T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Anazo Eurofighter Typhoon na Tornado kwenye inventory. Anaongezea 5th generation F-35 chache baadae baadhi ya Europeans wanaweza fanya consoltium kuunda jet fighter kama Typhoon ilivyo au akaongeza hizo F-35. Uingereza kwa ushirikiano na washirika mbalimbali yuko anaunda Tempest itakuwa 6th generation miaka ya mwishoni mwa 2030s itakuwa available.Hivi kwanini nchi yenye uchumi mkubwa kama Ujerumani ananunua F-35 idadi ya 35 tu?nilidhani kabda angetoa oda hata ya ndege 100+ shida ni gharama au nini?naomba ufafanuzi zaidi
Na hizi nazo tuseme ni propaganda za Mabeberu? Maana tukileta sisi habari zinazotoka BBC mnasema ni uongo na propaganda.Majeshi ya Russia yakitumia ndege za kivita yamefanya mashambulizi makali ktk mji wa Zhytomyr unaopakana na Kyiv, BBC imeripoti.
View attachment 2149964
Lakini akileta za Russia inakuwa ni uongo na propaganda?Waziri wa Ulinzi wa Ukraine amekiri miundo mbinu mingi ya Kijeshi imelipuliwa wanajeshi 1200 Drone 180, Vifaru 1000, majukwaa ya kurushia makombora 160, ndege 160 na ukiona mpaka waziri wa Ulinzi wa Ukraine anakiri ujue muda so mrefu atatangaza kusalimu amri kwa Wasoviet
Asante kwa ufafanuziAnazo Eurofighter Typhoon na Tornado kwenye inventory. Anaongezea 5th generation F-35 chache baadae baadhi ya Europeans wanaweza fanya consoltium kuunda jet fighter kama Typhoon ilivyo au akaongeza hizo F-35. Uingereza kwa ushirikiano na washirika mbalimbali yuko anaunda Tempest itakuwa 6th generation miaka ya mwishoni mwa 2030s itakuwa available.
Alafu F-35 sio za kuwa nazo nyingi. Hata US alinunua advanced F-16 na F-15EX ambayo ni ghali zaidi kuliko F-35 ila sio stealth. F-35 ni za muhimu sana mwanzoni kwenye contested air kwa kuwa ziko stealth, zikishaharibu radar SAM sites mnakuwa na air superiority na zinakosa ulazima. High running cost, slow speed, low range, zinabeba mzigo kidogo.
We ni Empty headMaduro akipata Russia kapata sasa tatizo wapi mbona mnakua viazi sana
Sijawahi sikia kama US ana bomba la mafuta kutokea Libya. Hii nimeipata kwakoUs anachimba mafuta kwa dunia anashika no8. Ila ana reserve kubwa si libya Bomba limeenda direct Us sijajua saudi arabia anatumia njia gani. Us ana reserve tu napo hzo data zinatoka west sina iman nazo.
Ewaaa!Inadaiwa kuwa Russia imeomba silaha kutoka kwa rafiki yake China kwa njia ya kificho lakini wasiopenda vita ndani ya jeshi la Russia wamevujisha taarifa.
Marekani imewaonya China wasimpe silaha Putin.
Source: BBC!
He will surely pay last respect to your corpse😂 dead azz muthafukaPutin must pay... He must fuckinly pay..kmmke zake
Halafu huyu eti ndo anaomba Silaha China ili apambane na huyu Marehemu.Russia imetumia mizinga kushambulia jengo moja kubwa ndani ya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, huku majeshi hayo yakizidi kuelekea katikati mwa mji huo.
Jengo kubwa la gorofa limesambuliwa nyang'a nyang'a.
View attachment 2150044
Huenda Russia hajapenda lakini hatuna neno nae kabisa😂Kauli ya uoga sana hii [emoji28][emoji28]
Ndege Vita ya kwanza kufika bagdad ilikua rafale ya ufaransa. Mnatoa Habari kwenye media huku na Wikipedia isiyojua hata Tanzania inamiliki AH115/125 ngapi na Ni mali ya west block. Kwasisi tunao elewa masuala ya kivita bado tunamuona Russia Ni Moto wa kuotea mbali. Just imagine hizo Bm old mortar series zinavyo kiwasha.Marekani aliomba Silaha gani akiwa Vitani?
Hiyo Chechinia iko nchi gani?Hakuna cha Propaganda. Juzi live Putin mwenyewe kwa mdomo wake kaomba wapiganaji kutoka Syria. Kabla ya hapo aliomba kutoka Chechinia.
ChenChen ni ma mafia wale jamaa! Ukraine lazma watatubu round hii😅Nilikua nawadharau wa-Chechen,wanachapa mkono sio wakitoto huko Ukreine.
Tunashikana masharti kwa kugawa kichapo kama hivi 👇Mmeanza kushikana mashati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeenhe Hallelujah Aaaaameeee [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] yangu macho tu.
Ushawahi kuona USA kashambulia popote bila wake zake UK na EU kumpa support?Putin anajuta kuivamia Ukraine -aibu "superpower" kuomba msaada kukabilliana na ka nchi kadogo.