Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Dah wala sijui MKUU nisiseme uongoUnadhami kipigo kama Cha Leo kikiendelea kwa siku kama tatu nini kitafuata??
Nakuhakikishia 90% ya pro nato humu hilo swali hawana jibu lake, Feb 24, 2022 wameamka asubuhi na kuanza kushabikia upande wa ukraine bila kujua sababu ya Russia kuingia Ukraine.Unaweza kuelezea chanzo cha Urusi kuingia vitani mkuu bila kuwa na upendeleo,au ushabiki? Hebu tuongee kama wanaume tuweke pembeni hisia za mihemko,kama ukishindwa useme hapa kuna pande mbili,pro NATO na pro Russians. Wataleta michango ya kujenga. Karibu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah ! Kwa hiyo Ukraine wale ni migambo au sio ? Ila warusi wa ushirombo [emoji85][emoji85][emoji85][emoji38][emoji38][emoji38]Tetesi zilizopo tunatoka kwenye SMO Kwa Muda tunaingia kwenye CTM Counter Terrorism Missions.
Serikali ya Zele na migambo wake tunaasume ni magaidi
Ukraine kapiga daraja tu leo ndio majibu yake hayo, akijaribu kushambulia maeneo mengine ndani ya Russia unahisi nini kitampata?Naweza kukubali Mkuu , Urusi akiendelea na mambo haya , sidhani kama waukraine watalala, watamrudishia HUKO HUKO, na KWa shambulio la leo ukraine wataenda kuja na mkakati mpya wa piga kwangu nipige Kwako KAZI ipo aisee
Sasa hivi Zelensky Yuko kwenye handaki huko magharibi mwa Ukraine!Jamaa hawaamini hata watu wake mwenyewe.., wakati Mzee wa kazi zelensiky anatinga mpaka front line [emoji2]View attachment 2382891
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwako wewe Dunia ni US na hao west aliowashika akili!Very soon huyu jamaa atabakia kwenye vitabu vya historia...trust me...
Dunia hii ina intelligencia yake kubwa mno...kichaa mmoja hawezi kuamua upumbavu wa kutuletea vita kuu ya tatu sababu ya ujinga wake.
Vita vya nuclear inaweza kuirudisha nyuma dunia miaka zaidi ya 2000 iliyopita kwa watakaosalia
He will be fixed soon.
Unadhani zile kelele za Nazis walizianzisha kina nani. Na hiyo confidence yenu ya siku tatu kumaliza operation unadhani nani aliianzisha kule Russia. Kazi ya SVR RFintelligence service ya Russia ilimhakikishia Putin kwamba Ukraine ni wanyonge na watajisalimisha kama walivyofanya Crimea
Mmmh!!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakaomfix ni nani? Ni NATO hawa ambao hawataki direct conflict na Russia kwa kuogopa kwamba kila nchi itakayohusika itakua destructed?Very soon huyu jamaa atabakia kwenye vitabu vya historia...trust me...
Dunia hii ina intelligencia yake kubwa mno...kichaa mmoja hawezi kuamua upumbavu wa kutuletea vita kuu ya tatu sababu ya ujinga wake.
Vita vya nuclear inaweza kuirudisha nyuma dunia miaka zaidi ya 2000 iliyopita kwa watakaosalia
He will be fixed soon.
Alosema OP itakua yasiku tatu nani kwanza leta ushahidiUnadhani zile kelele za Nazis walizianzisha kina nani. Na hiyo confidence yenu ya siku tatu kumaliza operation unadhani nani aliianzisha kule Russia. Kazi ya SVR RF
Habar njema[emoji298]️[emoji1200]POLAND ANNOUNCED THAT THE LINE PROVIDING ELECTRICAL CONNECTION WITH UKRAINE WAS CUT BY THE RUSSIAN ARMY.
Kwanza makombora yaliyoipiga siyo 84 kwani zaidi ya hapo.....Halafu kwamba hao waukraine wanaposema eti wamedondosha makombora 43 is just a silly bravado.....Hao jamaa na hata vyombo vya habari vya magharibi propaganda imeanza kuwashinda....wanaonesha maafa kwenye barabara, vyuo na sijui nini lakini hawaoneshi vituo vya kijeshi vilivyopigwa, miundombinu kama umeme, maji iliyoharibiwa.Ukraine wakipata defence systems tu mchezo kwisha kama leo wamedaka makombora 43/84
Drone 11/24
Watachangiwa MKUU heheheeUkraine inapita nyakati ngumu za moto na moshi, wakipita hapa na kuendelea na kazi ya kuyakomboa maeneo watakuwa ni binadamu wenye spirit ya kipekee ila hawana silaha.