Lakini si mlituambia kuwa Putin hamalizi mwaka atakuwa amesha pinduliwa?Tuone kama hii Vita itakuwa mwanzo wa anguko la Putin kisiasa na kudidimia zaidi kwa Urusi Au itaibuka katikati ya Vita na kuwa Supa-pawa mpya.....
Ww jamaa unakijua unacho kiongea au unaropoka? Utawala gani ulio angushwa na marekani nchini Vietnam?Huko Vietnam US hakupigwa. Alishinda na aliangusha tawala ya huko na kuweka vibaraka wake huko.
US ndio mfadhili mkubwa wa NATO. US ndio anayoyalinda mataifa ya ulaya.
US bila msaada wa hayo mataifa ya ulaya anaweza kupigana na taifa lolote lile Tena zaidi ya taifa Moja. Ata mataifa matano Kwa wakati mmoja. Uwezo huo anao...
Tunapoongelea US tunaongelea Joka Kwa maana ya Shetani nguvu zake sio za kitoto.
Na km ingalikua ndio US anapigana na Ukraine yaani ni siku nyingi tu hako kazelenski kangekua ktk mahandaki
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ebu acha kujitia aibu maana unaonekana kituko humu ,ukitaka kuongea kitu hakikisha una ufahamu nacho na sio kukurupuka.Tatizo nyie haya mambo mnayotaka kujadili yako beyond your understanding
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
StupidTatizo nyie haya mambo mnayotaka kujadili yako beyond your understanding
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Unaelewa maana ya Fifth Colummn??KGB ndio walio sababisha USSR ikasambaratika, soma historia vizuri!!
[emoji12]Kipande kinatetemesha NATO nzima
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we bata mzinga upoSiwezi kubisha mkuu, huenda ikawa ni kweli warusi 1500 walichinjwa Jana maana Kuna bahadhi ya taharifa hazilipotiwi kwenye vyombo vikubwa vya habari..,kwa mfano..siku ya tarehe 24 mwezi huu Kuna warusi zaidi ya 200 walichinjwa katika mji wa maliupol na hii idadi haikujumuhishwa kwenye takwimu inayotolewa kila siku kuhusu warusi wanaochinjwa
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nimeami msemo wa Ashki majunun [emoji30][emoji12]Hiki kichekesho kinapatikana wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi unamjua nyerere na siasa zake zilikuwa zina shikamana na nchi gani?
Kwa iyo Africa sio hatari ety. Na wakati tunawategemea wazungu wa ulayaView attachment 2498374
Kiongozi jisomee mwenyewe hapo juu.. kwamba hao West wenyewe wanatoa misaada ya silaha kwa Ukraine lakini wanaogopa WW III kwa technology za kisasa.. itakuwa ni hatari sana haswa kwa nchi za Ulaya..
Hayo ni kweli kweli tupu ilaha ukae ukijua kila zama ina kitabu chake!Kama haya unayoongea ni kweli ni kwanini nchi yetu ilikataa kulaani uvamizi wa Ukraine? Au unataka kutuambia wewe unajua historia kuliko rais na serikali yake?
Anayechukua raia na kuwatuma katika vita isiyo na sababu wala tija anaonyesha akili kubwa?Kama nilivyo sema akili hauna wajerumani walikuwa wanaua hadi raia kumbuka wayaudi walivyo uliwa
Mkuu huyu maskini aliyewekwa jela kwa mashtaka ya madawa ya kulevya akikata tamaa na kujiunga na Wagner ili atoke - sasa amekuwa hesHima ya taifa lako???Mtanzania mwenzetu (team Russia) katuheshimisha sana kupigana dhidi ya ushoga na mashoga...
View attachment 2498539
VIP kuhusu somalia?Huko Vietnam US hakupigwa. Alishinda na aliangusha tawala ya huko na kuweka vibaraka wake huko.
US ndio mfadhili mkubwa wa NATO. US ndio anayoyalinda mataifa ya ulaya.
US bila msaada wa hayo mataifa ya ulaya anaweza kupigana na taifa lolote lile Tena zaidi ya taifa Moja. Ata mataifa matano Kwa wakati mmoja. Uwezo huo anao...
Tunapoongelea US tunaongelea Joka Kwa maana ya Shetani nguvu zake sio za kitoto.
Na km ingalikua ndio US anapigana na Ukraine yaani ni siku nyingi tu hako kazelenski kangekua ktk mahandaki
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Imevamiwa na Nani?! Ukraine ilikubali kuwa kichaka Cha mbele kuficha uovu wa NATO na West dhidi ya Russia ...Sasa Russia iliwawahi....sasa Ukraine wanasubiliwa kwa ujinga na unoko wao...Ukraine will never be the same again...Russia will never be defeated....Sasa hivi Hali ni mbaya mno kwa Ukraine...ndiyo maana West wanahangaika huku kupeleka sijui Leopard Mara Abraham..Mara Nini..Ukraine imevamiwa hivyo inapewa silaha ili iweze kujilinda na kulinda raia wake......hakuna uchochezi hapo
Na kwenye mchoro akawekwa Rais asiye pandikizi, vinginevyo leo Ukraine ingekuwa USSRHakuna vita ya 3, na hii ndo maana NATO ilisema haitajiingiza kwa asilimia kubwa ktk huu mzozo. Mkuu hii ngoma Russia alishapigiwa mahesabu muda mrefu, watu walikaa chini na wakachora ramani nzima ya nini kitaendelea endapo Russia ataingia Ukraine.
Haya tunayoyaona leo tayari yalishapangwa before.
Ila likiwapata la kuwapata wanakimbilia Ulaya.URUSI inashabikiwa na wanaichukia USA haswa haswa WAARABU na Wachina na KOREA huku Africa wanaisha ikiwa na Waislam njaa wenye chuki na USA
1991 moja la sharti la Uhuru wa Ukraine ni kumpa Urusi silaha zite za nukeUkraine inazo silaha za nuclear. Ilikuwa nazo tangu enzi za Soviet Union, na Soviet Union iliposambaratika ilibaki nazo. Check your facts.