wanataka kupiga kura sio kuivamiaUkiona panafuka Moshi,ujue chini Pana Moto.View attachment 2546158
Wewe ndo unaandika porojo tu.. unaandika hata huelewi..watu kibao humu waliishaandika why budget ya US ya kijeshi ni kubwa...Ukubwa wa budget haumaanishi ndo mafanikio ulingoni...Porojo hizi.
US apigwe na Russia kwa bajeti ipi?
Vita ni bajeti kubwa ili ukae uwanja wa mapambano muda mrefu.
Vita ni akiba ya mafuta ghafi
Vita ni akiba ya chakula
Vifa ni vifaa
Vita ni wana sayansi
Huyu Russia anampiga US kwenye nn?
Tuache porojo
Na ndo maana Russia anamuadabisha bwana mdogo Ukraine pale..anamshindilia makombora anavyojiskia for the same reason...Hakuna nchi yyt iliyo karibu na USA itamkaribisha Russia aweke kituo cha kijeshi.
Yaliyo mpata Cuba 1960’s itakua mara 100.
Tuache porojo
Ungefuatilia ungejua, kuna sehemu nimtaje Israel kavamia Russia. Israel last week kaingia kwenye makambi ya wapalestina na kuwaua kwa sababu huna mahaba huwezi kuliona hilo kwa sababu Wapalestina hata sio watu kivile au sio.nan anaanzaga mvaia mwenzie kati ya Palestina na Israel ? je lin Israel iliwai ivamia Urusi , jifunze kutumia akili na mahaba
Huwa sielewi kwa nini story ya Cuban crisis inakuwaga grossly misinterpreted - ni hivi: Warusi walijenga missiles erectors na silos huko Cuba baada ya kupata taarifa za kintelligensia kwamba Amerika amekwisha jenga infrastructures za ki-launch missiles nchini Turkey na Italy - kutoelewana kwa US na Russia kulianzia hapo.Hakuna anachokielewa kuhusu Cuba missile crisis.mwambie akasome alafu arudi tena.
Kwa ufupi tu Marekani alitaka kuivamia Cuba ila kumbe alikuwa kashachelewa,Warusi walikuwa washafika Cuba wakiwa na Nuclear.ikabidi Marekani awe mpole arudi nyuma.
Warusi wakatoa masharti kuwa ili wao waondoke basi Marekani akubali kutoivamia Cuba katika maisha yake yote.Marekani wakakubali ndo Urusi akaondoka.
Mbona Urusi ana wanajeshi wake Venezuela na mpaka leo Marekani akuna alichokifanya.au ajui kuwa Venezuela na Marekani wapo karibu
Bila Shaka
Yani wewe ni mpumbafuu kweli kweli usifananisha BRICS NA VITU VYA KIPUMBAVU,Hadi naona aibu kuwepo hapa kujadili issue za maana.
Mexico wakimkaribisha yyt kuweka kambi za kijeshi,US wataenda Ikulu ya Mexico watamnyakua hadi Rais wao wamlete DC wamfunge.
Jamani naomba tujadili haya kwa weredi sio ushabiki wa kidini kama US anaonea waislam ndiyo maana siwapendi.
Hamna nchi yyt duniani itaruhusiwa iweke kambi ya kijeshi ktk chi yyt iliyopo karibu na USA kwa sababu za kiusalama
Wewe tumia akili ...mambo ya bajeti yanatumika kwenye vita vya mchangani aka ndondo cup siyo vita vya majayanti....kama bajeti ni pesa na mali ulizonazo basi kwenye vita vikubwa vyote hivyo vina tiwa moto wa mabomu tu bank zinapigwa mabomu na misingi ya uchumi inapigwa mabomu na kuwa majivuPorojo hizi.
US apigwe na Russia kwa bajeti ipi?
Vita ni bajeti kubwa ili ukae uwanja wa mapambano muda mrefu.
Vita ni akiba ya mafuta ghafi
Vita ni akiba ya chakula
Vifa ni vifaa
Vita ni wana sayansi
Huyu Russia anampiga US kwenye nn?
