mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Wanapiga tu kelele nyingi ila ukiwambia walete ushahidi wa kuonyesha bado wapo Soledar awana.kila mtu anakwambia nimesikia tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama ipo si waingie walete Habari? Ukweli wanaujua mji umeenda na kk security
Duh! hii kali sana!Kuna aliyekufukuza?? Teh teh teh this is only relevant thing unafanya kwenye maisha yako. Keep going off kijana na hakikisha unabrush viatu vya shemeji yako akirudi kazini
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Khan umaskini mbaya sisi tunaotamba na infinix haipiti siku bila kusemwa akuna pa kugeukia adi jukwaa langu pendwa nalo tunasemwa tu daaah ntunze mia mia nipate ka huawei niepuke kusemwa
Mkuu niko busy since last weekend. Tutaonana vizuri kuanzia wiki ijayo ikiisha inshallah, ngoja tuweke mambo sawa kwanza. Vita hii hainilishi na wala haiishi leoBila ya CHUMVI [emoji23][emoji16][emoji23]
Naona ndugu yangu T14 Armata simuoni kabisaaaaaa [emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea na majukumu MKUUMkuu niko busy since last weekend. Tutaonana vizuri kuanzia wiki ijayo ikiisha inshallah, ngoja tuweke mambo sawa kwanza. Vita hii hainilishi na wala haiishi leo
Acha TU mtoto wa nzi, Dunia hii ni ngumu sana kumbadilisha mtu mtazamo wake hata kama ukimuonesha Hali halisi,hasa kama amelishwa propaganda kama wenzetu Hawa.Kuna watu vichwa vyao ubongo empty..utawasikia tu Urusi hawaweziiiii NYATO....... Ukiwapa mifano vivid kama hivyo wanakimbia ovyo kama mbwa wa sokoni.... Ooh ajribu aone
Ndo hapo utakapojua kua NATO wanamuogopa Russia.Si wampe za masafa !!??
Nakuhakikishia huu msafara haukuguswa hata na tone la mvua.Msafara uligeuzwa majivu mkuu [emoji28]View attachment 2479742View attachment 2479748
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu Kuna wakati ulikuwa busy Sana humu na kusifia "mafanikio" ya Ukraine. Je, kipindi icho hii Vita ilikuwa inakulisha?Mkuu niko busy since last weekend. Tutaonana vizuri kuanzia wiki ijayo ikiisha inshallah, ngoja tuweke mambo sawa kwanza. Vita hii hainilishi na wala haiishi leo
Punguza msongo wa mawazo kijana tafuta pesa ule ugaliMpaka Sasa unajidhihirisha wewe ni mtu wa namna gani,watu wenye Tabia ya kushobokea vitu vikubwa na kuona kumiliki simu kubwa ni big deal,ni Hawa wafuatao
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
1.vijana waliofanikiwa kuingia chuo na kuanza "kufake" maisha hambayo hayana uhalisia na kipato Chao huku wakiwatwisha mzigo wa kughalamia fakelife wazazi wao hambao wako huko kujijjini kazuramimba wakiwa hoi bin tahabani
2.mabinti hambao wamekaa muda mrefu kwa wazazi wao na kuanza kuwa mzigo kwa wazazi wao..,na hii ni kutokana na ukweli kwamba Kwa Tabia zao mbaya wamekosa mtu wa kuwaoa,Hawa nao faraja Yao Huwa wanaona ni kumiliki simu kubwa Ili kupunguza stress na zinazotokana na masimango wanayopata kutoka Kwa wazazi wao na jamii inayowazunguka
3.wanawake Malaya ,hasa wale Wanaofanya kazi ya saloon au kusuka nywele,Hawa nao huwaambii kitu linapokuja suala la kumiliki simu kubwa .
4. Vijana limbukeni hambao hawafikilii kuhusu maisha Yao ya baadae,na mara nyingi Hawa kazi Yao ni kula na kulala kwa baba na mama,hata usafiri wa baiskeli hawana,wanategemea Hela ya daladala kutoka Kwa baba,hawa nao huwaambii chochote linapokuja suala la kumiliki simu kubwa
[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]
Sina shaka utakuwa kwenye kundi Moja wapo hapo juu,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Acha fix zako matakwimu ya chumbani hayo njoo front uone mnavyochomwa singe za makalioWewe ndio unastaili kupewa pole kwa super pawer wenu wa mchongo kupoteza asikari wanaokaribia laki mbili pamoja na properties kibao kwa kile alichokiita operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 Ili kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2]View attachment 2479306
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Safi sana.Ukiachana na drone za uajemii silaha zp za msaada anatumia urusi
Ndugu yangu, huyo kipanya hawezi kuelewa ...unapoteza muda wako bure...huyo ana kazi maalum ya disinformation...ukisoma comments zake na kuzichambua utagundua Hilo...West wanna mbinu nyingi Sana...Nakuhakikishia huu msafara haukuguswa hata na tone la mvua.
Na Kuna misafara mingine zaidi ya mitatu iliondoka ilikotoka na kufika ilikokusudiwa kufika.
Kampuni ya UK ya propaganda ilihusika kutengeneza photoshoo hiyo.
Wanamgambo wamepigwa nyavu afu wakamiminiwa njuguDaaaa
Wataisha hawa jamani
Aa mzee babaMkuu niko busy since last weekend. Tutaonana vizuri kuanzia wiki ijayo ikiisha inshallah, ngoja tuweke mambo sawa kwanza. Vita hii hainilishi na wala haiishi leo
Asante Mkuu.Sehemu kubwa unasema kweli lakini kitu ambacho siyo kweli ni kewamba Marekani hawauzi silaha kwa Ukraine. Hapo umekosea sana, mabebari hawana kitu cha bure!! Hupo ni mkopo wa muda mrefu wenye riba. Anachokifanya marekani ni kama alivyofanya kwenye vita kuu ya pili. Muunganbo wa mataifa yaliyokuwa yanapigana na Ujerumani walikuwa wanakopeshwa silaha na fedha kwa riba. Hata urusi wakati huo alikopa na deni lake ndo amemaliza kulipa miaka ya hivi karibuni tu.
Ha ha haa,naona wewe unatafuta ugomvi na akina Proved na T14Armata.Mkuu samahani kidogo,umeongea vizuri sana ila naomba nipaweke sawa hapo penye ulinganifu wa NATO na URUSI.
NATO alinganishwe na akina LIBYA,IRAQ na makampuni kama vile akina WAGNER,hao ndio saizi yake
Vita sio uchaguzi mkuu kwamba ni msimu wa kampeni miezi miwili mitatu mnajadili suala mnamaliza. Mwaka unakaribia kutimia tangu ianze na haiishi soon utaizungumzia sana tu.Mkuu Kuna wakati ulikuwa busy Sana humu na kusifia "mafanikio" ya Ukraine. Je, kipindi icho hii Vita ilikuwa inakulisha?