NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Kusema ukweli Putin mambo yamemuendea Vijaya. Alimdharau sana Comedian. Alidhani vita itachukua Yukrein baada ya siku 3 tu. Hasira zake kaamisha kwa maafisa wa juu wa 'TiSS' ya urusi FSB kwa kumdanganya comedian zelensky ni kama kumsukumiza mlevi. Na wote kawaweka under house arrest. Jamaa yuko frustrated sana njaa pia ya vikwazo.
Comedian anamjambisha
Ila ukweli unaonekana,nakufuatilia vema kabisa ,uko vizuri,unaleta habari motomoto,Mkuu Galip SV nashukuru sana kwa kuniweka mahala stahili kwangu (Team Putin/Russia) 😂🤣🤣🤣
Nafikiri umepewa wrong information.
Putin ni mtu Mzuri sana,ni mtu mwema.
Usidhani ni mbaya ,hizo ni propaganda za west TU.
Tukiacha ushabiki, Atashindwa. mwacha atandaze makombora anavyoweza mwishowe njaa itamuondoa,..hao wachache watakaobaki Ukrain watawakimbiza Warusi kwao...Kwa maneno machache Ni hivi Putin yatamshinda!
3 zote hizo?alisema 24 huko ikulu yake siku anatangaza Vita Tena akaiita Ni oparation ndogo ya kijeshi.Wapi Putin alisema hii vita itachukua siku3? Au nyie ndo wasemaji wake
"Puttin anakiwasha". HahahaRight on the money,lakini kwakuwa hawapendi kuusikia ukweli,watakutolea povu hapa Wazee wa "Putin anakiwasha"
Hoja nzuri sana hii.Mkuu kwani tatizo liko wapi kwa Urusi kuomba silaha anazo ona zinamfaa kwenye vita tena kutoka kwa mshirika wake wa kijeshi ,kiuchumi na kisiasa?
Kwann kila anacho kifanya Russia kinaonekana ni kitu cha ajabu wakati ni kitu cha kawaida kwa washirika kusaidiana vitani hata Marekani huwa anafanya hivyo?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Ahaaa haaa Unakumbuka alivyojinadi mwanzo?shida ndio inaanzia hapoHoja nzuri sana hii.
USA akienda vitani anaondoka na wapambe kibao.
Urusi akiomba hata maji ya kunywa TU akiwa vitani ni hoja.
Hapa ndo ukuu wa Urusi ulipo.
Hakuna morden weapon huko ground mkuu. Na hii ni external/export vision Kama zahuku kwetu. Sio kwaajili yakulilinda Anga tukufu la Russia. Zao sinimekuonyesha hapo au wewe hata ukikiona T34,64 na 72 utasema Nikifar u kilekile
OkeyWatasaidia silaha za kivita ila nchi kama nchi kujitangaza kwamba inaenda kupigana na Russia ili kuisapoti Ukraine
Habari nzuri sana! Wako mbali na Ukraine , zaidi ya kilomita 4000 (kama Dar es Salaam-Kinshasa au karibu na Cape Town) - kwa hiyo wako salama! Tuwape hongera. Wako huku kusini kudhibiti akina Taliban. Labda tumwombe Putin aongeze wanajeshi huko chini.Majeshi mengine ya Russia yafanya mazoezi ya kijeshi ya siku 5 ndani ya Tajikistan. Zana kibao zipo na askari wa kumwaga.
Halafu Marekani aleta uvumi ati Russia imeomba msaada wa silaha toka China kwenda kutumika Ukraine. Silaha zipo kibao hadi nyingine zatumika kwenye mazoezi tu (sio vitani)
View attachment 2150059
View attachment 2150060
Pro Ukraine wametoa kwenye mapango walipokua wamejificha kwa kipigo wameanza kuchomoza ngoja Wasoviet wawagonge nyundo za utosi tena mpaka mtoe mlioMbona Russia hamalizi hii operation kwa haraka,nini tatizo Mkuu?
Nipo kwenye ofisi ya serikali nahudumiwa ila nimejikuta nacheka kwa hii statement.China yenyewe na ukubwa wake ona wanavyoongea kwa kunong'ona chini ili jamaa asisikie.
Wacha mbwembwe hii ni military operation.Hakuna vita hapo.Wapi Putin alisema hii vita itachukua siku3? Au nyie ndo wasemaji wake
Yaani wasimame waziwazi kumuunga Russia!! HAWAJITAKI AU!!!
China yenyewe na ukubwa wake ona wanavyoongea kwa kunong'ona chini ili jamaa asisikie.
Ukweli uliomchungu ni kwamba Marekani ana nguvu sana na anatisha. Walau kungekuwa na uwezekano kwa Russia kuibuka Mshindi japo kwa 30% wanaomuunga mkono wangejitokeza wazi kusimama naye. Ingawa hata akishinda vita vya makombora na bunduki bado hatakuwa na ushawishi mkubwa sababu hana nguvu za kiuchumi za kuvuka mipaka yake.
Tusione nchi kama Uingereza, German, France nk zimemkumbatia na kumuamkia " SHIKAMOO BRO" Ni kwasababu USA ni DUBWANA MOJA HIVI KUBWA SANA.
Yasss! Na mimi nimeiona hii kitu. Ndiyo maana haina hata plate number! Direct from manufacturing plant! 🙂Nahii ndio pantisr morden ya sasa. Sasa hizo zilizoenda Ukraine uone kabsa Ni old model haipingiki kwahyo mjipange Sana pro NATO. Russia sio level yao
View attachment 2150139