Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kweli kabisa, japo China hajawahi shiriki vita yoyote karibuni, hivyo anaweza kuwa na vifaa ila asiweze kazi...

Uzuri wa China ni viwanda vingi wakiamua kutengeneza hata artillery 100,000 watatengeneza kwa siku moja
 
Mkuu nimegundua Jambo huyo Ni mtu wa kupuuzwa tu. Mtu anaeeleza Kwamba Russia si kitisho chochote dhidi ya west. Wakati wao wenyewe (west) wanasema hadharani kitisho namba moja Cha usalama wao Ni Russia.
Russia Ni sababu namba moja ya NATO kuundwa.
Russia Ni sababu namba moja isababishayo nchi zingine zijiingize NATO.
Russia Ni sababu namba moja ya uchumi kuyumba duniani kote iliwemo chakula na nishati

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hadi sasa -ukiaacha Ujerumani wa zamni ando- ndiye Urusi aliyevamia nchi nyingine mara kwa mara tangu miaka 200 hadi leo. Hapo si ajabu kama nchi zinalenga kujiunga na wengine kwa utetezi.
Hivi pro nato mna shida gani lakini. Hivi kuna nchi ambazo hazipaswi kuvamiwa na zipo ambazo ni haki zikivamiwa? Kwahiyo issue imekuwa kubwa kwa kuwa anaevamiwa leo ni mzungu mwenzenu na huenda angekuwa PNG, Bolivia, Lesotho au Cambodia kusingekuwa na shida. Hivi kweli kwa double standards za kishamba kama hizi mnaamini iko siku dunia nzima itakuwa nyuma ya magharibi kwenye masuala kama haya!
 
Kwanini US kamuwekea vikwazo visivyoisha Cuba?
 
Watu wanadhani USA ni Kila kitu.
Nooo,USA wanaweza kua na silaha Bora kabisa yes,lakini ikawa Haina askari hodari.
Akina Warload Gen Mohamed Farah Aideed walifanya Yao.
Mshikaji kabisha mno. Maandishi yake yanaonesha namna alivyo mseja wa ubabe wa Marekani duniani kote. Nimemuacha aendelee kubisha coz nimemwambia asome histori ya Us huko Usomali kaniuliza hivi unaichikuliaje Marekani ikimbizwe na Wasomali! Imebidi nimpe pole.
Imani yake Ni Kwamba US haijawahi gongeka na vijana wadogo akina Aidid

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
US anafanya testing ya hypersonic misssiles hafanyi? Kama anafanya, anafanya ili mwisho wa siku afikie malengo yapi kama laws of physics hazikubaliani na hiki kinachofanyiwa testing leo. Mkuu hizi mambo nyingine haziwezekani tu Afrika ambako tunaishi kwa imani sana
 
Wanafanya majaribio wakikuta tatizo hilihili. Kwa hiyo nikielewa vema changamoto ni kupata namna tofauti ya kutambua shabaha. Kwa shabaha isiyotembea tatizo halipo, maana hapo GPS inatosha.
 
Urusi iliahidi katika mkataba wa mwaka 1994 kuheshimu mipaka ya Ukraine na kuitetea! Mipaka hii ni pamoja na Krimea na Donbas. Putin alianza vita 2014 kwa kuvamia Dombas na Krimea.
US hana mikataba na ahadi za kumuhakikishia Russia kwamba Nato haitaongezeka kuelekea mashariki? Kwako wewe ni nchi gani ikivunja ahadi na mikataba inakuwa sahihi kuliko nyingine?
 
