Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,700
Nchi zilizosaidia Tz kwa percent kubwa zilikuwa niHizo mig21 ambazo jeshi la Tanzania lilikuwa linatumia zilitoka wapi?. Wadanganye wasioelewa.
Kwa taarifa yako hata falsafa za uongozi za Nyerere ilikuwa ni idiology za akina V. I Lenin wa Urusi. Kimsingi kipindi cha 60's na 70's Tanzania ilikuwa na mafungamano ya karibu na kimahusiano na Urusi na China kuliko nchi za magharibi. Tanzania kuwa kitovu cha ukombozi kusini mwa Afrika ilikuwa na ufadhili mkubwa wa Urusi kifedha, zana na mafunzo.
Upo sawa kabisa Watu waekalili wakiona Mig-21 na BM-21 wanajua ni za warusi tuHizi mig tulinunua sio urusi ilaha China!
Ninachokwambia tuliuziwa heat seaking missiles na mrusi!
Tulizitumia zikaisha!
Tulipo hitaji nyingine akahitaji Hard Cash au tukubalie atukopeshe kwa Mikataba Migumu!
Ref; Kilichompata Samora msumbiji!
Huna sifa wala sababh ya kudanganywa!
Qulu Haqi wainkana [emoji123][emoji106]
Sera za Tz ni UNAFKI (kutofungamana na yeyote) hataKama haya unayoongea ni kweli ni kwanini nchi yetu ilikataa kulaani uvamizi wa Ukraine? Au unataka kutuambia wewe unajua historia kuliko rais na serikali yake?
Waislamu waoga wa kujadili hoja pinzani!!!!Wanachojua ni kumtukana papa na kutukana wakristo!!!Labda Gavana ndie tunaweza kujadiliana kwa hoja!!!!Wewe unachojua ni matusi na kutafuta huruma ya umma!!!Sawa mdogo wangu
Unafahamu kituo cha kimataifa cha anga za juu(International space station) kinamilikiwa na nani?Taifa linaloongoza Kwa Uchumi na technology ya angani ni US.
Hili halina ubishi. US tu ndio mfalme wa anga
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Labda ni Mig-biscuitMig na China wapi na wapi??
Pia wakikumbuka zitakazotokea zitaenda fyatuliwa😂Wakikumbuka Himars zilivyofanywa,leo wapeleke ndege!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Beberu wata surrender soon😂Hii vita ikiisha mniambie
Hii mpya imefanya ni comment kwenye huu uzi kwamba Russia ni dhaifu kwenye mambo ya anga hiki ni kichekesho.Mkuu haitatokea kwamba Warusi wanashambulia satelaiti vile unavyowaza. Kwanza wako wadhaifu zaidi katika mambo ya anga, pili ukisababisha milipuko angani unazalisha vipabde vidogo vitakavyohatarisha satelaiti zako pia, tatu wanajua kwamba Marekani wana vifaa makini zaidi vitakavyomaliza satelaiti za Kirusi haraka sana, nne wanajua kwamba data za satelaiti ni sehemu tu za data zinazoongoza HIMARS... Kwa hiyo wangepata hasara kubwa kwa faida ndogo . . . .
Ndio ulichokijaza kwenye hilo boga ulilobeba juu ya shingo..Huyo ndo mwenyekiti wenu wa upinde wa mvua
Huko ndiko ulikokuwa unakutaka na ndio maana nikakuambia wewe ni mnafiki tu,,, sasa huu uzi ni vita ya Ukraine/urusi lkn wewe huishi kutia unafiki wako wako wa kidini utadhani labda urusi unayoichukia ni nchi ya kiislam,, ukitaka mambo ya dini fungulia uzi wako,,Waislamu waoga wa kujadili hoja pinzani!!!!Wanachojua ni kumtukana papa na kutukana wakristo!!!Labda Gavana ndie tunaweza kujadiliana kwa hoja!!!!Wewe unachojua ni matusi na kutafuta huruma ya umma!!!Sawa mdogo wangu
Teh teh teh 😂😂 😂 Comedy za fashisti Put-in ...DUNIA nzima inajua kama maeneo hayo yalifanya referendum mwaka 2022 kujoin na RF
Mpaka UN wanajua hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Himars zilifanywa nn wakati mtwango wake bado upo pale pale na leo warus wamepopolewa na ilo dude ajabu n kua himars ndo zina muumiza kichwa mrusi maana hajawahi kuitungua hata moja iliyo pelekwa pale ukraineWakikumbuka Himars zilivyofanywa,leo wapeleke ndege!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu ukimaliza kucheka, jaribu kuwasha ubongo halafu lete sababu zako (ukijua ni mambo gani yanayoendelea leo katika mambo ya anga-nje. usipojua basi endelea kucheka) kwa nini unaamini Urusi ina nguvu kubwa katika mambo ya anga. Tafadhali usizingatie historia tu, bali mambo yanayoendelea leo, kama vile mipango NA HATUA HALISI ya kupeleka watu Mwezini, kupeleka watu hadi Mirihi, utafiti wa maeneo nje ya Mfumo wa Jua, utafiti wa sayari za mbali . . . ..Hii mpya imefanya ni comment kwenye huu uzi kwamba Russia ni dhaifu kwenye mambo ya anga hiki ni kichekesho.
Huyo ndo mwenyekiti wenu wa upinde wa mvua
mrusi alitufanya mbaya sana!Upo sawa kabisa Watu waekalili wakiona Mig-21 na BM-21 wanajua ni za warusi tu
Tujuze kilichomkumba Samora kwa ufupi au weka link kama unayo.mrusi alitufanya mbaya sana!
Tuliziteka ndege vita za uganda!
Kutaka kuzileta TZ zililipuka angani baada ya kuwekwa Fault!
mrusi yupo aftes kutunza watu wake tu!
Ukirejea kisa cha Samora Moses Machel machozi yatakutoka..