Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

0716 390 380 please 🙂 (#inapokea meseji za PESA tu!)
 
Akili kubwa hii
 
mwenyezi mungu akujaalie ziongezeke zaidi
 
Wakuu tupo na National security adviser wa nchi wana nondo za moto kwa jinsi anavyotillka tu unajua kabisa uyu jamaa kichwani umeme upo wa kutosha siyo huu tunaoweka sisi wa buku buku unit 2[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ni mwonekano tu mkuu. Tuma kwa moyo 🙂

NB: Itanipa motisha ya kuendelea kufuatilia kinachojiri kule Taiwan
😂😂😂

Hili la kwako hili! Tuchukue mstari wa mwisho wa aya ya a pili kuanzia mwisho: Tunasema "Mungu ndiye mjuzi zaidi".

Wewe ni tajiri bhana!

Nje ya mada, case 2: Bongo wakikuona una marafiki wajeda, Tiss na aina hiyo wanakuona ni wa ajabu. Na ukilizungumzia linaweza kutafsirika ni kama majigambo.

Na vitu vyengine ambavyo ukivizungumza kwa lengo zuri ila kwa changamoto iliyojijenga ndani ya jamii inatafsirika ni majigambo.
---------------

Ngoja turudi kwenye Uzi.
 
Taarifa ya vita kutoka ukrainside


‼️ 🇺🇦 🏴‍☠️The main thing from the summary of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine:

In the Kharkiv direction, the Armed Forces of the Russian Federation fired at the positions of the Armed Forces of Ukraine, carried out an advance in the direction of Kochubeyevka-Dementievka.
The Russians focus their main efforts on the Bakhmut direction. There are attacks from tanks, barrel and rocket artillery. The Russian Federation carried out airstrikes near Semigorye and Belogorovka, led an offensive in the Berestovoye area, in the directions of Vladimirovka–Yakovlevka and Semigorye–Kodema.
The fighting continues on the directions Vladimirovka–Soledar and Pokrovskoye–Bakhmut.
In the Avdiivka direction, the Russian military shelled the Avdiivka area and improved the tactical situation.
In the Slavyansk, Novopavlovsky, Zaporizhia and Yuzhnobuzhsky directions — shelling.
 
Hapo kuna nini kinakutisha mkuu, we inaonekana kichwani ni mweupe sana mkuu.
ni kawaida ya sisi waungwana wa umu jf kupongezana pale mmoja wetu anapoelezea na kuchambua vizuri jamaa kaelezea vizuri kuanzia diplomatic,millitary na Economic ways na tumemuelewa vizuri sana..kama unaniona mimi ni mweupe endelea ivyo ivyo na mtazamo wako
 
Ukiisoma kwa moyo hi taarifa unagundua Jambo.. Ukraine hawapo Tayari kusema kwenye eneo Hilo kichapo Ni Cha mbwa mwizi

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ilikuwepo kipindi wanasema ?
 
Wafuasi, mashabiki, na wafautiliaji huku wananiuliza, Eti ni sawa kulikumbuka shuka kukiwa kumepambazuka?
Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya China -TAIWAN na Tanzania-Zanzibar. Hapa kuna bara na kisiwa vivilvyoungana mwaka 1964. Huko ni bara na kisiwa vilivyotengana miaka 73 iliyopita. Watu wa kisiwa hawataki kuishi chini ya Wakomunisti wa bara. Wanapendelea utaratibu wao penye uhuru kwa kila dini na maoni tofauti. China bara inataka kuwalazimisha kuwa mkoa chini ya Beijing. Je, hiyo si ukoloni?
 
Ni kweli
 
Kwamba ni dongo kwa Xi.
Halafu huyu Xi urais wa maisha unamtesa.
 
No, this is not to be true. No politics tu. Haiwezekani Speaker of the house asafiri ktk nchi kama hiyo eti WH hawana baraka. Big NO. Halafu aliyetoa na order ya mobilization ni nani sasa?
 
Pia hapa ndipo Unafiki wa Marekani unapoonekana. Hataki kusikia Taiwan inarudi China, lakini Pia hataki kusikia znz inatengana na T/nyika.

Kweli jamaa huangalia maslahi yake tu na si vinginevyo. Nina uhakika znz ingekuwa ni nchi ya Kikristo hakika usingesikia huu muungano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…