Kuhusu Kuba: tangu 1989 Urusi haikuwa na uwezo wowote kuzuia uvamizi wa Marekani huko Kuba. Ila MArekani (ikichukia Kuba) haikuvamia.
Kinyume Putin (sitaki kusema Urusi, maana safari za mwisho hakupita uchaguzi huru jinsi alivyochaguliwa mwanzoni): kwanza anaahidi kuheshimu mipaka yote, baadaye anaanza kuvunja ahadi na mapatano.
Hadi kusema waziwazi haamini Ukraine inastahili kuwa nchi ya pekee.
Merkel - hakusema ni danganya mtoto. Alijaribu kujitetea kwa sababu sasa wengi wanasema alitenda kijinga. Anajaribu kuokoa heshima yake.
Wote walijua kwaba baada ya 2014 nchi za Ulaya na Marekani zilileta mafundisho kwa jeshi la Ukraine (unaona kosa gani?) kwa sababu 2014 ilionekana jeshi la Ukraine ilikuwa bovu kabisa, rushwa kila sehemu, majenerali waliodharau askari (jinsi ilivyo bado katika jeshi la Urusi leo, maana pande zote mbili zilitoka katika Jeshi JEkundu la USSR). KWa hiyo: baada ya kuvamiwa na Putin mara ya kwanza - kuna kosa gani kama Ukraine ilifanyia ukarabati jeshi lake?
Hawakuweka silaha za kushambulia Urusi, walijifunza kujitetea.
Na walifanikiwa, sivyo?
Kanuni za Umoja wa Mataifa zinampa kila nchi haki ya kujitetea. HAziruhusu kutisha na kushambulia wengine.
Mimi naona utaratibu mzuri.
Ukimkubali Putin - unataka kumzuia kichaa kama M7ni mdogo vipi? Au Iddy Amin?
Kama Putin ana haki, hao wote wana haki, hadi magaidi wa AlShabab.
 
Poland, Lativia, Lithuania na Estonia wote ni member wa nato na wana share border na Urusi ila sijawahi kusikia kama Russia anawaandama. Huenda kweli kuna issue tusizozijua kwa Urusi na Ukraine
 
Mkuu, hao wote wanasikia wanatishiwa mno na Urusi maana Lativia, Lithuania na Estonia zilikuwa koloni za Urusi, Poland ilivamiwa na Urusi na sehemu kubwa ya nchi kuwa koloni kuanzia 1775 hadi 1918, halafu nchi yote nusu koloni 1945-1989. Hapo sababu ni wakli mno katika EU na NATO dhidi ya Urusi. Ila ni dhahiri, hao si Warusi.

Issue tofauti na Ukraine ni: miaka 1000 Urusi = Moscow ilikuwa jimbo la Kyiv, na wakati ule walikuwa kama utamaduni moja. Baadaye waliendelea pekee na tofauti zilitokea (jinsi ilivyo katika maeneo mengi kote duniani); Tangu Ukraine ilivamiwa na Urusi miaka 300 iliyopita, Warusi hawakutaka kukubali Ukraine ina nafsi tofauti; tangu miaka 200 walijaribu kukandamiza lugha ya Ukraine;
Putin anaamini hawastahili kuwa nchi ya pekee, sawa na Belarus ambayo anataka kumeza pia.
 
Kumbe, taarifa ziko tofauti . . . .




thesun.co.uk


Humiliated Putin takes stage at FLOP rally in World Cup stadium after bribing crowd with £5 and free...​


Imogen Braddick

4–5 Minuten


VLADIMIR Putin took to the stage at a flop pro-war rally today after bribing crowds to attend with a fiver and sausages.
Thousands were bussed in for a bizarre concert at Moscow's half-empty Luzhniki Stadium to mark one year since the deluded dictator's shambolic invasion of Ukraine.

6
Attendees have been bribed with free hot meals and a fiverCredit: Twitter / Oleksiy Goncharenko

6
The 70 year old led the crowds in chants of "Russia"Credit: Getty

6
Putin appeared on stage at a pro-war rally to mark on year since his invasionCredit: AFP

6
People wave Russian flags as Putin gives his speechCredit: AFP
As Putin appeared on stage for just two minutes, the Russian dictator told the stadium: "We are proud of those who are fighting in Ukraine to defend the fatherland."
The 70-year-old led the crowd in chants of "Russia" and then swiftly exited the stage in what appeared to be a heavily choreographed event.
And just minutes later, thousands were seen streaming out of the stadium in a humiliating blow for Putin as a dwindling crowd continued watching performances and speeches inside.
The Russian leader held the rally to mark both one year of his disastrous war and tomorrow's Defender of the Fatherland Day.