Tuache porojo
Ajui kuwa kwenye vita kubwa bajeti ni 0 ....nuke moja tu ikipigwa new york uchumi wa new york unageuka 0Unazungumzia mashindano ya utajir wa bajeti au unaxungumzia VITA mkuu...in english "WAR" unafkiri USA anafurahia mabilion yake kuteketea pale Ukra na makamanda wake?
Kwanini asipeleke kikosi kilichommaliza Osama pale kikaondoka ndan ya siku 3? Jibu ni moja..kuna mtu atakua majivu km hiroshima na nagasaki...within 3hrs..na hajuna bajeti inayoweza kuzuia hiyo "ash umbrella"
Achana na vita kiongozi, pale ukra wanafanya testing ya visilaha na vindegendege bob ili wapate masoko watu wapige hela..ni matangazo ya biashara pale, japo yanachukua uhai wa watu
Matajiri wa hizo kampuni za silaha wao hawajali, ni sawa na wauza dawa za kulevya...wanachojali ni pesa imeingia basi..wewe unaekufa kwenye matangazo yao ulisaini mwenyewe kwamba kifo ni haki yako labda uwe umeshastaafu au umefukuzwa kazi..
nmekuuliza nan huwa anaanza kuwapiga wenzie ? au unataka Palestina( Hamas ) akipiga Israel , Israel atulie tu ? ndio maana nmekuuliza lin israel kaishambulia Urusi maana Urusi hajawai ishambulia Israel , kwako ni Sawa Urus kuvamia Ukraine ila sio sawa Ukraine kujilinda pia ni sawa Palestina ( Hamas ) kushambulia Israel ila sio sawa Israel kujibu ? Ni sawa Iran kusaidia ugaidi mlangon mwa Israel ila sio sawa Israel kuwajibj Iran walipojificha huko Syria ? Tatizo lako unachagua cha kutunza kichwan , haujabalance information na hutokuwa na solution sabab huna balance ya understanding ya informationUngefuatilia ungejua, kuna sehemu nimtaje Israel kavamia Russia. Israel last week kaingia kwenye makambi ya wapalestina na kuwaua kwa sababu huna mahaba huwezi kuliona hilo kwa sababu Wapalestina hata sio watu kivile au sio.
| Vympel R-37M NATO reporting name: AA-13 |
|---|
R-37M at 2013 MAKS Airshow | |
| Type | Long range, air-to-air BVR missile |
|---|---|
| Place of origin | Russia |
| In service | 2019 |
| Used by | Russian Air Force |
| Designer | Tactical Missiles Corporation |
| Designed | 1980s |
| Manufacturer | Vympel MKB |
| Produced | 1985 |
| Variants | R-37M |
| Mass | 600 kilograms (1,320 lb) |
| Length | 4.20 metres (13 ft 9 in) |
| Diameter | 38 centimetres (15 in) |
| Warhead | HE, fragmenting |
| Warhead weight | 60 kg (135 lb) |
| Wingspan | 0.7 m (2 ft 4 in) |
| Propellant | Boost-Sustain Solid Rocket |
| Operational range | 150–398 km [1] |
| Maximum speed | Mach 5 – Mach 6 (6,100–7,400 km/h; 3,800–4,600 mph) |
| Guidance system | Inertial with mid-course update, semi-active and active radar homing |
Kemea uchafu wanaoufanya Nato kwanza kabla ya kuangalia ya Urusi, tumia akilitusikemee umwaga dam kisa NATO waliwai mwaga dam ? upo timamu kwel ?
Mkuu Prigozhin ana pesa nyingi. Alianza mwenyewe kama mwizi gerezani alipotoka alianzisha biashara ya upishi na catering akabahatika kumfanyia kazi Putin mwenyewe akawa karibu naye kwa miaka kadhaa. Alitumia nafasi kujitajirisha leo ni bilionea. Tangu 2013 alianza kuwekeza katika kampuni ya Wagner hadi kuwa mwenye Wagner.Kwa hiyo Wagner wanapigana bure!? Yaani Pmc mamluki wapigane bure!?
