Maintenance and operation cost za hayo madude sio mchezo.Hili scrapper kumbe bado wanaliwaza. Tangu 2017 limeondoka dockyard leo. Meli inatumia muda mwingi nchi kavu kuliko majiniView attachment 2525665
Ni silaha thabiti ya kirusi. Ina uwezo wa kuruka hadi mita 15.Huyu n [emoji117][emoji249][emoji249] leopard au n Abraham [emoji117][emoji117][emoji240][emoji240]
[emoji1218][emoji1218][emoji1218][emoji1218]
Hahahah utateseka sana, hio olympic ina mchango gani kwenye uchumi wa Urusi!? 🤣Hii hasara ambayo Rusia amesababishia dunia. Haya mauaji yanayoendeshwa na Rusia na uharibifu Ukraine.
Eti aruhusiwe kushiriki michezo na dunia. HAPANA
Huyu Putin na Rusia wake sio ndugu ya Dunia tena katika jambo lolote
Mwalimu wako wa kiingereza akisoma huu ushuzi anaweza akajinyonga. Hivi umeelewa kweli kilichoandikwa?Yaani Urusi super power inapewa silaha na China .Urusi kwishney from 72 hrs to one years na kuombaomba silaha juu shame to Moscow
Mimi ni pro russia. Ila naomba niku sahihishe hapa.Mwamba wa uingereza akikagua jinsi vijana wakakamavu wa rais zelensiky wanavyopiga zoezi..,View attachment 2525158
Mchina kaamua kumaliza ukimya, wao watulie bana kwanini mambo wakifanya wao ni sahihi ila akifanya mwengine wanamuona gaidi au anavunja utaratibu. 😀😀😀Mchina Anauliza Kwann Inakuwa Vyema Nyie kupeleka Silaha Kwa Ukrein na Inakuwa Taabu Mimi kupeleka Silaha Urusi Mnaogopa nn hasa!
Majibu Hayaeleweki wamebakia Kubwa bwaja tu
Wao kama Wameamua Ukrein iwe Dampo na Test ya Silaha
watulie Kila Taifa Liwe Huru Kuwa na Upande Na Kutest Silaha
Mkuu USA haitaji nyukilia kumshambulia Russia ila Russia anahitaji nyukilia kumshambulia USA.Br Ni mjinga tu atabisha ukweli Kwamba Moscow ilipata taarifa za uwepo wa Biden mjini Kiev na ndo maana hawakujaribu kufanya uchizi wowote ambao bila shaka ungeileta dunia kwenye mgogoro wa silaha nzito zaidi za kinyuklia.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni tafsiri yako.., siwezi kukubishia, lakini haiondoi maana ya kile nilichoandika!Mimi ni pro russia. Ila naomba niku sahihishe hapa.
Mtu akishapata Military training hutakiwi kumuita "mkakamavu"
Unapotumia neno "mkakamavu" ni sawa na kuwafananisha na kama mgambo hivi au sungusungu.
Zelegaynsky chose to ignore the Minsk agreement. Thats the cause of war![emoji298][emoji298][emoji1255][emoji1255] Biden addresses the Russian people;
"The US and the nations of Europe do not seek to control or destroy Russia.the West was not plotting to attack Russia,as Putin said today.this war was never necessary.its tragedy, president Putin chose this war [emoji631][emoji631][emoji1255][emoji1255]
Tafuta maana ya neno 'mkakamavu'......huenda linakutatiza.Mimi ni pro russia. Ila naomba niku sahihishe hapa.
Mtu akishapata Military training hutakiwi kumuita "mkakamavu"
Unapotumia neno "mkakamavu" ni sawa na kuwafananisha na kama mgambo hivi au sungusungu.
Tatizo hayo yote zilikywa ni assumption za west; hivyo mmepigwa chenga😂Maandalizi yalifanyika siku nyingi, mabango yalipangwa mijini na tv stations zilikuwa zinakumbusha. Jana wakaanza countdown ya bado masaa mangapi wakati Biden alipoenda Ukraine, nikajua kuna big issue kumbe hotuba ya kawaida.
It was expected atatoa hotuba kabla ya 24th na hiyo tarehe ikifika mashambulizi ya anga yatafanyika mengi. Bahkmut na Vuhledar zilibidi ziwe mikononi mwao kabla ya tarehe hiyo. New mobilization was ruled out by now. Otherwise ni kama Putin ameamua kuwa relaxed na hana tena expectations kubwa. Sasa hivi vitisho vya gesi, nyuklia, don't provide Ukraine with weapons havipo. Leo kafanya zaidi kuwaelezea wananchi
Mkuu, je ujinga huu unasaidia nini? Wewe unaleta picha za Wanazi waukraine, mimi naleta picha ya Wanazi Warusi
Mkuu bila shaka unajua na Urusi iliamua kupuuza mapatano ya Minsk. Haikuondoa silaha nzito katika eneo la Donbass, halafu iliagiza wafanye uchaguzi bandia huko.Zelegaynsky chose to ignore the Minsk agreement. Thats the cause of war!
Ina maana hujui chanzo Cha mgogoro?Mkuu bila shaka unajua na Urusi iliamua kupuuza mapatano ya Minsk. Haikuondoa silaha nzito katika eneo la Donbass, halafu iliagiza wafanye uchaguzi bandia huko.
Kwa bahati mbaya pande zote mbili hazina sifa nzuri katika jambo hili.
Kwa nini iwe sababu ya vita!