And the public were bribed to attend with a meagre £5.54, along with the promise of hot meals and free Russian flags to wave.
According to reports, volunteers set up "camp kitchens" to let people sample military rations.
Footage showed free sausages and buckwheat being dished out in small plastic bowls to Putin's patriotic supporters.
One government department forced 70 per cent of its workers to attend the concert, The Moscow Times reports.

A state employee said: "To be honest, I think it’s absurd.
"We have to go and there’s nothing we can do with it.
"The authorities are using it as a propaganda tool to show off in the eyes of Z-patriots and those who watch TV. I wouldn’t go to the event voluntarily."
Organisers have also desperately appealed to university students to attend by telling them they "will be freed up from classes for the whole day".
Another ad promised university credits and "free food and gifts" for students.
One woman said the Kremlin had mobilised 300,000 people for the rally.
Although the stadium, where England were knocked out of the World Cup by Croatia in 2018, only has capacity for 80,000.
"They say 200,000 should be here," she said.
The crowds were ordered not to wear yellow or blue - the colours of the Ukrainian flag.
It comes a day after Putin accused the West of trying to start a "global" war and made a veiled nuclear threat as he rambled his way through a deranged state-of-the-nation speech.
But the address suffered a mass blackout as Russian state TV channels were reportedly hit with a huge hack attack.
The web links of main state channels which are part of All-Russian State Television and Radio Broadcasting Company [VGTRK ] were taken down as he spoke.
Instead of Putin's speech, a notice on screen announced "Mistake 500" and that "technical works" were underway.
Jailed opposition leader Alexei Navalny’s team claimed Putin said the websites of Russian TV channels were subjected to a DDoS attack during Putin's speech to the Federal Assembly.
Russian state TV is tightly controlled and such interruptions are highly unusual.
But the leader's pro-war speech at the same stadium last year was also mysteriously cut off as he was praising his troops amid rumours of planted stooges in the crowd.
He was cut off mid-sentence as he was saying: "It so happened that the beginning of the operation coincided by chance with the birthday of one of our outstanding military..."
Around 10 minutes later, the Kremlin chief's speech was replayed from the start to finish before he walked off stage.


The Kremlin claimed a technical glitch was behind the interrupted transmission of Putin's speech to to mark the eighth anniversary of Crimea's annexation.

6
Putin appeared on stage briefly at the concertCredit: Getty

6
Thousands poured into Moscow's Luzhniki Stadium for the pro-war rallyCredit: AFP
 
Kidhunguuuuuuu...
 
23:43 23 Feb

BreakingRussia condemned by UN as resolution calling for peace passes​

The United Nations General Assembly has voted overwhelmingly to approve a resolution condemning Russia's invasion and calling for the withdrawal of troops from Ukraine and a halt to fighting.
The resolution was approved with 141 nations voting in favour, 32 abstaining and seven voting against - a similar outcome to previous resolutions on Ukraine.

Angalia: Wala China wala Uhindi wala Afrika Kusini hawapingi!
 
Nakazia!!

[emoji779]️The UN General Assembly has approved a resolution calling on Russia to immediately withdraw its troops from the territory of Ukraine within its internationally recognized borders.

141 countries voted for the resolution, 7 countries were against it and 32 abstained.[emoji298]
 
Tukumbushane,

wakat USA na mabestie wanatangaza vita dhidi ya Iraq UN kupitia vikao walitoa resolution km hiyo lkn bado haikuweza kumzuia USA kuitwanga Iraq bomu za kibabe mpaka Saddam akaona bora akajifiche zake kwenye karo,


Hizo resolution zinakuaga na nguvu kwa nchi zetu ungaunga mwana lkn kwa zile nchi ngoma ngumu hicho ni km kikao cha washkaj wakijadil Simba na vyura fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…