Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu picha yako ya dunia ni ajabu. Nakubali dunia si Marekani - ila unapata wapi hoja kuwa nchi za Ulaya zinarubuniwa na Marekani?
Mbona nchi hizo waliwekeza pesa nyingi kwa muda mrefu huko Urusi kwa shabaha ya kujenga uchumi wake ulioporomoka kabisa baada ya miaka ya ukomunisti? Nilionyesha tayari mfano tasnia ya magari hakuna kampuni au kiwanda kilichoendelea bila kushirikiana na makampuni ya Ulaya magharibi (ama kwa njia ya kuwekeza, au kununua tekinolojia kutoka kule - kinyume kampuni gani ya huko ilinunua tekinolojia kutoka Urusi??).
Mataifa ya Ulaya yalijenga umoja gumu baada ya karne nyingi za vita kati ya nchi za Ulaya. Vita hizo zilikuwa pia balaa kwa dunia yote. (Tanganyika iliona vifo vingi kwenye miaka 1914-1918 kwa sababu ya vita baina ya Uingereza na Ujerumani). Kwa hiyo si kitu kibaya kama nchi hizo zinatafuta njia ya kuishi kwa amani. Urusi iliwahi kushiriki katika juhudi hizo ikajiunga na mapatano ya Ulaya kama vile Council of Europe na Organization for Security and Co-operation in Europe (OSCE).
Ila tangu 2014 wanaona kwamba Urusi inavunja mapatano hayo yote.
Unaamini kweli kwamba Latvia, Estonia au Finland wanahitaji kuamiwa na mtu yeyote kuwa Urusi ni jirani hatari??? Hujui kwamba wote waliashambuliwa na Urusi katika karne ya 20??? Nchi za Baltiki kuwa koloni za Urusi baadaye, Finland kupotea sehemu kubwa ya ardhi yake?
 
Yani unampa Ukraine ndege 20 za f-16 alafu anaenda kukutana na MiG zaidi ya 200 juu ya anga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Hayo ni matumizi mabaya ya ela za walipakodi.
 
Ivi wewe vita unaichukuliaje?.pale Ukraine kwa sasa kila mtu anapambania roho yake wala hakuna maisha ya kusema sijui ufatilie leo kafa nani.

Yani kuna watu wengi awajui ndugu zao wapo wapi kwa sasa maana wanajua tu wapo jeshini kumbe labda walishakufa siku nyingi.pasipo jeshi kutoa taarifa wewe utajuaje kama ndugu yako kafa ikiwa haupo front.
 
Hayo unayajua ww tu na warusi wa mchongo
 
Nenda nae mdogo mdogo huyo mpaka ateme bungo chavi wa kibabu Putin[emoji1787]
 
Amechelewa sn Putin, west Wana strategies nyingi sn hatimae ss wanaikodolea sebule za Moscow na Kremlin.

Leo hii kila dk milipuko haiishi ndani ya Russia hiki ni kipimo tosha kuwa Sasa wamemfikia huyu mbwa mwitu.

Putin anajua na warusi wanajua kuwa Sasa usalama wao upo shakani.

Bado kitambo kidogo tu Putin kutiwa pingu na kupelekwa the Hague.[emoji1787]
 

The fate of the US$ is now sealed: Oil jumps 7% after surprise OPEC production cuts. Russia & India adopt new Oil benchmark, abandons the European "Brent" crude pricing​

03 APRIL 2023

Prices for a barrel of oil jumped 7 to 8% last night in pre-market trading, after OPEC+ announced a reduction in oil production of about 1.1 Million barrels per day.
Oil has hit $80.98 per barrel, and continues to rise today:

As this story is written, 10:04 AM EDT on April 3, 2023, The West Texas Intermediate contract jumped 5.74% to $80.01 a barrel, while Brent jumped 5.67% to $84.42
This will translate into higher prices at the gasoline pump for cars and the diesel pump for trucks, which will cause a rise in consumer prices for everything that has to move by truck. This type of demand inflation cannot be halted by central banks raising interest rates.

NEW PRICING MECHANISM
More shockingly, the top oil producers in Russia and in India agreed to change the market pricing mechanism for oil price transactions.
The largest oil producer in Russia and India's top refiner have agreed to adopt the Asia-focused Dubai oil price benchmark. They have abandoned the Europe-dominated Brent benchmark.
This will make it much easier for countries to buy oil WITHOUT USING THE U.S. DOLLAR!
This is huge.In reality they have just told the US $ / Euro trash to "F*ck-Off and Die!"

Basically, they're sizzling the West' bacon and there's nothing the West can do about it short of war.Will the West initiate WWIII as they did with WWI & II to start a New Order in this case the much anticipated NWO? Time will tell.
 
Leta ushahidi humu acha kelele[emoji3061]
 
Matatizo mabaya ya Mwili yanaharibu akili
 

US, EU exploring ways to cut dependence on Russian energy​

United States Secretary of State Antony Blinken says his country and the European Union are exploring ways to further reduce Europe’s dependence on Russian energy.

“Russia’s weaponisation of energy is underscoring the urgency of that task and an opportunity to accelerate our progress” in the global clean energy transition, Blinken told reporters after a meeting with EU foreign policy chief Josep Borrell in Brussels.

“We will focus on how we can further reduce European dependence on Russian energy and boost the Euro-Atlantic region’s clean energy production,” he said.
 
Putin anakwambia Wala hakuna kitu serious ambacho amefanya Ukraine kwenye hii SMO!
Yaani mtu anafanya kaoperation halafu Ukraine anasaidiwa kila kitu na mataifa zaidi ya 30 lakini Bado mzani umeegemea upande mmoja!
Ama kweli Urusi sio mchezo!
Huku majenelali wake wakiendelea kupukuchuliwa [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Umemaliza Mkuu,Sasa pumzika,umepiga Kila engo,hakuna ulichoacha.umetisha baba,umesema ukweli mtupu,na ukweli ni kama namba,na namba hua hazidanganyi.
Finland vs Urusi kwa namba hazibalance kabisa.
Big up Bro.
 

Binti mwenyewe anasema na amekiri kwamba alitumwa. Wewe unadai eti "Anaonewa".
Hivi nyie LGBTQI mnafikiri kwa kutumia kiungo gani?
 

Westerns ni wachawi sana. Wao wanatafuta options za kuachana na energy ya Russia... Lakini nchi nyingine wakiwa wananunua hiyo energy ya Russia, wao westerns wanaumia sana na kutishia kuweka vikwazo.

Huo kama sio uchawi ni kitu gani.
 
Mkuu T14 Armata

Matusi ya nini... kwani ulilazimishwa kupiga punyeto mkuu wangu?
Mimi nachofanya ni kuuliza tu mbona hukujibu ulipoulizwa kuhusu upigaji wako ya punyeto.
Jibu si nimekupa, una nyege? Kama dildo halikutoshi vaa kimini ingia Riverside
 
Warusi wanaipiga punyeto bakhumut [emoji23][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…