Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mwambie Putin safari hii wabebe mafuta ya kutosha kwenye vifaru vyao wasije anaza kuvitelekeza kama wanavyo fanya Ukraine. Setelaiti zao ni za kulushia channeli?Zina kazi gan huko anagan?
 
NWO ni kitu gani?
 
Mimi napo shangaa ni hapo tatizo ni NATO why Ukraine?kuhusu Ukraine kujiunga NATO Russia imesababisha. kabla ya uvamizi wa Crimea Ukraine haikua na mpango wa kujiunga NATO.baada ya kuvamiwa Ukraine ilikuwa inatafuta security garanti ambapo option pekee ni U.S au NATO
 
Hivi unajua Ukraine ilianza kupewa misaada toka 2014? Hivi unajua hivyo vihela Ukraine anavyopewa, Urusi inaingiza kiasi kwa siku,na kwa mwezi?
Huyo jamaa hajui hayo.....mapro-NATO wa TZ hawajui kuwa Ukraine ilikuwa militarized tangu 2014...Wengi pia hawajui kuwa Ukraine kwa msaada wa west na NATO ilikuwa ianzishe mashambulizi dhidi ya East Ukraine (LDR na DDR) na Crimea Kati ya March na May) lakini Russia iliwawahi kwa kuanzisha mashambulizi February.
 
Ndio alijua west hawata jiingiza kwenye au kisaport Ukraine
1)ulaya kutegemea gesi ya Russia
2)janga la kovidi nchi nyingi Uchumi uliyumba alitegemea nchi kuto kuchukua liski kuisaidia Ukraine
3)Marekani kujiondoa afganistani raisi wa baiden angeshindwa kuishawish cogres kutuma wanajeshi Ukarine
4)Kuingiza wanajeshi Kyiv hii tubilitosha kuonyesha alitak kupindua selikali pia kuamulu wanajeshi wa Ukraine kuipindua selikali yao.
5)kubadili badili Kwa majenerali hii pia inatosha kuonyesha Russia wali feli
 
Wewe ndo unataka kuhalalisha Russia kuivamia Ukraine kama sababu nini? why asi ivamie NATO au U.S wenyewe?hakuna taifa takatifu ila kwahili Russia imefeli
 
Hata moscava ilivyo zamishwa Russia walikan. media zote na wataam wa vita wame kubal kuwa ni shambulizi hata picha za setelaiti
 
Marekani yalalamika kuwa ndege za kijeshi za Iran zimekuwa zikifanya safari lukuki kwa fujo kwenda Urusi ktk kipindi hiki cha vita vya Ukraine. Toka April mwaka huu tayari ndege hizo zilizowekewa vikwazo zimefanya idadi ya safari zisizopungua 42 kwenda Moscow, ukilinganisha na safari 3 tu zilizofanywa na ndege hizo mwaka jana wote kwenda Moscow

 

Marekani kawa ***** tu kila siku analia yeye kashakua joka kibisa.
 
Vinu vimetua Ukraine kutoka UK - unajua hii balaa inaitwaje??

M270 MLRS - Kitamchungulia Putin kwa umbali wa Km 31.8


857 systems
Army ACAT IC Program
Total program cost (TY$)$1,969.1M
Average unit cost (TY$)$2.3M
Full-rate Production4QFY99
Prime ContractorLockheed Martin Vought Systems
Crew3 man
Cruise Range483 km
On Board Fire Control and Position Determining System
12 Rockets; 644 M-77 Shaped Charges per Rocket
Reload Time9 minutes
Rocket Range31.8 km
REFERENCES
  • TM 9-1450-646-10 Carrier Vehicle, MLRS, M993
  • TM 9-1425-646-10 Launcher- Loader Module (LLM), M269


UK promised, UK delivered! More M270 MLRS arrived in Ukraine. Thanks to
@BWallaceMP
and all the people! Your support is amazing and so important for Ukraine. Our #UAarmy will skillfully use this "replenishment" at the battlefield. P.S. More “gifts” will arrive soon.
 
Ikikuuma ichomoe mkuu.., Mimi jukumu langu ni kuendelea kukumbusha;

"" Jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

"" Jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

"" Jugement Day ""[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiukweli mwamba unaboa sana,watu wasipo pendezwa na utani wako achana na hio kitu unapo lazimisha unaonekana mkorofi,Sijui kama unajifikiria marambilimbili ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…