Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bila kumsahau yoda
 
Crimea wakati kherson, Donbass yote bado

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Endeleeni kupiga kelele
CRIMEA iliondoka mkiwa mnapiga kelele kama hvyo na maeneo mengine pia yataondoka nahamtakua nalakufanya
NATO waingilie kama wanaweza
Anacho kifanya RUSSIA kipo sahihi kwa zaidi ya 100%
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kwengine watajijua wenyewe hapa AFRIKA kwanza
URUSI hajawahi na hatawahi kuja kua BEBERU zaidi yakua mkombozi wabara letu pendwa
Alitukomboa enzi zilee nayuatukomboa kwasasa ona MALI inavyokombolewa
Hao walio watawala ndio MABEBERU
(Kila anaelia hushika kichwache)
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😉😎

🇺🇸🇺🇦 The military personnel of the Armed Forces of Ukraine steal the killed American mercenaries at the first opportunity.

Correspondents of the French channel TV5Monde learned from them that "not everything is going as they imagined."

The command of the Armed Forces of Ukraine often transmits unreliable information along the chain of instances.

"We lost four people because all the information we received was false."

▪The AFU servicemen do not show motivation, except when they want to steal something from the dead.

In summary, the American mercenaries said that they were disappointed, and many of them want to return home.
 
Ule mkwala wa "" jugement day "" naona ushapeperushwa na upepo ngoja tusubir mkwara mwingine [emoji41][emoji41]
At first nilifikiri ulichapia bahati mbaya but now ni karibu ten times wakirudia kile kile.

Sasa nikuibie siri mjuba, usione watu wapo kimya ukajua hiyo taarifa imewakera. Wanakupuuza cuz washakuona we ni hamnazo.

Unafikiri kazi ya kukusahihisha ujue kuandika vizuri, Ujue kwamba hakuna kitu kinaitwa "Jugement" in english bali ni "Judgement" unless uko unazungumza french tena ambapo ingekupasa useme "Le jour du jugement" waona ni ndogo? Uelimike huko ndio wakuelekeze ya Crimean Peninsula ni leo?

Kazi kubwa sana hiyo, na wengine wakifikiria watumie lugha gani kukuelimisha wanakosa. Lugha zote zinaonekana kukupiga tobo. Kama hapa, hii "Yahani" ni mdudu gani mdau? Mmh?

Hawa jamaa kwa kujikausha hawajambo.., yahani kama hawapo vile,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa nani wa kujichosha kwako hapa, jibu ni NO. We endelea kubwatuka tu upepo ukikata tufahamishe.
 
Mali inakombolewa kivipi mkuu?kisa urusi kupeleka vyuma vyake pale? Halafu inakombolewa dhidi ya nan? Ahsante
 
Mali inakombolewa kivipi mkuu?kisa urusi kupeleka vyuma vyake pale? Halafu inakombolewa dhidi ya nan? Ahsante
Hakuna taifa kubwa lolote lenye Nia na malengo mazuri Sana juu ya Afrika. Si Urusi si Uchina Wala Us. Wote Hawa lengo kuu Ni moja kufanya biashara za kinyonyaji dhidi ya Afrika kwenye madini na rasilimali nyingine.
Pia kudumisha uwepo wao wa kijeshi kuonyesha ufahari.
Afrika tunaambulia migogoro TU inayohusiana na mabeberu kutaka kugawa a Rasilimali zetu. Kongo,msumbiji na Mali Ni mifano ya karibuni ya kunyan'ganyana Mali za Afrika.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
K
Kuna mwamba anashangilia ati Mali inakombolewa duh....warusi hawana muda wa kukomboa Afrika wakati na wao wako bize kutafuta superiority
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…