Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nawaza tu Russia akishayatambua maeneo aliyotwaa kwamba ni sehem ya Nchi yake........ ivi si mobilization si itawahusu Raia wa hayo maeneo? Yaan wa Ukraine watalazimika kupigana dhidi ya wa ukraine wenzao, hii episode naisubiri sana nione itakuaje
Kwani Crimea iliyochukuliwa yangu 2014 na Urusi ambayo inakula kisago Kwa sasa toka Kwa Ukraine hao mamluki hawatumiki na Urusi kwenye battle field ?
 
[emoji2][emoji2] Wapumbavu wameshikwa akili, wana ua uchumi wa nchi yao wanateseka.. Hamna kitu wale nilikuwa nawaona wana maana kumbe taka taka, wazungu wenye akili na Russia, hao wa Ukraine toka wameuza nao akili zao wamekuwa upinde wa mvua
Wenye akili ndio hawa wanaoiba chupi za wanawake
 
What ! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Look at this bloody fool
 
Dogo Baba yako , mpumbav wewe , jibu swali nililouliza huwezi the fvck off and shut your filthy ugly mouth .

Nimeuliza ,Ile convoy za km 70 Kyiv zimeishia wapi ? Unless Una ulemavu WA akili kushindwa kuelewa swali dogo kama Hilo na kuandika irrelevant bullshit stories
 
Huyo wa kuachana naye..ni kumjibu au kubadilishana nae mawazo vitu ambavyo vinaeleweka, akiandika ushabiki bi kupita kushoto
 
Tatizo nyie wasapoti NATO hamna information kwenye Top 5 nchi za Asia zipo 3 hamna west domination.View attachment 2366916
Unajua ni Nani aliyewekeza mitaji ya pesa ndefu hapo China na japan ? au ni nchi gani ambapo hao China , japan na India wanauza bidhaa zao Kwa wingi na ambapo ndio income Yao kubwa inatoka ? Unajua ni nchi gani ambayo inaweza ikafanya uchumi WA China na japan hata India zifilisike zikafilisika in days tena Kwa kupiga bans Tu kununua bidhaa toka kwenye hizo nchi ?
Ulishawahi jiuliza swali kama hili ?
 
Don Vill achana na hayo mataahira yatakuchosha bure. If only idiocy was painful, these useless zombies would be writhing in intolerable pain. Their love for dictators, totalitarians, fascists, despots, oppressors, tyrants and autocratic leaders astounds me.

Hata hapa kuna moja alikuwa anaitwa Idi Amin Dada, akaivamia Tanzania akitaka kuteka eneo la jimbo la Kagera hadi Mwanza, hawa wapumbavu wangekuwa madarakani wangemuachia tu lakini Mwalimu Nyerere hakusita kumtoa huyo nduli mvamizi mkuku mkuku!

Hivyo hivyo na hiyo takataka iliyoivamia Ukraine, cha moto atakiona. Jana kamuua mpinzani wake moja, mtu mashuhuri sana ndani ya Urusi, eti kwa kupinga hii vita yake ya kijinga ya uvamizi. Anachokitafuta atakipata.
 
Wishful thinking tu..na hakuna utakachowezafanya....mfano wako hata hauendani na huo mgogoro wa eastern Europe...soma historia ndo utaelewa chanzo...na itakuwa unajua sema tu unajifanya haujui...Acheni kujifanya hamjui ukweli......Donbass ndo inaenda hivyo kwa ujinga wa viongozi wa Ukraine tangu 2014.....
 
Mwezi October utakuwa na mambo mengi sana 🔥



“If NATO doesn’t back the hell off, we are 1 second away from a nuclear war. If NATO continues to pretend that this is some game designed to weaken Russia..

Russia just changed the game. They said they are not playing this game anymore. The game has changed. NATO needs to wake up to the fact that anything it does once the referendums have passed will be an act of war against the UKRussian federation— and Russia will treat it as such and respond accordingly.

