Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu!najua mambo ya medani tofauti ya unavyodhani(ila sipendi kujadili wasifu wa watu ila mada so jikite hapo)

mkuu tarehe 01,01,2023 usiku Urusi alipoteza askari 89(according to Russia) pia 200+ kwa mujibu wa Ukraine.

Angalizo:ukiwa muongo usiwe mwepesi wa kusahau.
 
Huu uzi unanuka propaganda mpaka kero!japo ukweli mchache but pro war(wapenda) wamezidi kwa propaganda na matusu,shukrani kwa huyu ndugu anaitwa Umshana anajitahidi kuwa lugha za logic,fact na nidhamu!

sina upande,ila sipendi vita!


Umeona ni heri UJIFAGILIE mwenyewe sio?.... upande wako unajulikana kwa kila anayefuatilia huu uzi na ukizugumzia 'propaganda' humu wewe ndio kinara
 
Huu uzi unanuka propaganda mpaka kero!japo ukweli mchache but pro war(wapenda) wamezidi kwa propaganda na matusu,shukrani kwa huyu ndugu anaitwa Umshana anajitahidi kuwa lugha za logic,fact na nidhamu!

sina upande,ila sipendi vita!

Umeamu kuja na ID nyingine, huu uzi ni spana tu ukiona unakushinda kaanzishe uzi wako.
 
Uko sahihi mkuu yani wameenda kujichoresha tu na kuwachoresha watu weusi. Alafu bado miwatu kama hiyo inajiita wasomi upumbavu mtupu yani
 
Maybe Ukraine gives up the territories Donbass, Luhansk. I think it could be somehow right to give away these territories, because the population of Donbass and Luhansk is completely pro Russian.”
— Colonel Lieutenant of the Ukrainian Military Intelligence Services, Desyatnik
 
Huu uzi unanuka propaganda mpaka kero!japo ukweli mchache but pro war(wapenda) wamezidi kwa propaganda na matusu,shukrani kwa huyu ndugu anaitwa Umshana anajitahidi kuwa lugha za logic,fact na nidhamu!

sina upande,ila sipendi vita!
Haaa...aisee..wewe upande wako tunaujua...pro Ukraine hatari..leo unataka kujikana et huna upande!!!!Dozi inaendelea
 
The press secretary of the President of South Africa was not imbued with a fake air raid, which was staged by crests in Kyiv:
"It was the time when the so-called explosion took place. I filmed a video from a hotel here in Kiev. It is very strange that we did not hear or see the explosion. There is clearly some kind of deliberate misinformation being spread here."
 
Jaribu kutumia kidogo tu akili: Unajua kwamba chombo kikuu ni baraza la usalama. Hakuna azimio la baraza la usalama dhidi ya mapenzi ya yeyote kati ya wanachama wa kudumu Urusi, Marekani, China, Ufaransa na Uingereza. Kila mmoja anaweza kupiga VETO na kusimamisha kila kitu.
Kama baraza la usalama lilikubali hatua dhidi ya Libya au Yugoslavia, maazimio hayo yalifanywa pamoja na wanachama wa kudumu.
Je hii ni vigumu mno??
 
Kumbe unaanza kuleta kitu. Sasa tusiongee hewani. Ukiamini NATO imevunja mkataba,
a) taja mkataba na mwaka wake
b) taja sehemu yake iliyovunjwa

Ila nakuambia: hakuna mkataba uliovunjwa na NATO. Naweza kutafuta mikataba nimekuletea mikataba ambayo hujawahi kusikia. Nimekuambia Urusi imevunja vipengele gani.
Ila wewe unapendelea kukaa hewani tu - maana hujui unachotaka kutaja!

Ukijua: lete data!
 
Hii Habari yako uliyoweka reference ni ya mwezi April.

Mimi nimeweka habari ya Leo June 17.

Nilishakukanya Mara nyingi Sana sipendi uni quote wewe LGBTQ kwenye posts zangu. Embu basi jaribu kuheshimu ili.


View attachment 2660636
Mkuu usipotaka majibu usiingie hapa! Menginevyo usishangae utapata majibu ukileta mambo yanayopingana.
Jana ulileta habari iliyosema "Wizara ya Ulinzi ya US amesema imeamua kuachana na program ya ku develop hypersonic."
Mimi nimejibu kwa habari halisi kuwa jeshi la anga (si sawa na wizara ya ulinzi) la marekani liliwahi kutangaza kwamba walitaka kuachana na mradi wa ARRW, lakini sasa wanasema uwezekano bado upo kwamba watainunua.

Sasa unakuja wewe na kuongeza habari ianyothibitisha yale niliyotuma ilhali unajaribu kujitetea.
Msomaji anayetumia mantiki atashangaa.
 
Unaamini Russia kavunja makubaliano lakini at the same time huamini NATO kama kavunja makubaliano
mkuu sioni jabo la imani. Uaonaje: Nchi inaahidi huko Budapest 1994 kuheshimu na kulinda mipaka ya Ukraine, halafu tangu 2014 inaanza kushambulia Ukraine -- nani anavunja mikataba???
 
That's why tunasema you need to go deep kuhusu these issues..!! Inawezekana hujui karata za USA juu plan zake kuhusu hii Dunia tunayoishi...kama unaamini UN anaweza kwenda against USA basi bado hujajua hizi world organization zinavyo work
Mkuu ukijua kidogo kanuni za Baraza la Usalama huwezi kudai linafuata matakwa ya upande mmoja. Wakati China, Urusi na MArekani kila mmoja anaweza kuzuia maazimio kwa kutumia VETO, je nchi moja inawezaje kuwalazimisha wengine???
Kama BAraza la Usalama liliona matendo ya jeshi la Yugoslavia yalikuwa tishio la amani, hapo China, Urusi na Marekani zilikuwa pamoja.
Au wewe mwenye elimu ya "deep" utueleze!
 
mkuu nakubali kuhusu hali ya kutoaminiana kati ya NATO na Urusi.
Ila kuhusu mikataba afadhali ulete mifano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…