Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukrainian Mi-8 helicopters, seven HIMARS and Uragan rockets and one drone were downed by Russian air defense systems in the course of the special military operation during the past day, Russian Defense Ministry Spokesman Igor Konashenkov said on Sunday.

"Two Mi-8 helicopters of the Ukrainian armed forces were downed by air defense systems near the settlement of Temirovka in the Zaporozhye region and Dvurechnaya in the Kharkov region. Apart from that, seven HIMARS and Uragan rockets were intercepted during the day, and a Ukrainian unmanned aerial vehicle was destroyed near the settlement of Chervony Mayak in th Kherson region," he said.
 

 
Russia wipes out over 220 Ukrainian servicemen in Donetsk direction over day

"In the Donetsk direction, as a result of active operations of the units supported by the artillery of the Southern Group of forces, more than 220 Ukrainian servicemen, an infantry fighting vehicle, three armored fighting vehicles, seven vehicles, as well as a D-30 howitzer were destroyed during the day," military official reported.
 
Sawa naona wengine marafiki wa Putin wanashangilia silaha hizo. Inaonekana kwa sasa Warusi wako mbele. Sasa silaha hizo zitawasaidia nini? Tuseme wanarusha 200, 300 (hadi sasa akiba yai ilitosha kurusha si zaidi ya 6 nikikumbuka vema, pamoja na roketi za kawaida).
Hizi 200 haitazuiliwa. Hautujui bado kama zitalengwa kwa umakini (hadi sasa data haziko wazi). Hata zikifika - zibebe nini? Mabomu ya kawaida? Au mabomu ya nyuklia?
Kama nyuklia zitaleta uharibifu mkubwa. Halafu? Hakuna njia ya kuzuia majibu kutoka roketi zilizoandaliwa tayari. Hata nyambizi wa Uingereza peke yake zinatosha kumaliza miji yote mikubwa ya Urusi. Bila kuhesabu nyambizi za Marekani. hakuna kitakachobaki na Urusi.
Kwa hiyo Putin anaweza kutisha lakini hawezi kuzitumia. Au inaona njia nyingine (isipokuwa mipango ya siri za Putin ambayo unaamini iko lakini huwezi kutuambia.....
 
Russia anaweza kuangamiza ulaya yote na marekani kwa pamoja.
 
Submarines ndo zilipewa hii ruhusa..kuna kamanda mmoja wa Urusi..ukimgoggle unaweza mpata.."The man who saved the world from ww3"..Kidogo afyatue...na alikua kwenye mazingira ya kufyatua..wenzake wawili waliisga-bonyeza vitufe..akabaki yeye tu...akasita....
 
Mrusi anarusha na makombora ya dummy. Alhamisi Hypersonic alirusha sita tu mengine yalikuwa ya kawaida na dummy pia ili kuyazuga makombola ya kujilinda ya adui na alifanikiwa sana. Mrusi ni super power wa kweli kweli Warusi kwa umakini ni zaidi ya Wamarekani.
 
Mambo uliyoandika hapa hayana uthibitisho. Ni maneno matupu.

Jibu swali, Ina maana Wagner wanapigana bure hapo Ukraine!? Hawalipwi kitu!? Kuwa na hela kwa prigo au kutokuwa nazo hakuna uhusiano na uhusika wa Wagner Ukraine.

Wagner wana wapiganaji karibu elf hamsini wanaopigana Ukraine. Hao wapiganaji wote wanalipwa mishahara yao na bonuses na bima. Hizo pesa zinatoka wapi kuwalipa watu wote hao!? Mfukoni mwa bilionea prigo!? Ina maana Prigo anatoa zaka kwa taifa la urusi.
 
Nilisha wahi kusikia story na kumuona muhusika mwenyewe akizungumza - sio kweli kwamba submarine zilipewa ruksa kufyatua makombora ya nuclear wakijisikia - procedure ilikuwa ni kwamba submarine zisifanye lolote mpaka wapewe amri kutoka Moscow, lakini hili la kusema jeshi la Urusi lililokuwa CUBA lilipewa ruksa kufanya lolote lenye maslahi kwa Mosow hata kama ni kufyatua nuclear missiles hilo linawezakana kwa kuwa wao walikuwa na intelijensia kujua Waamerika wana plan nini.

Lakini kwa chombo kama Submarine kilicho piga mbizi kwenye kina kirefu si rahisi kujua kinacho endelea bila ya kupitia kwenye mawasiliano ya kielectronic ndani ya maji ya bahari, ndio maana walikuwa wanapewa very strict procedures wasifaye kitu bila ya kupewa amri kutoka Moscow.

Sasa tatizo lililo jitokeza kwenye submarine ya Urusi wakati wa Cuban crisis ni kwamba system ya mawasiliano ya Russian submarine ilikorofisha kwa hiyo crew hawakujua kinacho endelea Duniani kama, je, Urusi imekwisha shambuliwa na missiles za USA au la - sasa crew wakawa wanabishana,je, na wao wajibu mapigo kwa kufyatua ICBM kwenda kushambulia Merikani kama kulipiza kisasi, au? - Crew karibu wote walikubaliana lakini mmoja wao ambaye nafikiri ndiye alikuwa commander aliwakatalia wote - kwamba hatujui kinacho endelea juu ya aridhi ie hatuna mawasiliano, hivyo si busara kufyatua makombora wakati hatuna uhakika kwa kile kinacho endelea - kama nakumbuka vizuri wakati huo kijana huyo alikuwa na miaka kama 30/31 kiumri.

Nadhani alifariki kama miaka kumi iliyopita akiwa anajulikana kama shujaa - tuwe wakweli hapa: Dunia ina wajibu wa kumshukuru kijana huyo kwa kuwa na a very level headed person, bila ya yeye kutumia busara Dunia inge angamia kutokana na miscalculation/accident za masuala ya ushindani kati ya US na Russia kwenye mabom ya thermonuclear.
 
Ila wao US ndio wanahaki ya kuweka Kambi za jeshi popote duniani wanapo taka.
 
mkuu walirudije pwani bila mawasiliano?,
 
Hata mimi hili la Warusi kuvurumisha dummy missiles kwanza ili kizisoma air defense systems za Ukraine/NATO kwanza halafu baada ya muda kidogo kinafuata kitu kizito cha kuzitia kiberiti zote - hiyo kitu imeniacha mdomo wazi, sasa sijui NATO/US na kuhadi wao MK254 na mwenzake wako hali gani - tukiwambia Warusi si lelemama wanatuona wendawazimu.
 
Nafikiri kichwa chako ni kigumu kuelewa.ivi kweli chombo cha habari cha magharibi kinawezaje kujua habari za jeshi la Urusi pasipo warusi wenyewe kutoa taarifa.Wikipedia wenyewe awajui mpaka sasa warusi wametengeneza vifaru vingapi.
.mambo ya kiwandani Urusi wewe au vyombo vya magharibi aviwezi kujua kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…