Ukiona hivyo ujue uhalisia mji ushatekwa na russia ameshaweka uongozi wake so bbc wanamanupulate habari tuu hapoNa hizi nazo tuseme ni propaganda za Mabeberu? Maana tukileta sisi habari zinazotoka BBC mnasema ni uongo na propaganda.
Hivi kwanini nchi yenye uchumi mkubwa kama Ujerumani ananunua F-35 idadi ya 35 tu?nilidhani kabda angetoa oda hata ya ndege 100+ shida ni gharama au nini?naomba ufafanuzi zaidi
Mkuu tatizo watu humu huwa wanaongea tu bila hoja za kueleweka zaidi ni ushabiki tu.Hakuna ajabu kwenye Russia kuomba silaha, kuna ajabu pale watu wanapokataa kwamba Russia hawezi omba silaha
Ndiyo aendelee kujizalishia huko, aache kutegemea mafuta yetu pale Moscow π Venezuelea anatafutako nini vile?U.S ndio mzalishaji wa kwanza wa mafuta kwasasa Duniani.
Mzee unafikiria kwa kutumka kalio.
Umesema Russia wana export raw materials tumekuonesha end products uneanza kuleta upumbavu.
Russia siyo africa
Hatua za Russia kupunguza makali ya vikwazo zimeanza.
Translated from ru - Russian to en - English
The government has set the parameters of loans for "credit holidays"
"Credit holidays" apply to loans issued before March 1, 2022. A grace period for servicing a loan can be obtained for a period of one to six months. Under the terms of the program, borrowers have the right to apply for a "loan holiday" until September 30, 2022, subject to a 30% decrease in income compared to the average income in the previous year.
The following limits are set for consumer loans:
β’ 300 thousand rubles for individuals
β’ 350 thousand rubles for individual entrepreneurs
β’ 100 thousand rubles on credit cards
β’ 700 thousand rubles for car loans
For mortgage loans:
β’ 6 million rubles for Moscow;
β’ 4 million rubles for the Moscow region, St. Petersburg and the regions of the Far East;
β’ 3 million rubles for other regions of Russia.
Translated with β€οΈ by @lang_translate_bot
Anazo Eurofighter Typhoon na Tornado kwenye inventory. Anaongezea 5th generation F-35 chache baadae baadhi ya Europeans wanaweza fanya consoltium kuunda jet fighter kama Typhoon ilivyo au akaongeza hizo F-35. Uingereza kwa ushirikiano na washirika mbalimbali yuko anaunda Tempest itakuwa 6th generation miaka ya mwishoni mwa 2030s itakuwa available.
Alafu F-35 sio za kuwa nazo nyingi. Hata US alinunua advanced F-16 na F-15EX ambayo ni ghali zaidi kuliko F-35 ila sio stealth. F-35 ni za muhimu sana mwanzoni kwenye contested air kwa kuwa ziko stealth, zikishaharibu radar na SAM sites mnakuwa na air superiority na zinakosa ulazima. High running cost, slow speed, low range, zinabeba mzigo kidogo.
Kwenye Mitandao mtasema Mengi uhalisia SivyoMaajabu niyaonayo ni Russia kushindwa itema Kyiv, na Russia kupoteza vifaa vingi
Hapana, najua propaganda ya Kirusi tu tunayolishwa hapa hadi kushiba πNaona pro US na EU mmeshupalia swala la Russia kuomba military support kwa China, hamjui propaganda za mmarekani nyie.
Akili zimeanza kuwakaa taratibu naona. Mwambieni Zelensky amwombe Putin msamaha haraka iwezekanavyo. Otherwise, Ukraine inafutwa kwenye ramani.Na hizi nazo tuseme ni propaganda za Mabeberu? Maana tukileta sisi habari zinazotoka BBC mnasema ni uongo na propaganda.
