi kuishinda urusi. Kama ni mpira ni sawa na First squad ya Real Madrid Vs Simba si hata bila kipa mtu atapigwa 30-0Mbinu moja mbaya saaana!
Yaani wanajeshi w Russia wanakuzunguka automatically unajikuta unakimbilia makazi ya panya! shimoni Ukraine lazima wakome
Toka ulipofurahia kifo Cha Magufuli nilikuweka kwenye kundi tofauti kabisa la binadamuNilikua siijui Urusi vizuri, siku zote nilidhani wao ni supapawa bin hatari, ila ndio nimewajua vizuri walivyo hoi.