Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Apo ndo unaona USA anazidi kupoteza ushawishi kimataifa....Erdogan amesema ni mapema mno Turkey kustop kununua silaha za Russia. Asisitiza Turkey lazima iendeleze kuimarisha Urafiki wake na Putin 9Russia) na Zelensky (Ukraine).
(Pichani ni mfumo wa ulinzi wa anga S-400 wa Russia ambao Turkey, member wa NATO, alijilipua nao/aliununua licha ya kuahidiwa vikwazo na Marekani kwa jambo hilo)
View attachment 2151018
“Under the current circumstances, it would be premature to talk about what the future shows, right now. We have to see what the conditions bring. We have to maintain our friendship with Mr. Zelenski and Mr. Putin,” Erdogan said.
na je hao waloomba wameenda kweli?Inaelekea hujuu lugha ya Malkia halafu hujui geo-politics zinavyokwenda....Putin hajaomba Askari kutoka Middle East ikiwepo Syria . Alichofanya Putin ni kuidhinisha maombi ya wapiganaji wapatao 16,000 kutoka huko Middle East ikiwemo Syria walioomba kwenda Ukraine kwenye mpambano ili kuwasaidia Warusi...Putin amelikubali ombi Hilo na kutaka wapelekwe Donbas yaani Ukraine Mashariki ili kuwasaidia majimbo Yale mawili yaliyojitenga....Putin amefanya hivyo makusudi Kama jibu la Russia kwa nchii za magharibi zinazoandikisha wapiganaji kutoka nchi mbalimbali za ulaya kwenda kuisadia Ukraine...Putin anawaonyesha hao NATO na wajinga wengine kuwa Warusi hawako peke yao kwenye Vita hivi...halafu hao mujahedini waliokubaliwa na Putin ni sumu Kali kwa nchi za magharibi...wako wanaomuunga mkono Osama...kazi wanayo hao NATO...
Af waswahili wa ushirombo wanasema Russia anapigika kapoteza man-power mpk kaanza kuomba msaada...Pentagon yasema kuwa uchunguzi wake mpya wa hivi karibuni umeonesha kuwa pamoja na kuwa siku 19 zimepita toka Russia iende vitani na Ukraine, 90% ya vifaa vya kivita Russia ilivyoenda navyo vitani bado vipo salama, havijaharibiwa vitani.
View attachment 2151032
Rusia na China wataka uchunguzi ufanyike juu ya 'maabara za silaha za kibaiolojia' zilizopo Ukraine zinazodhaminiwa na Pentagon (Marekani)
View attachment 2151071
View attachment 2151072
kwa mukitadha huu huon kam mjerwman anasalit wenzake na anaend kinyum na makubaliano.kwann asinunue ges marekan au apewe bure na Uk mbona ges kule nyingYa MotoMoto
Waziri wa uchumi wa Ujerumani, Robert Habeck, leo ametoa msimamo wa Ujerumani juu ya vikwazo vya nishati za Russia (mafuta, gesi na makaa ya mawe).
Waziri huyo amesema Ujerumani haitofuata nyayo za Marekani na Uingereza kususia nishati za Russia (Ujerumani haitosusia nishati hizo). Akaongezea kuwa kustopisha ghafla kunuunua mafuta, gesi na makaa ya mawe ya Russia kutaathiri vibaya zaidi uchumi na maisha ya wajerumani wote. Kutapelekea gharama za maisha kupanda zaidi, malaki ya wajerumani watapoteza kazi, watu watashindwa kuendesha magari yao kwenda kazini, wajerumani watashindwa kupasha joto majumba yao au kulipia bili za umeme.
Kwa wale waliofika Ulaya watakuwa wanaelewa sana umuhimu wa mfumo wa kupasha joto kwenye nchi za Ulaya. Ila kama hujafika huko wawezachukulia poa tu.
Chanzo ni 'The Wall Street Journal' (au hicho nacho ni cha Russia?!)
View attachment 2150295
View attachment 2150296
Germany Won’t Boycott Russian Energy Imports
BERLIN—Germany reaffirmed its refusal to boycott Russian energy imports because the costs would be too high for the German economy. Economy Minister Robert Habeck said his country wouldn’t follow the U.S. and the U.K. in stopping imports of coal, oil and natural gas from Russia because of its heavywww.wsj.com
Hii habari ingekuwa kamili inakoga Moyo,sema hajiajaa nyamaHABARI ILIYOFICHWA JANA TAREHE 14,LILIFANYIKA JARIBIO LA KUIANGUSHA KREMLIN LAKINI LILISHINDIKANA HIVYO IKAMLAZIMU PUTIN KUBALISHA SYSTEM YAKE YA ULINZI.
Kwani kuwa na mahaba na US ni dhambi? Ndio inavyotakiwa sasa wewe unakuwa na mahaba na wenye njaa wakusaidie nini?Dada unaonesha kabisa una mahaba na US afu unataka kukataaa asee [emoji28][emoji28][emoji28]
Ndicho wanakiweza kupiga residential appartments ila hakuna cha maana wanafanya kutimiza lengo.
Panga liketembezwa kwa kamanda wa Russia👇Madege ya kivita ya Russia yakishambulia na kuangamiza miundombinu ya jeshi la Ukraine.
Watu 7500 wame-like video hii ya leo.
Hahahaha imefichwa ila wewe umeifahamu umetisha sanaHABARI ILIYOFICHWA JANA TAREHE 14,LILIFANYIKA JARIBIO LA KUIANGUSHA KREMLIN LAKINI LILISHINDIKANA HIVYO IKAMLAZIMU PUTIN KUBALISHA SYSTEM YAKE YA ULINZI.
Kichapo wanachopokea sio cha Nchi hii👇Nearly all of Russia's advances on Ukraine have stalled, with the lack of progress largely due to Ukrainian resistance, according to a senior US defence official.
There has been no appreciable change to Russia's advance on the Ukrainian capital, Kyiv, with forces still stuck around Hostomel airport, the official said. The airport is northwest of the city.
The official added that there is a convoy of between 50 and 60 vehicles heading towards Izyum, south-east of Kharkiv.