Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
AFU MKUU, HIZO EQUIPMENT WANAENDA KUTEST TUU KAMA ZITAFANYA KAZI.Kazi yangu kuwaonyesha matomaso ushahidi.
Hii hapa Mil-24 Hind helicopter Marekani ilichukua Chad baada ya vikosi vya Muamar Ghaddafi kuvamia na kupigwa uko miaka ya 1970s, iliyobeba ni Chinook ya MarekaniView attachment 2472293
Huyu Victor Berenko alipangwa na CIA akatimua mbio hadi Japan kisha Wamarekani wakaenda uko kusoma ile ndege Warusi walikuwa wanatisha nayo kumbe kubwa jinga, after this incident ndio Warusi wakalazimika kuunda interceptor nyingine Mig-31 FoxhoundView attachment 2472294
Huyu alitorokea Uturuki na jetView attachment 2472295
Na hii vita ya Ukraine zimetekwa electronic warfare systems zimebebwa na NATO watasoma uko. Ile tactical retreat imeacha silaha nyingi wakabeba
Inaonesha kuna mtu kapigwa sanaHii salt factory Jana ilikamatwa na Wagner,Leo imerudi chini ya Ukraine
The Ukrainian Army has retaken the salt factory in Soledar after an overnight counter-attack.
ProRussia wanataka wabaki jukwaani peke yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe si unatoa za kwako? Hili ni jukwaa huru
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ujue kilichotokea ni kwamba baada ya Putin kutangaza Ile ceasefire ya masaa 36,baadhi ya wanajeshi wa Ukraine mfano hapo Bakhmut wakarelax wakijua kutakua na mapumziko[emoji23]. Kumbe ilikua ni kamtego,Wagner wakaanza kuvurumisha mizinga kwa Kasi wakasonga mbele na kuingia kusini mwa Soledar. Ukraine baada ya kuona Kasi ya Wagner wakaanza counter attacks Jana usiku ndio hiyo unaona mpk Leo wamerudisha hako Ka factory but Wagner wamesonga mbele kidogo na mapigano makali bado yanaendelea.Inaonesha kuna mtu kapigwa sana
Thanks ngoja niangalieAu UNATAKA rink ya youtube
Ndege hipi unayo izungumzia maana USA wameiba type nyingi za ndege za kivita zilizo undwa Urusi tangu miaka ya 1950sHahahaha kwahiyo ndege waliichukua wakaisoma baada ya kumaliza wakamrudishia Mrusi na kumtoza ela ya transport juu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani vile watu wakileta hbr bila ya kuweka chanzo huwa huwezi kufuatilia?Fuatilia
Axel Lloyd
Mkuu ndio hiyo hiyo video ya vice news nenda dakika ya 02:00 mpaka 03:00 utaona vifaa vilvyokamatwa na waasi wa donbass tena ilikuwa radar na communication system.
View attachment 2472353View attachment 2472354View attachment 2472355
Hiyo ni kawaida ya warusi wa Jf,ukiwaomba Source hawana lakini wao kila ukileta habari wanataka uwape source[emoji23][emoji23]Kwani vile watu wakileta hbr bila ya kuweka chanzo huwa huwezi kufuatilia?
Mbona huwa unaijitaji?
Nilitaka jibu nione utavyojibu.
Marekani ni muungano wa nchi 54(states)+ 30 za nato.MAANA NAONA WATU WANAHASIRA NA URUSI KAMA NINI , SIJUI AMEWAFANYA NINI [emoji28][emoji28][emoji28] , NCHI MOJA INAPINGWA NA NCHI KIBAO. KAMA 30
[emoji38][emoji38][emoji38] DAAA NATO BWANA NA USA WAO BWANA.
Mkuu, tunaomba mrejesho kuhusu Ile connection uliyopewa inayohusiana na kula tunda kimasihalaNdege hipi unayo izungumzia maana USA wameiba type nyingi za ndegEAkivita zilizo undwa Urusi tangu miaka ya
ndege ya Ss vi
Wakijitahidi sana wanakuletea source kutoka telegram za pro Russia wenzao[emoji28]Hiyo ni kawaida ya warusi wa Jf,ukiwaomba Source hawana lakini wao kila ukileta habari wanataka uwape source[emoji23][emoji23]
Karudie soma historiaMarekani ni muungano wa nchi 54(states)+ 30 za nato.
Urusi dume kwlikweli. Inapiga nchi 80+
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] soledar gani iyoHuu mji wa Bakhmut watamaliza mwaka mzima wanapigana sehemu moja tu
[emoji298]️Soledar remains under the control of the Defense Forces of Ukraine, - the Deputy of the Verkhovna Rada Committee on National Security, Defense and Intelligence Yurii Mysiahin.
DuuhAnataka Ukraine wayatambueje wakati walishapiga Kura na kusema hayo maeneo ni sehemu ya halali Urusi na kwamba watayalinda hata kwa silaha za nyuklia!!!!
Duh!..Ilifikia hatua Urusi iliomba kuwa mwachama wa Nato ili wawe kitu kimoja kitu ambacho kingemaliza uadui kati ya pande hizo ,lakini Marekani alikataa maana alijua Ulaya ikipatana na Urusi basi soko lake la silaha litakuwa limekufa rasimi maana ana tegemea kuitumia Urusi kuitisha Ulaya ili wanunue silaha zake
Mkuu hiyo ndo kazi yake.punda afe mzigo ufike. kinacho takiwa ni askali kuwa wazima. afu hakuna ilio kamata moto licha ya kuchazwa huko.Mkuu HIZO MRAP bado tuu WANATAKA kuzipelekaView attachment 2472116
Maana za MARA ya kwanza zilizoenda sizioni tena
View attachment 2472117View attachment 2472118View attachment 2472119
Ila sio mbaya wazipeleke kwa sababu zitasaidia kulinda askari
Hawakuwa na adabu na superpower yule. Ndege aliyetorosha ni rubani wako, kaja kutusumbua kwenye airport yetu. Lipa hela tukupe ndege yakoHahahaha kwahiyo ndege waliichukua wakaisoma baada ya kumaliza wakamrudishia Mrusi na kumtoza ela ya transport juu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata jina lenyewe linajitambulisha. Mine Resistant Ambush Protected (MRAP). Ndio kazi yake hiyoMkuu HIZO MRAP bado tuu WANATAKA kuzipelekaView attachment 2472116
Maana za MARA ya kwanza zilizoenda sizioni tena
View attachment 2472117View attachment 2472118View attachment 2472119
Ila sio mbaya wazipeleke kwa sababu zitasaidia kulinda askari