Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Noma sana mzazi bora walivyoamua kuishi nayo
 
Mkuu japo ni mawazo yako lakini nahisi kuna ukweli Fulani hapo, na huwenda kuna timu nyingine inaandaliwa kama ilivyoandaliwa ya kina Putin Kwa sasa bado wanapikwa, na huwenda ndiyo utakao kuja kuwa ni namna Yao ya kuchagua viongozi watakao chukua madaraka, na kama ni ukweli naamini kuna mataifa yata copy na kupest hasa mataifa ya kiafrika yanahitaji mfumo kama huo lakini lazima kuwe na masharti magumu ili kuondoa kuwekana ndugu maana viongozi wa afrika ukiwapa kidole wanataka kushika mkono 😃😃😃😃
 
Jamaa anaoneonekana ana hamu sana na hao NATO na anajua sehemu ya kichwa cha NATO ambapo ukishaibutua tu hiyo, hizo mikia zilizo baki haziwezi hata kurusha jiwe.
Watu wanamuona Putin mkatili eti wanafikia hata kumfananisha na Hitler.
Ukweli putini ni mpole sana na ni mtulivu,ila sema ni mtu wa vitendo.
Niliwahi sema humu katika Thread hii,kuwa,kwa watu wanaoombea Putin afe walidhani ndio wataidgibiti Urusi kwa kweli wanajidanganya.
Urusi Kuna watu wenye uwezo wa kuwa Marais wa nchi hiyo wengi TU,Tena wenye mipango Bora kabisa hata pengine kuliko Putin.
Ila Sasa baadhi Yao ni wababe hatari,Putin Mtakatifu.
Sasa hebu ona jemba hiyo.
Imeweka wazi ramani ya vita,wala haiogopi na haijali.
Huo ni ujumbe kamili kabisa wala sio mkwala.
Na Serikali ya Moscow haijakanusha.
Yaani ujumbe ni kwamba njooni sisi tutafanya hivi.
Sijui kama njemba yey yewe ndio hii ama nyingine, yenyewe ilipendekeza kulipua Kambi zote za USA zilizoko ulaya.
Ha ha haa.
Pata picha.
 
Sasa Yehodayachenikov au Yehodaya anaeleza kua yule jamaa alouliwa ndo alokua na codes za hicho kicheget kwaio Putin hatoweza kutumia nuclear tena je ni kweli?
Mkuu kweli suala kama hilo linawezekana????? Yaani uhai wa dunia na urusi yenyewe aachiwe MTU mmoja????,

Hata kama Putin anakufa Leo basi jua kuna watu wa format hicho kidude na atakabidhiwa mtu mwingine
 
Waambie ProPutin maana wanamsifia wakati bado hata nusu jimbo ajaweza kuchukua anacheza makida makida vita sio mchezo
Katika jimbo la luhansk na Donetsk tuambie ni sehemu gani au kijiji gani kuna jeshi la Ukraine?
Rais Zelensky alisema last week kua 25% ya nchi yake imechukuliwa, sasa wewe tueleze ni wapi katika hayo majimbo mawili ukraine yupo.

Na hii ni miezi 5 tu, tukienda mpaka mwakani mwez kama huu inawezekana kuna nchi itapoteza mamlaka yake yote.
 
mwenye nguvu mpishe.!
 
Ukitaka kujua kuwa Putin ni akili kubwa ni pale anapoweza kuwaweka katika kapu moja mahasimu wawili na wakatualia china na India.
 
Tukiweka ushabiki pembeni , ni ukweli usiopingika kwamba Russia hakutegemea huu upinzani kutoka kwa wapiganaji wa Ukraine,mwanzoni aliwachimba mkwara kwamba wajisalimishe lakini wahuni wakamdindishia
 
[emoji23]

Halafu na sie tunautindua UPOPOMA kwenye vichwa vya Pro NATO hapa JF. Baaabeki show kali!
Pro nato wengi saa hizi wamekimbilia mafichoni....hawataki hata kusogelea hizi nyuzi....bahati mbaya tz hakuna viwanda vingi vya kujificha kama pro nato wa ukraine maana wako vizuri kitafuta maficho kwenye viwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…