kama ndo inaanzaDuu ngoma bado ngumu.
Huo unaoleta ww ni ushabiki maandaz.Hiki hapa kilichowadodokea na kuwaacha pro Russia wote midomo wazi [emoji28][emoji23][emoji1787][emoji16]View attachment 2524193
Siku za nyuma, nilikua nikipitia huu uzi, natafuta kwanza comments zako. They were full of detailed analysis and unbiased explanations. Siku hizi naona "fever" ya teams za huu uzi imekukamata na wewe pia.View attachment 2524165
Taarifa unapewa ili ukijichaganya upigwe ukose visingizio. HIMARS 20 unalia nazo na wakati ziko over 200 zinapigwa vumbi kwenye maghala. Na hata hivyo Russia haina means ya kumshambulia Rais wa Marekani hapo Ukraine, Zelensky analala hapohapo mwaka mzima mmemshindwa mje muweze superpower mwenyewe.
Na mikwara ilishatolewa ila wapi hadi waliotoa hizo silaha walishakuja wenyewe kukagua matumizi
Jinsi siku zinavyozidi kwenda ndio...T14 Armata...anakosa ubora kabisa...ww sio wa kuandika comment ya Sampuli hii..., kama Wamarekani wenyewe wanakiri..ili kuepusha maafa kwa Rais wao ..iliwabidi kuijulisha Moscow..hours kabla Biden hajaondoka Washington...,,, na sababu kuu ya kutoa taarifa wameandika...!!!.. ww hutaki kukubaliana nao....,,,View attachment 2524165
Taarifa unapewa ili ukijichaganya upigwe ukose visingizio. HIMARS 20 unalia nazo na wakati ziko over 200 zinapigwa vumbi kwenye maghala. Na hata hivyo Russia haina means ya kumshambulia Rais wa Marekani hapo Ukraine, Zelensky analala hapohapo mwaka mzima mmemshindwa mje muweze superpower mwenyewe.
Na mikwara ilishatolewa ila wapi hadi waliotoa hizo silaha walishakuja wenyewe kukagua matumizi
American has committed birthday parties against Libya and Iraq,, isn't it??? Fucc Kamala[emoji298][emoji1255]View attachment 2523247
Moscow sasa hivi ni saa sita usiku sawa na hapa DSM kama sikosei.
Tuko nao sawa kimasaaMoscow sasa hivi ni saa sita usiku sawa na DSM kama sikosei.
Hivyo kwa wale wa TZ muda utakuwa wafanana hivyo mimi naandaa runinga yangu hapa Kibaigwa.
Daaah ..ila buraza ...sikuwahi kufikiri ...Kwa hiyo sasa ni "Urusi haiiwezi Ukraine magharibi" ...ila Ukraine mashariki anaiweza ...SI ndio!!?? Kwa mujibu wa comment yako !! Ulijisikiliza kwanza kabla ya kupost au ndio ushabiki hoyahoya....Vita siku zote ni kuzuia adui yako asipate silaha, hakuna cha Safe Zone wala nini.
Upande huo wa Sumy, Lviv Urusi hawezi
Wameishiwa vifurushi vya vikwazo.....Ila Bado RUSSIA iko imara
[emoji1099][emoji1255] The EU has already adopted all the main sanctions against Russia, "there are not many things left" that can still be done - the head of the European Council Michel
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣[ATTACH #]
View attachment 2524307
Uhalisia wa picha ni Huo hapo juu!Tatizo lenu mmezidi propaganda za uongo!Walau ungeweka meza halisi na sio hiyo ya kuedit!
Ukiangalia picha uliyoweka inaonekana kabisa eneo ambalo meza imerefushwa Kwa editing maana inaonekana ilipopinda!
Mnakosa credibility jukwaani Kwa sababu kama hizi!
Huyo BURAZA nilikuwa namuomaga timamu sana .... Kumbe chenga....Who is USA asifanye hivyo. Unajua siasa za kimataifa wewe? Nimekudharau kuanzia leo.
Hii SMO imefanya tuwajue vizuri vichwa maji wengi sana.... Mnajishushia tu credibility zenu Kwa mambo ya kindezi...Na kukaa kwenye meza ndefu kama uwanja nayo ni protocol? Sasa hapa alikuwa anafanya kikao gani si angewapigia simuView attachment 2524120
Hawezi kugusa anga,, kaingilia mlango wa Poland 🤣🤣🤣Babu kapanda garimoshi🤣🤣
Kitu kizito ndo nini, huyo Gayden kuingia na treni ya mkaa Ukraine ndio kitu kizito?Poleni sana Kwa kitu kizito mlichodondoshewa Leo..,mmejitahid kufunika kombe ili mwanaharamu apite lakini bado naona mmegonga mwamba [emoji1787][emoji16][emoji28]
Bado vya silaha navyo vitaisha.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Wameishiwa vifurushi vya vikwazo.....