Maneno ya prigo hayaendani na uhalisia. Inategemea kama wewe unataka maneno au unashawishika zaidi na uhalisia.
Uhalisia ni Wagner kuendelea kupiga hatua mbele Bakhmut. Maneno ni Wagner wanaishiwa risasi. Je, Wagner wanasonga mbele dhidi majeshi yaliyojizatiti ya Ukraine bila kutumia risasi!? Uchawi ulioje wa Prigo huu. Na iweje Ukraine anaesaidiwa risasi na nchi 30 na zaidi ashindwe na mamluki wasio na mafunzo tena wanaoishiwa risasi tayri!?
Kalagabaho
😂😂😂 USA aisee anataka matundu yote ya mwili yatumike 🤣🤣🤣...Urusi hapangiagi mtu maisha, tumekuwa na urafiki nao wa enzi na wametupa msaada wa kijeshi sana enzi za mwalimu. Ila sijawahi sikia mrusi akilichimba biti taifa hili kuwa msiponunua silaha kwangu tusijuane 🤣🤣🤣...
Ila ukilia msaada yupo tayari kukupa ndio utaratibu wa braza Urusi. Ila wale wa USA msaada unapewa ila sharti mlane viboga na kujitangaza kwenye mitandao.
Nimeongelea Uharibifu anaoufanya Marekani regardless ni uvamizi kama Vietnam na Libya au kuombwa msaada kama Ukraine..kiufupi kote umepataja Marekan hajamvami mtu kuforce ushirika ni wao wanataka ushirika na USA
Mkuu wasamehe sana, wengi wao hawana habari kwamba Al Jaazera na Al Arabai are part and parcel za ku-propagate propaganda za west!!Kipanya,hivi Aljazeera nayo ni source ya habari,mbona ni Mocking Bird Media.Usiwe unaleta sources hizi mkuu,unaonekana bankrupt sana.
Wewe haya yote umeyajulia wapi!! Au wewe mwenzetu ni member wa inner circle ya Rais Putin??Mkuu Prigozhin ana pesa nyingi. Alianza mwenyewe kama mwizi gerezani alipotoka alianzisha biashara ya upishi na catering akabahatika kumfanyia kazi Putin mwenyewe akawa karibu naye kwa miaka kadhaa. Alitumia nafasi kujitajirisha leo ni bilionea. Tangu 2013 alianza kuwekeza katika kampuni ya Wagner hadi kuwa mwenye Wagner.
Katika kampeni zake Afrika aliweza kupora mali nyingi maana alipatana alipiwe kwa nafasi ya kubeba madini zenye thamani.
Ukiamini kweli analenga kupumbaza Waukraine kwa kilio chake kuhusu risasi - basi uamini tu! Ila Waukraine si wapumbavu. Kilio chake cha juzi ni:sasa hawezi kumpigia simu Putin wala ofisi yake, walizuia simu yake. Kwa kilio hicho anataka kupumbaza nani???
Ni dhahiri wanajeshi wengi wa Urusi wamechoka jinsi alivyojipigia debe na kudai yeye ni kamanda bora ..
Mjinga dawa yake kumkalia kimya🤣Mwaka unaenda wa pili sasa hujamaliza vita ambavyo hutakiwi usafiri sana?
Russia has been exposed bigtimes
Hamna kitu mule maneno tu
Amefanikiwa kukutegua tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Noma sana, yani mtu alitegemea akuvunje mguu ila anakuta kafanikiwa kukuvunja kidole tu
Wameumaliza mwendo🤣🤣🤣😂😂😂 USA aisee anataka matundu yote ya mwili yatumike 🤣🤣🤣...
Naona jirani zetu Kenya pole pole washauanza mwendo wanaelekea walipo South Africa, baada ya kama miaka 5 mpaka 10 yawezekana wakahalalisha mpaka na ndoa kabisa...