It will not be a slow roll out, if NATO continues to provide Ukraine with the means to attack mother Russia, which very soon will be Kherson, Zaporozhie, you know all that daily pounding of the nuclear plant? It’s over man.

It’s over. Do it again when it becomes Russia, I dare you Ukraine, you will cease to exist. I’m not saying Russia is gonna use nukes against them, Russia will just simply turn off the lights. Russia will kill the leadership (of Ukraine) The gloves are off, this has been a special military operation, we talked about how it constrains Russia (the SMO) now all constrains are off.

When Russia starts defending mother Russia, they’re now gonna bring all of their abilities to the forefront. Russia has 25 million men available, they can go as big as NATO wants to go. Russia is ready to go as big as necessary.

And if NATO wants to make this an issue, Russia will cross that threshold. If NATO wants to threaten the existence of Russia, by attacking Mother Russia either directly or indirectly through the Ukrainian proxy, then Russia will use every means at its disposal to ensure that it will fail — including nuclear weapons.” - former United States Marine Corps intelligence officer Scott Ritter

Naam Scott Ritter kama wao wanavyomuita na sifa fupi chache kumpa that 👉 a "former United States Marine Corps intelligence officer and convicted sex offender.

Sifa kama hiyo ya mwisho wenzetu wako chap kumpa mtu wasiyetaka majority waweke attention kwake 😂. You be like oh no ni Scott Ritter kasema eeh unaamua kumtafuta online tangazo la kwanza linakuja linasema ni Sex offender so moja kwa moja unapuuza amesema nini.

Of course kila aendae kinyume na wao kuna package ya sifa konki kama hizo wame andaliwa kupewa, no surprising at all.
 
Pro-war figures in Russia have welcomed his dismissal and the appointment of Gen Mizintsev - who was sanctioned by the UK for his role commanding the Mariupol siege - will likely be welcomed by hardliners.

Gen Mizintsev, who was dubbed "the Butcher of Mariupol" by many Ukrainians, also led Russian forces in Syria and was accused of orchestrating a brutal bombing campaign that levelled the city of Aleppo.

BBC.
 
Ngoja ni nukuu kabisa wasifute
 
Huyo bwana achana nae kumjibu ni kupoteza muda tu we muache aweke hayo mavideo yake ya watoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Embu soma official statement ya NATO achana na hizo taarifa uchwara



3. We reaffirm our unwavering support for Ukraine’s independence, sovereignty, and territorial integrity within its internationally recognized borders, and for Ukraine’s inherent right to self-defence. NATO Allies remain resolute in providing political and practical support to Ukraine as it continues to defend itself against Russia’s aggression.

4. NATO is a defensive Alliance and will continue to strive for peace, security, and stability in the whole of the Euro-Atlantic area. We stand united to defend and protect every inch of Allied territory.

Statement by the North Atlantic Council on the so-called “referenda” in parts of Ukraine
 
Wewe una taarifa zote za silaha zilizoenda UKRAINE?.
Unafikiri kila kitu watakwambia wewe.ebu vitu vingine jiongeze basi wala haitaji uwe na akili nyingi
 
Huyo bwana achana nae kumjibu ni kupoteza muda tu we muache aweke hayo mavideo yake ya watoto[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha mavideo ya watoto kwakua yanawaudhi eeeh,haya nyingine hii hapa Su-30 baada tu ya kunusa airspace ya Ukraine imepigwa kombora moja matata


Nkuba25

Mohamed unasema video zangu za watoto,wewe zile video zako za wanajeshi wa Tiktok ndo za kikubwa?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Numerous Reports: Air Defenses Activated Over St. Petersburg, Russia​

24 SEPTEMBER 2022

Numerous reports and videos on Social media are claiming Russian air defense missiles were fired from St. Petersburg, to protect the city from something incoming.
One video shows the missile trails from firing:


It is yet unknown why air defenses were activated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…