Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Marekani hapo lazma ajambe jambe maana anaogopaga sana raia wake kufa kama kumbikumbi 😀😀😀
 
Hebufikira Hawa Ndio Wanajeshi wanao Pelekwa Kupamana Na Dubu kama Urusi!!
Yaani hawa Hata kuwaua Unashindwa Sijui uwe na Roho ya namna gani Aisee.
Mzee kama Huyu kweli wakwenda Vitani?
View attachment 2535885




Nimetamani kucheka ila ghafla simanzi na huzuni vikaningia huko ni kutaka kuwabebesha lawama russia ya kuua watoto na wazee na ndio maana kiongozi wa wagner kamtaka zelensky awaruhusu askari wake warudi nyumbani
 
Hahahahaa! kwa hiyo wazee wakaukana mwongozo wao kwa kujifanya urusi hajapiga bomu.

Ila urusi mbabe aisee!
 
Ha ha ha haa,BUSH BIN LADEN katika ubora wako.
F-22 kiboko ya maputo 😂😂🤣🤣
 
Shukrani kwa shule
 
Hahahahaa! kwa hiyo wazee wakaukana mwongozo wao kwa kujifanya urusi hajapiga bomu.

Ila urusi mbabe aisee!
Waliukana "mwanangu".
Kwa sababu wachunguzi wa mambo wanakuambia,hiyo ndio ilikua sababu tosha kabisa ya kuingiza jeshi la NATO vitani upande wa ukraine.kwa sababu wanasema USA iliwahi kuisingizia Iraq kua inatengeneza silaha za maangamizi na wakaivamia. Na hawakua na ushahidi wowote wa maana.
Sasa kwa mkasa huo wa polanda ilikua ni sababu tosha TU ya kizushi yavkulianzisha.
Cha ajabu kaka mkubwa USA ndo akawa wa kwanza kumtetea Urusi,wao Warusi walijikalia kimya TU walisubiri kuona NATO watafanya Nini.
Kilichotokea waliishia kumlaumu na kumuonya Ukraine TU.
Shida ilikua ni nani amfunge paka kengele?
 
Mbona abram tanks wana system kama hizo ila bado vinalipuliwa tu
 
Mwaga darasa,mwaga darasa,mwaga darasa Hadi NATO wote wa humu JF tutakapowapa mtihani wapate 100/100
 
Akaishia kutikisa matakoh kama kenya.
Ila urusi hatari sana,ndio faida ya kuwa na viongozi bora wenye malengo chanya mamoja,kwa manufaa ya taifa lao
Mungu ibariki urusi
 
Hata kwenye computer hacking Urusi anamzidi kwa mbali sana USA. Mrusi lugha yake inamsaidia sana kwenye mambo mengi. Pia Warusi wanaipeda sana nchi yao.
 
Porojo hizi.
US apigwe na Russia kwa bajeti ipi?
Vita ni bajeti kubwa ili ukae uwanja wa mapambano muda mrefu.
Vita ni akiba ya mafuta ghafi
Vita ni akiba ya chakula
Vifa ni vifaa
Vita ni wana sayansi
Huyu Russia anampiga US kwenye nn?
Tuache porojo
Sad mtu anaongelea budget. Wakati wewe unazungumzia bedget, wenzio wanaongelea value for money.

Million of dollars zilitumika na NASA ya mwamerika kwaajili ya kuresearch na kuinvent kalamu itakayotumika na astronauts wakiwa anga la mbali. Kwa vile kalamu za kawaida hazifa fanya kazi pasipokuwa na gravity.
Millions of dollars was spent.

Msoviet went for a pensil. Na both cosmonauts na astronauts walifika na kuandika kile walichopaswa kuandika.

Last time, US military spent almost millions on research za bilauri za kahawa zinazo reheat na kufanya kahawa isipoe. Hii. Hii ni spending ya jeshi

Same happened hapa, U.S. paid $1 million to ship two 19-cent washers

Wamelipa gharama za usafirishaji wa Pc mbili za washers zenye thamani ya kama laki tu kwenda Iraq kwa bilioni 2.5 za kibongo. Just kwmaba zilikuwa na uharaka.

The Russians dont do that. Wao kama lengo ni kupiga simu...they dont need an iphone ya $1500 kufanya ilo, they will go for Nokia tochi of less than $10. Na wote watafanya mawasiliano.

Same kwenye military hardware...wana flow with the same doctrine

Lakini tujikumbushe kitu...kumlipa technician kufanya service ya gari yako Marekani ni thousands of $, kazi iyo iyo inafanyika kwa less than 100000 hapo buguruni. Labor costs ni tofauti. Kombora ambalo technicians kwa kirusi wanaunda kwa $500000, mmarekani atataka alipwe $3M. So lazma budget ya hawa watu wawili wenye soko tofauti kabisa la resources zipishane sana. Na utofauti huo hauna maana ubora ni tofauti.
 
Unaambiwa west wana 8 sec tu za kureact huu mzigo ukitumwa kwao.. Ni kweli kabisa unavosema kwamba SAM operators wa wanaziona ila hawana cha kufanya maana wakati unawaza cha kufanya mzigo unakuwa tayari umefika. Nakumbuka wakati Putin anaitangazia dunia kuhusu kuwa na hizi siraha west walidai ni propaganda simply kwakuwa wao hawawezi so wasichokiweza maana yake hakiwezekani. Kuna hata maengineer mwitu humu walikuja na theories za mitaani kudiscourage haya mafanikio ya Warusi na kudai hii tech ni kinyume na laws of physics, ila kwa kuwa pro west wengi hapa ni robots sikuwashangaa. Leo west hawana budi kukubaliana na ukweli kwamba hypersonic weapons zipo na Russia ni leader kwenye hii field.
 
Mbona abram tanks wana system kama hizo ila bado vinalipuliwa tu
Vinalipuliwa wapi? Taarifa ninazoona ni kutoka Yemen ambazo ni vifaru vya Saudia. Sawa na taarifa kuhusu Leopard za Uturuki, vifaru hivyo hutumiwa bila utaalamu . Ukiweka kifaru shambani kwa sababu unahitaji mzinga na sasa unaamua kutumia kifaru chako kama artillery, bila ulinzi mzuri wa askari miguu, basi umeshakiweka hatarini. Vilevile ukitumia vifaru vyako kusogea mbele tu, ukivunja mstari wa mapigano na kuingia ndani - tena bila ulinzi wa askari miguu na usalama wa hewani. Vibaya zaidi ukipanga vifaru vyako foleni (jinsi Warusi walivyofanya huko Kyiv au juzi huko Vuhledar).
Unaweza kuharibu kila kifaru kikisimama mahali na kukusubiri, au kikipita karibu nawe bila ulinzi.
Hii tofauti na kujadili swali la vifaa ambavyo havipatikani kama vile mfumo wa "Arena" - Warusi waliibuni kwa gharama lakini haviitumii - na vifaru vyao vinapigwa tu . . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…