Maskini ya munguNa nilichokugundua kwenye nchi za kidemicracy Zina uchungu sana na naisha ya raia wake. Ila kwa upande wa nchi za kiimla kama Russia. N Korea china raia wake hawana thamani hata wakifa wote sawa tu. Na kua kwao ni kawaida kabisa bila shida.
Ukitaka kujua hili Kuna siku kiduku alikua kwenye mkutano kiongozi mmoja akasinzia alikatwa kichwa. Ila kwa upande wa nchi kama USA Wala. Kuna picha inamuonesha Obama anapigwa na barafu na Kijana mmoja lakni kama anatoa kitambaa anajifuta.
Wanataka kuichukua Kiev awamu ya piliMaandalizi ya kipigo yanaendelea , Ukrein hofu tupu.
Looking over satellite imagery, there’s definitely unusual activity in Belarus, although we don’t see any clear indications of a “Russian Armed Forces attack on Ukraine” — at least not yet.
Belarusian military convoys have been spotted all over the country, carrying equipment to different airfields.
We can confirm unusual activity at Ziabrovka airfield which is around 40KM from the Ukrainian borders.
We saw 12x S-400 Systems with around 40 missiles for them, with more likely to be delivered based on logistics reports from Belarus. That is an unreal amount of S400s — definitely not something normal to field in one place.
Multiple KASTA 2E2 & 48Y6 Podlyot radars have also been deployed.
2x Pantsir S1 systems have also been put in service at the airfield.
t.me/asbmil
Noma saanaHii ya leo tazama ammunition depot ilivyochakazwa live hii ni distribution center ya silaha na equipment za vita.Yani hawana defence kabisa kambi zinapigwa kizembe mno.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alisoma na baba shule moja ya kijeshi huko USSR[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu kamanda ni hatari kwa kweli.itakuwa anataka nafasi ya mkuu wa majeshi
Ijikomboe kutoka wap?Bila Oddessa Cremia sio salama. Moldova itasaidiwa ijikomboe
Tulia dawa ipenye [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijawahi on a Taifa lenye propaganda za uongo kama Russia Jana wamepiga kombora kituo cha treni na kuuwa raia 22 ,leo wanasema eti walilenga jeshi la Ukraine ambapo wameuwa wanajeshi 200 ,evidence iko wapi? Mbona Ukraine wakifanya tukio kubwa wanakuja na evidence, Hili taifa la mchongo kina matatizo
MaskiniZelensky inaonekana anatapatapa coz anaongea Sana warusi wanazidi kuingia ndani zaidi.. say hizi nikolaev na mykolaiv zinakwenda na maji..
Huko mbaliNi wapi aliomba Huo msaani?
Ukraine wana aridhi nzuri saana hata mm ningekuwa Putin ningewapokonyaHappy Ukraine's Independence Day!
#StandWithUkraine
Kifaru cha Urusi kilivyolazwa flat[emoji848]
View attachment 2333474
Kipindi cha winter kitakuwa Ni kipindi kigumu Sana kwa Ukraine.BREAKING: The Zaporizhzhia nuclear power plant in Ukraine has been cut off from the electrical grid for the first time after its last power line was damaged.
Source: London Evening Standard
Polepole mtamuelewa Putin.
Tena msiombe afe,maana Medvedev akishika usukani hana huruma kabisa!OK. Ila ninachojua akifa Putin na vita vinaisha.
HahaaaTulia dawa ipenye [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BREAKING: The Zaporizhzhia nuclear power plant in Ukraine has been cut off from the electrical grid for the first time after its last power line was damaged.
Source: London Evening Standard
Polepole mtamuelewa Putin.
Ila tuache utani hii midude inawaenyesha warusiTazama Himars ikigawa dozi leo warusi wanaombea zife lakini zinazidi kugawa kipigo heavy
Ila tuache utani hii midude inawaenyesha warusi