Inaelekea hujuu lugha ya Malkia halafu hujui geo-politics zinavyokwenda....Putin hajaomba Askari kutoka Middle East ikiwepo Syria . Alichofanya Putin ni kuidhinisha maombi ya wapiganaji wapatao 16,000 kutoka huko Middle East ikiwemo Syria walioomba kwenda Ukraine kwenye mpambano ili kuwasaidia Warusi...Putin amelikubali ombi Hilo na kutaka wapelekwe Donbas yaani Ukraine Mashariki ili kuwasaidia majimbo Yale mawili yaliyojitenga....Putin amefanya hivyo makusudi Kama jibu la Russia kwa nchii za magharibi zinazoandikisha wapiganaji kutoka nchi mbalimbali za ulaya kwenda kuisadia Ukraine...Putin anawaonyesha hao NATO na wajinga wengine kuwa Warusi hawako peke yao kwenye Vita hivi...halafu hao mujahedini waliokubaliwa na Putin ni sumu Kali kwa nchi za magharibi...wako wanaomuunga mkono Osama...kazi wanayo hao NATO...Hakuna cha Propaganda. Juzi live Putin mwenyewe kwa mdomo wake kaomba wapiganaji kutoka Syria. Kabla ya hapo aliomba kutoka Chechinia.
Au siyo?Kwa tathimini niliyoifanya kwenye vita hii, endapo urusi au Ukraine akikodi kikosi chetu cha makomandoo kutoka sanga sanga au ngerengere basi vita hii ilikua inaisha mapema sana.
Aisee wale makomandoo wanatembeza kichapo ni laana. Hakika tuna jeshi zuri na imara kweli kweli.
He he he he he halafu Wanaume wapo wanawapumulia kisogoni hapo kyiv.
Huyo mjerumani alizuiwa na nani!!! Hujui Red Army ilichomfanya eti ....Hakuna kitu rahisi. Huyu mjinga alidhania ataichukua tu Ukraine kirahisi.. si angemuuliza mjinga mwenzake Idd Amin kuhusu Kagera war.. au Hitler kuhusu germany and WW2?
Yaani ulivoanza kwa kukososa wenzio kuwa hawajui nikajua wewe ni mbobevu kwenye nyanja za vita. Nimekushangaa sana eti unauliza makombora yanayotumwa toka meliza warusi yanatambua vipi target ya kupiga. Nakushauri endelea tuu klujifunza humu kuliko kuanza kukosoa wengine.Mkuu tatizo watu humu huwa wanaongea tu bila hoja za kueleweka zaidi ni ushabiki tu.
Wao wakisikia eti Marekani na Urusi wana mashehena makubwa ya silaha Wana dhani wana jitosheleza kila sehemu bila kujua kila silaha huwa inatumika kwa mkakati , sehemu na wakati unao faa.
Wao wana dhani ukiwa na silaha ni kushambilia hovyo hovyo tu.
Kwa sasa Urusi ana hitaji drone zenye uwezo makubwa wa kufanya mashambulizi ili kudhibiti ambush za kushutukiza na katika sekta hiyo ni mdhaifu mno na ndio maana anataka kuagiza kutoka china.
Alafu mkuu naomba unisaidie kunipa maarifa fulani.
Hivi makombora huwa yana ongozwaje mpaka yana weza kulenga sehemu sahihi?
Mfano Urusi kwa kiasi kikubwa ina tumia makombora yanayo rushwa na meli kutoka bahari nyeusi kuharibu base za Ukraine.
Sasa ninacho taka kujua huwa yana wezaje kutambua sehemu yalipo tumwa hasa ikizingatia mji ni mkubwa una majengo mengi sana?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Haya na ww tuambie ni vita gani ambavyo Marekani alisha pigana akiwa peke yake bila washirika wake?Marekani aliomba Silaha gani akiwa Vitani?
Sijajua kuna udhaifu gani Urusi kuomba silaha China? Au kwann warusi mnaona ni udhaifu wa kuupinga kwa nguvu zote? Nchi rafiki kwa Urusi mpak sasa zilitakiwa ziwe zimeshaonyesha nia ya kuisapoti urusi hili zoezi liishe mapema. Si kwasababu Urusi hana uwezo ila ni sehemu tu ya kuionyesha dunia kuwa sisi tupo na Urusi katika hili kwa vitendo kama USA na NATO wanavyofanya kwa Ukraine.Naona pro US na EU mmeshupalia swala la Russia kuomba military support kwa China, hamjui propaganda za mmarekani nyie.
Hii mbona laptop ya Joe Biden aloiazima kwa Blinken?