Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

😂😂😂😂🙌🙌🙌
 
Hakuna tena zile story za majeshi ya Uktaine kuyashinda majeshi ya Russia. Naona ni vita ya upande mmoja tu sasa. Pamoja na kupokea misululu ya misaada ya fedha na silaha, Ukraine wameanza kukubali hali ni ngumu. Hata propaganda za West kimyaaaaaa
Hamna kitu hao Russia anaua 300 per day basi tu Zelensky anafisi. Fikiria raia yupo frontline kafosiwa

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Halafu kuna ***** mmoja alikuwa analeta ubishani ooh ujerumani kakataa kulipa in Rubbles🤣 kenge maji kabisa.

Kwa Putin kila goti litapigwa ukimwaga mboga muhuni anamwaga ugali yani mpaka sanctions zao watapoziondoa wenyewe. Wasilete mambo ya kitoto hapa.
 
Hawa jamaa wanafiki pia wangese sana yaan wenyew wameongeza uchukuaj wa ges toka russia harafu anataka wenzake wakaze ili wafe na uchumi wao udolole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…