kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,389
- 4,935
Napenda hadith za namna hii, ehee kwahyo urusi hana nyukilia za kuwapiga hao west? Wao west hawawez kufutika kwenye ramani?USA akitangaza vita ya nyukria hapo automatically mataifa yote yenye nyukria ya NATO ikiwemo France na england zitahusika..,
Hapo urusi atagombaniwa kama mpira wa Kona na kitakachofuata ni kufutika kwenye uso wa dunia,
Kwa sasa tunazungumzia vita Kati ya NATO na RUSSIA [emoji635]
"We are at war with #NATO and the collective West."
- Sergei Shoigu, Russia’s Minister of Defence.
There is no more pretense and proxy games - there will now be a direct war between NATO and Russia https://t.co/VkkQ1Igmnu
Huh of course, na inavyo onekana ni kama US plan to ruin Europe goes as schedule. Jana Federal reserves announced an increase on interest that will plumbed even more euro against the dólar. Huenda by January euro will be priced about 50 cents of dólar.
Considering hii inevitable rise of Asia Pacific, EU will not be able to compete anymore. The US is taking everything from EU just like they took their best nazi scientist miaka 70+ iliyopita.
Chukua hii hapa ya mwezi FebruaryYaani hawa Ukraine isijekuwa hata Zelensky ni agent wa Urusi...usikute anachokifanya hapo anaelewa kabisa....kuigawa Ukraine vipande...Wewe mtu gani hataki kukaa chini na kuzungumza??anakomaa kama hana akili vile
Narudia tena NATO awawezi na kuthubutu ku engage vita yoyote ambayo Russia yupo ndani wanajua madhara yake uchumi wao wameunenga kwa jasho na damu kuingilia vita na russia ni kurudishwa zama za mawe za mwanzo yani miji yao yote itakuwa vifusi
Narudia tena NATO awawezi na kuthubutu ku engage vita yoyote ambayo Russia yupo ndani wanajua madhara yake uchumi wao wameunenga kwa jasho na damu kuingilia vita na russia ni kurudishwa zama za mawe za mwanzo yani miji yao yote itakuwa vifusi
Ngoja tuone boss.Hapa nimemwelewa Urusi kuwa anaimaliza vita mapema . Uikrane itamwelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
According to Russian intelligence and Some US commanders,NATO wapo Ukraine,na hata mercenaries wanaokamatwa,most wanajeshi wa nchi za magharabi, wote tunajua US inatoa msaada wa intelligence kwa Ukraine. Putin sio dikteta,alichaguliwa kwa Kura halali na wananchi wa Urusi,ww unapata wa pi audacity ya kumuita dikteta?Kama NATO inaipiga Urusi basi Urusi ijibu kwa kushambulia hata nchi moja ya NATO.
Urusi inapigana na Ukraine, hakuna hata mwanajeshi mmoja wa NATO aliye katika uwanja wa vita nchini Ukraine.
Ni kawaida ya madikteta kutengeneza boogeyman yanapobanwa kwenye kona.
US ni tafa lenye mengi mazuri;Kwa ukumbusho tu...hasa vijana wanaoshabikia wasivyovijua!
Hapo zamani tulikuwa na USA na pia tulikuwa na USSR!
Lakini hivi sasa ingawa bado tuna USA hatuna USSR tuna RUSSIA!
Je kulitokea nini?
Uchumi wa RUSSIA haufikii ule wa baadhi ya majimbo ya USA !
Halafu eti tunalinganisha mataifa haya mawili, kwa lipi lakini?
Aliyekuzidi kakuzidi!
Matajiri wa Russia waliwekeza USA
Vipanga wa Russia walihamia USA
Kwa nini lakini?
Ni kweli Mrusi haijaanza kutumia Jeshi lake "Elite," hao inawezekana ni Mercenaries au Contractors Kama hiyo story ni kweli,maana it could be fake.
The US/NATO/Europe-Ukraine/Russia war is multifaceted.Yes it is about destroying Russia,but it is also about destroying Europe and trying to save the US Dollar from collapse as a Global Currency.Listen to this clip and get this very insightful information.
Situation Update, Sep 21, 2022 - Plum Island tick-based bioweapons: USDA and DoD secret research programs for mass EXTERMINATION
0:00 Red Alert12:40 China49:09 Mark Baker- Secret bioweapons research was conducted at the Plum Island facility decades ago- It involved the #USDA , DoD and the CIA- They weaponized TICKS to be dropped onto cattle populations in Cuba and Russia- The goal was to wipe out the food supply of enemy...www.brighteon.com
Unajua ww ni mpumbav kiwango cha "tiles" marekani hii ambayo imeua viongozi wengi kutoka Afrika eg Patrice Lumumba Leo hii unasema Lina mengi mazuri?US ni tafa lenye mengi mazuri;
Demokrasia, uchumi, utawala wa sheria, uhuru, fursa kwa wote, bidhaa, sanaa. Haya mambo yanapendwa hata na washabiki wa madikteta kama Putin.
UNGA New York mwezi huu wamejaa hadi michepuko ya kina Lavrov wanafanya shopping kwa pesa zilizochepushwa kutoka kwenye gesi ya Warusi.
Wabongo banaa.... Mimi naongea mambo ya hivi wewe unaleta mambo ya vile.. ni wapi nimeongelea kuhusu libya rudi shule kwanza ukajifunze kujibu maswali ya essay bila kuingia chaka.
Hivi tuliambiwa Russia ana jeshi la watu 900k na reserve ya 1.2m sasa kwanini achukue raia na anakiri wakiokufa Ukraine ni elfu 6 kwanini usumbue raia inamaana hata wale wafungwa wameisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2364470Russia-Ukraine live updates: Putin suspends key US-Russia nuclear treaty in speech denouncing West
Live updates on the Russia-Ukraine crisis.abcnews.go.com